Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Maisha yanaenda kasi sana, aliondoka Jurgen akaletwa bichwa mviringo akatembelea upepo wa Jurgen akashinda league huku City akiwa na msimu mmbaya akiandamwa na majeruhi ya key players kama Rodrigo....
New season bichwa mviringo amepewa €500+ za usajili....timu haieleweki inavyocheza, mNakabia macho!
 
Msimu jana mlikuwa nmashinda kwa upepo wa klop... ilifika hatua humu vingereza uchwara vingi.... kuna kajamaa flan kanakuja kuchambua hapa kanaletwa na picha za takwimu uchwara now kamepotea..... majitu mazima na ndevu yanakuja yanakaomba tuletee uchambuzi, mbona hamkaombi tena ?
 
Wale Jamaa Brentford mipira yao ni long balls, set pieces ukiweza kuwazuia hapo umewamaliza, kusema kweli Liver wanapotea kirahisi kwenye defence, nahisi msimu huu kama Arsenal akiwa serious anaweza akafanya Jambo...Timu sasa hivi ziki opt long balls na kupambana kwenye second ball zinaweza kutoboa against Liverpool.
 
🤣🤣🤣 Nawakumbusha tu weekend ijayo mnacheza na Aston Villa halafu mechi inayofata mnakutana na Man City.
Kwenye press conference baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Brentford Amne Slot ameomba dirisha dogo aongezewe washambuliaji wengine watatu.
Kichwa mviringo hana akili kabisa 🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom