Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
😂😂😂😂Kmmke Slot
😂😂😂😂Kmmke Slot
The legendary Liverpool loyal servant Kila la kheri kwao.
Hey comrade....UCL ipo ndani ya uwezo kabisaaa. Arteta asijifanye Ancelot atulie aje na mkakati.Tukikosa UCL msimu huu tutalazimika kupambana sana msimu ujao. Acha tu tuwapige hawa PSG fainali hii ili tupumue kidogo kama jinsi kubeba hiki ki Premier League trophy kilivyotusaidia kupumua kidogo. Sasa msimu ujao tutacheza bila presha.
Pale kocha aliamua kuja na mbinu zake na kuacha mfumo uliozoeleka na wachezaji ndio tukapotea mazimaaa yaani anahojiwa Jumapili eti anasema atabadilika ,bure kabisa tulivyochapika vile aafu anasema msimu ujao atakua tofauti na msimu huu na FSG wapo wanamtazama tu....Kale kamsemo kaliendaga wapi KOPITES
Imagine being Us
Kichwa mviringo amewatawanya jukwaani sio mchezo, see you next season champPale kocha aliamua kuja na mbinu zake na kuacha mfumo uliozoeleka na wachezaji ndio tukapotea mazimaaa yaani anahojiwa Jumapili eti anasema atabadilika ,bure kabisa tulivyochapika vile aafu anasema msimu ujao atakua tofauti na msimu huu na FSG wapo wanamtazama tu....
YNWA
Hawa msimu ujao lolote liwakute....ikiwezekana wamalize nafasi ya nane huko wakacheze conference league kabisa
Kutesa kwa zamu😅😅😅😅😅Kichwa mviringo amewatawanya jukwaani sio mchezo, see you next season champ