Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuku kideri, weekend hii mnaendeleza mlipoishia, ama lah kichwa mviringo mrudisheni kwao uholanzi! Hamuwezi kuspend €500m kwa dirisha moja timu inacheza makida makida !
 
Ni bora tungemchukua Nuno Espirito santo kuliko huyu kichwa mviringo.
Acha dharau kijana... Bichwa ndonga kawapa kombe mwaka jana....na atawatoa kapa msimu huu....mpeni muda ajenge timu mpk magalasa yake aloyasajili yakisha click ndo mumtimue....mnataka aondoke sasahivi hlfu timu amuachie nani🤠🤠🤠
 
kama arne slot anataka kuendelea kubaki liverpool basi arudi kwenye mbinu za msimu jana zilizo mpa ubingwa wa EPL na ikiwa anataka kubadilisha muundo wa kiuchezaji akiamini labda ndio utakaompa mafanikio zaidi basi naona mo salah ni ama ampige benchi.. wasajili ball to feet player kwenye nafasi yake wakuweza kufanya take-ons na ku operate kwenye tight spaces au ambadilishie majukumu.

writz ni mchezaji mzuri sana.. anatakiwa kuanza kila game.. szobo anatakiwa acheze na grav katikati na sio kumpa majukumu mengi ya kiuchezaji uwanjani ya kuwa inverted fullback.

so kwenye base ya midfield ni grav pamoja na szobo halafu juu yao writz.. mshambuliaji wa kati isak.
 
Siku hizi humu ndani hamna vingereza tena, hakuna ushindi.... ngoja mshinde mechi mbili mfululizo wote watatoka mapangoni huko kuweka mapambio humu......
Mpira hauna adabu, unashangaa Amorim na timu yake mbovu anawalaza na viatu !
 
Kocha hajirekebishi kabisa huyu, angejaribu kumuweka Chiesa ova Salah, yaan sijui kwann huwa wanamuogopa salah hawa makocha.
 
Uelekeo wa Man City kupotea ndo uelekeo huu huu wa liverkideri 😂
 
Slot ni useless. Mo Salah kwa sasa ni butu anapaswa kuanzia bench. Kerkez anapaswa kukaa center back yeye na VvD. Robbo arudi kushoto kupandisha mashambulizi. Bradley piga bench, ampange freempong. Jamaa ni mmoja wa wingback mzuri, kama mlimwona alivyokuwa wa moto kule liverkusen.
Salah, kwa sasa hamna kitu. Ameshindwa kuisaidia timu.
Isak bora angeendelea kule magpie. Huku anaonekana mzururaji. Tunapata tabu sana huku mabanda umiza.
 
Mnashinda, em tulizeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom