Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmetumia vibaya hela za usajili inawezekana vipi mmetumia paund mill 300+ kwa wachezaji watatu tu no defender kwenye moja ya tatizo
Kocha hana mbinu tu huyu, hata wampe prime Sergio Ramos hang'oki na point. We timu back pass na kuvizia tu counter uchwala 🤣🤣🤣🤣 na wamesha mjua mbinu zake.

We Salah hata acheze vibaya Gakpo acheze vizuri anamfanyia Sub Gakpo anabaki Salah 🤣🤣
 
20251019_225549.jpg

Mtamtukana sana kichwa ndonga, ila tatizo linaanzia hapa, kwa huu uchochoro.
 
Siku hizi humu ndani hamna vingereza tena, hakuna ushindi.... ngoja mshinde mechi mbili mfululizo wote watatoka mapangoni huko kuweka mapambio humu......
Mpira hauna adabu, unashangaa Amorim na timu yake mbovu anawalaza na viatu !
Niliwaambia mapema kabisa. ..kuku kishingo nyie
 
View attachment 3490869
Mtamtukana sana kichwa ndonga, ila tatizo linaanzia hapa, kwa huu uchochoro.
huyu na ndugu zake
frimpong na Connor Bradley ndo chanzo cha matatizo yetu
mimi siwez kumlaumu kocha bado hata tukifungwa mechi 10 mfululizo
we have to find a way to build up our play from the center maana sasa hivi mashambulizi kuanzia kwa gravenberg timu pinzani zimeshstuka zinapiga pini....ukipeleka mpira pemben kwa Bradley au Kerkez they can't even pass +they're very predictable so wanakabika kirahis
 
Shida ni poor coaching mkuu, ukubari ukatae, huyu kocha hamna kitu.
 
nilisema hapa kwenye mechi ya kwanza kabla ya tsimikas hajaondoka kuwa aachwe cause Kerkez is "not him" na Robertson amechoka

KIUFUPI root ya matatizo yetu ni wing backs zetu kushindwa kufanya build ups na hatuwez kufanya build up from the center
Kerkez anatakiwa arudishwe Academy akajifunze kupiga pass na utulivu
 
Kutoka kwa Robertson na Anorld kwenda kwa Kerkez na Bradley/frimpong....mmepoteana sana majirani ! Bora hata frimpong offensively anajitahidi....... huyo kerkez hajui kukaba, kukros yani kwa kifupi mmepigwa...

Hugho anatakiwa aanze over Isak....
Wirtz huyu sidhani kama atabadilika, akienda huko italy/Spain atashine sana ....

Ni furaha kwetu mkiteseka
 
Power yetu ilikuwa ni full backs katika system yetu tumeshindwa ku replace Arnold na Robo, mpaka sasa sielewi kwanini Robo anawekwa bench na huyu mchezaji wa level ya kina Bournemouth sio Liverpool. Frimpong ni bora alivyoingia badala ya Mo, sababu style yake tofauti na Mo, ni winger anayepiga cross na katengeneza chance. Ni wakati wa Mo kuanzia bench tuambizane ukweli ni mzigo kwa team. Maclister akaze sielewi hayupo fit sijui.
 
Kutoka kwa Robertson na Anorld kwenda kwa Kerkez na Bradley/frimpong....mmepoteana sana majirani ! Bora hata frimpong offensively anajitahidi....... huyo kerkez hajui kukaba, kukros yani kwa kifupi mmepigwa...

Hugho anatakiwa aanze over Isak....
Wirtz huyu sidhani kama atabadilika, akienda huko italy/Spain atashine sana ....

Ni furaha kwetu mkiteseka
Kweli beki za pembeni tumeshidwa kuleta mbadala, Mo akase bench mbele waanze Isac, Hugho na Gapco. Frimpong kulia na Robo kushoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom