Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Slot ni useless. Mo Salah kwa sasa ni butu anapaswa kuanzia bench. Kerkez anapaswa kukaa center back yeye na VvD. Robbo arudi kushoto kupandisha mashambulizi. Bradley piga bench, ampange freempong. Jamaa ni mmoja wa wingback mzuri, kama mlimwona alivyokuwa wa moto kule liverkusen.
Salah, kwa sasa hamna kitu. Ameshindwa kuisaidia timu.
Isak bora angeendelea kule magpie. Huku anaonekana mzururaji. Tunapata tabu sana huku mabanda umiza.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
nilisema hapa kwenye mechi ya kwanza kabla ya tsimikas hajaondoka kuwa aachwe cause Kerkez is "not him" na Robertson amechoka

KIUFUPI root ya matatizo yetu ni wing backs zetu kushindwa kufanya build ups na hatuwez kufanya build up from the center
 
IMG_20251019_213509.jpg
 
🤣🤣🤣 Bichwa banzi baada ya usajili Isak kukamilika aliomba aongezewe foward wengine watatu kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.
🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom