Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,446
- 32,863
Already qualified for UCL next season.Hellow Captain. Thank you
See you there.
Carrick on spot.
YNWA
Already qualified for UCL next season.Hellow Captain. Thank you
Kashaanza kusema eti bado yupo transition...yaani transition my foot ...atumie mapesa yote Yale aafu bado hajapata kikosi anachotaka yaani hapa tunapigwa huyu ni kocha Dalali😁😁😁.Msimu ujao ataomba hela nyengine aingie sokoni akasajili machezaji mabovu azidi kutuulisha
Mkimrudisha Klopp mnashuka darajaKashaanza kusema eti bado yupo transition...yaani transition my foot ...atumie mapesa yote Yale aafu bado hajapata kikosi anachotaka yaani hapa tunapigwa huyu ni kocha Dalali😁😁😁.
Duniani kuna wachezaji wenye bahati sana. Tazama Isack alivyo pancha tangu yupo Real Sociedad na Newcastle aafu klabu inakwenda mazima kabisa na mpunga wote ule kwa mchezaji kama huyu yaani Yale Yale ya Thiago ndio yamejirudia tena... Tulimtoa Gini kumleta Thiago made of Delhi biscuits hatukuwai kuwa sawa tena... Hapo tukamtoa Nunez a real bull minus goals kumleta bed warmer Isack na kocha ndio huyu clueless how to use wachezaji wanao kuwa wazima...kweli tuna kibarua.
Listi yangu ya wachezaji wa kuachwa msimu ujao.
1) VVD
2) Jones
3) Gapko
4) Gomez
5) Isack
6) McAlister.
7) KR Mulla Flipmong
Robertson na Salah hao washaanza kuaga wanasepa zao June 2026.
Konate mkataba unaisha tetesi watampa mwingine japo nae amekua mzigo muda mwingi.
Kocha ni Liverpool tu watamvumilia ingekua kwingine huyu angeshapigwa chini.
Klopp bado nafasi ipo ya kupata kabla ya Real Madrid kutua kwake mazima.
My take Usajili uwe
1) winga kulia
2) Winga kushoto
3) beki kati kulia
4) DM tayari Gomes wa Wolves huyoo kwa El Cholo. Angetufaa.
5)beki kati kushoto
YNWA
Master.....mbona Mac Alister ana kitu ? Mfumo tu pengine.... hao wengine kuachwa sawa, poleni 😃Kashaanza kusema eti bado yupo transition...yaani transition my foot ...atumie mapesa yote Yale aafu bado hajapata kikosi anachotaka yaani hapa tunapigwa huyu ni kocha Dalali😁😁😁.
Duniani kuna wachezaji wenye bahati sana. Tazama Isack alivyo pancha tangu yupo Real Sociedad na Newcastle aafu klabu inakwenda mazima kabisa na mpunga wote ule kwa mchezaji kama huyu yaani Yale Yale ya Thiago ndio yamejirudia tena... Tulimtoa Gini kumleta Thiago made of Delhi biscuits hatukuwai kuwa sawa tena... Hapo tukamtoa Nunez a real bull minus goals kumleta bed warmer Isack na kocha ndio huyu clueless how to use wachezaji wanao kuwa wazima...kweli tuna kibarua.
Listi yangu ya wachezaji wa kuachwa msimu ujao.
1) VVD
2) Jones
3) Gapko
4) Gomez
5) Isack
6) McAlister.
7) KR Mulla Flipmong
Robertson na Salah hao washaanza kuaga wanasepa zao June 2026.
Konate mkataba unaisha tetesi watampa mwingine japo nae amekua mzigo muda mwingi.
Kocha ni Liverpool tu watamvumilia ingekua kwingine huyu angeshapigwa chini.
Klopp bado nafasi ipo ya kupata kabla ya Real Madrid kutua kwake mazima.
My take Usajili uwe
1) winga kulia
2) Winga kushoto
3) beki kati kulia
4) DM tayari Gomes wa Wolves huyoo kwa El Cholo. Angetufaa.
5)beki kati kushoto
YNWA
Epic comeback he will energize the whole fraternity..Mkimrudisha Klopp mnashuka daraja
Klopp anarudiEpic comeback he will energize the whole fraternity..
We need a full reset, status quo not working, dead project
YNWA
Hilo boko la Gerrard kwa demba wala halikuwa na dhamira ya kuikwamisha man u isichukue Tittle, bali lilikuwa ni boko la bahati mbaya ambalo liliigharimu Liverpool na kushindwa kubeba kombe dhidi ya man city!!
HistoryYaani mbele ya Liverpool unajitambia kufika Fainali? Are you serious?
Hivi ni Vitu vya kumtambia Spurs sio Liverpool yeye ameshachukua huko.
Unachofanya ni sawa na kumtambia Professor wa Mathematics kuwa umedahiliwa chuoni kusoma Bachelor degree ya Mathematics.
Kwa hiyo Gerrard alipiga boko na kusababisha Demba ba kuipa ushindi chelsea ili man utd asipate ubingwa? Au katika matukio yote hayo mawili anayozungumzia jamaa ina mana Demba ba alihusika ktk yote?Hizi ni game mbili tofauti
Alitoiongelea huyo jamaa ubingwa ulikuwa ni kati ya Man Unite vs Chelsea
Unapoongea wewe ubingwa ulikuwa ni kati ya Man City vs Liverpool