Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmetumia vibaya hela za usajili inawezekana vipi mmetumia paund mill 300+ kwa wachezaji watatu tu no defender kwenye moja ya tatizo

Hapana! Hatujatumia vibaya pesa.
Sajili tulizofanya kwa asilimia kubwa ni sahihi isipokuwa Kerkez tu ndiyo sajili pekee tuliyokosea.

Tatizo ni la huyu Kichwa Box ndiyo ameshindwa kupata kilichobora kutoka kwa Wachezaji.

Kiufupi kocha hana uwezo wa kutumia Wachezaji alionao lakini sio kwamba ni wabaya.

Mchezaji kama Witz na Isack walishaprove ubora wao hivyo hatujakosea kuwasajili.

Ni Wachezaji wazuri sana wakipata kocha anayeweza kuwatumia.

Ila kichwa Balungi amefanha waonekane kama Kibu Dennis.
 
Nyie matakataka mulishinda..??!! Nyie ni wa kufungwa tuu kila game hamuna maana, alaaah..
 
Slot leo anapondwa na mwenzi wa tano tu hapo hata mwaka haujapinduka kuwapa ubingwa kweli walimwengu nyoko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom