King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Huyu Kichwa Jaba aliona kila siku Mitandaoni watu wanacomment atafute Centre Back au DM akaamua kuleta ujuaji 🚮🚮
Kichwa mviringo 🤣🤣🤣Yaani sisi ndiyo wakufungwa na Manure ndani ya Anfield? Kweli kichwa nanga ametudharaulisha atuachie Timu yetu 🚮🚮
Kichwa mviringo 🤣🤣🤣
Akirudi atapoteza heshima yake aliyoitengeneza anaweza asiwe yule mjuaye#Michezo: Katika mahojiano yake na Steven Bartlett (The Diary of a CEO), kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, aliulizwa kuhusu uwezekano wa yeye kurudi kuifundisha timu hiyo siku za usoni.
Steven: Unadhani unaweza kurudi kuifundisha Liverpool? Je, uwezekano huo upo?
Klopp: “Nilisema sitawahi kufundisha klabu nyingine yoyote England. Hilo halitatokea. Lakini kama ni Liverpool, uwezekano upo.”
(Chanzo: steven )
#EastAfricaTv | #Michezo | #HainaKuchoka
🤣🤣🤣🤣🤣Yaani ana kichwa kama tank ya mafuta ya Scania halafu anataka awe kocha wa Liverpool 🚮🚮🚮
Kocha ana kichwa km koroshoYaani Timu imepoteza michezo minne mfululizo halafu huyu Kichwa tikiti bado yupo tu?
Hakuna cash out