Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Ng'ombe nilimuona mapema kuwa ni lijinga tu ndiyomana licha ya kubahatisha ubingwa sikuwahi kumsifia
Kinachosikitisha ni kwamba tunabaki nae mazima msimu ujao maana sijui Hawa FSG wanasubiri maajabu kutoka wapi.
Tetesi ni kwamba baadhi ya wachezaji hawana kabisa Imani nae tena angalau Salah alisema laivuu bila chenga wengine wanashindwa kutoka hadharani.

We are so doomed..

YNWA
 
Van Dijk kajengewa Sanamu Unfield na hatujui.
20260429_102421.jpg
 
Hizi Kenge za Everton kipindi tunafukuzana na City kwa point moja au mbili zilikuwa ikifika game yao na City wanawazawadia City magoli ya bure then wanasherehekea kufungwa ili Liverpool asibebe Ubingwa na baada ya Game Richalison lazima apost kejeli dhidi ya Liverpool.

Ila leo kwasababu sio Liverpool anayefukuzana na City basi kaamua kukaza.
 
Kinachosikitisha ni kwamba tunabaki nae mazima msimu ujao maana sijui Hawa FSG wanasubiri maajabu kutoka wapi.
Tetesi ni kwamba baadhi ya wachezaji hawana kabisa Imani nae tena angalau Salah alisema laivuu bila chenga wengine wanashindwa kutoka hadharani.

We are so doomed..

YNWA

Msimu ujao ataomba hela nyengine aingie sokoni akasajili machezaji mabovu azidi kutuulisha
 
Kinachosikitisha ni kwamba tunabaki nae mazima msimu ujao maana sijui Hawa FSG wanasubiri maajabu kutoka wapi.
Tetesi ni kwamba baadhi ya wachezaji hawana kabisa Imani nae tena angalau Salah alisema laivuu bila chenga wengine wanashindwa kutoka hadharani.

We are so doomed..

YNWA
Ni hatari wachezaji kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kocha. Hata kama kocha mbovu management haitakiwi kuwapa wachezaji nguvu kubwa zaidi ya kocha, maana hiyo cycle itaendelea kujirudia hata akija mwingine. Wachezaji watakiwa kujua watake wasitake huyo ndio kocha wao kwaiyo watekelze majukumu yao uwanjani
 
Hizi Kenge za Everton kipindi tunafukuzana na City kwa point moja au mbili zilikuwa ikifika game yao na City wanawazawadia City magoli ya bure then wanasherehekea kufungwa ili Liverpool asibebe Ubingwa na baada ya Game Richalison lazima apost kejeli dhidi ya Liverpool.

Ila leo kwasababu sio Liverpool anayefukuzana na City basi kaamua kukaza.
Kama unakumbuka msimu fulani hivi man utd na chelsea wanafukuzia ubingwa, Gerrard alishawahi kusema ni bora wafungwe na chelsea kuliko man u kuchukua ubingwa. Halafu game inayofuata liverpool vs chelsea, Gerrard akatoa boko la makusudi Demba ba akapiga goli la ushindi. Malipo ni hapa hapa duniani
 
Hilo boko la Gerrard kwa demba wala halikuwa na dhamira ya kuikwamisha man u isichukue Tittle, bali lilikuwa ni boko la bahati mbaya ambalo liliigharimu Liverpool na kushindwa kubeba kombe dhidi ya man city!!
 
Ni hatari wachezaji kuwa na nguvu kubwa zaidi ya kocha. Hata kama kocha mbovu management haitakiwi kuwapa wachezaji nguvu kubwa zaidi ya kocha, maana hiyo cycle itaendelea kujirudia hata akija mwingine. Wachezaji watakiwa kujua watake wasitake huyo ndio kocha wao kwaiyo watekelze majukumu yao uwanjani
Ni sahihi kabisa Mkuu. Ipo hivi identity ya Liverpool ni high intensity football tangu alivyotua Klopp alijenga kikosi chake kwa huo mfumo , alivyokuja huyu Kipara Arne ni Total Control kwa wachezaji wale wale wa full gegenpressing lazima ingefika mahala aidha kocha anyanyue mikono au wachezaji...kwa sasa hatuna tena identity yaani sio total Control Wala high intensity yaani tupo tupo kiasi sasa hata mashabiki waanohudhuria gemu Anfield wameanza ku react kuzomea timu kiasi Slot ametoa macho hana pakujitetea maana we are heading south at a high speed and Slot is idea less how to capture the situation yaani hata yeye anabaki kutoa macho.

Player power Mkuu is next level siku hizi. Akiongea VVD au Salah trust me even the big boss do listen. Sisapoti sana wachezaji kua against kocha lakini it's what's it is man.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom