OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Caicedo anakuchambua kama karanga🤣🤣🤣🤣
Kweli wachezaji wazuri mnao ila ninamna kutafuta muundo mzuri utakaofanya ubora wa kila mchezaji huonekane mechi yetu na nyie kocha tulimwashia moto mpaka akajirekebisha kupitia mechi yenu kila kitu alifanya sahihi tofauti na mechi za nyuma na kama angepoteza angekuwa kwenye Hali ngumu sana na nyinyi mnapaswa muwe hiviNafahamu tumepoteza mechi chache, lakini tukizingatia historia ya timu na kiwango cha mashindano, bado tuna nafasi ya kurekebisha mambo. Hakuna timu inayoshinda kila mechi
Tunajitaji kuangalia pia mabadiliko ya wachezaji na form. Wachezaji wengi muhimu kama Salah, McCallister, Konate hawapo in form kwenye mechi za hivi karibuni na ile Chemistry iliyokuwepo ya Salah, Diaz na Jota haipo. Wakati wao utarudi na ushindi utarudi tu
Kama mashabiki, jukumu letu ni kushangilia na kuunga mkono timu. Kila timu inakutana na changamoto, lakini kwa mshikamano tunaweza kuonekana nguvu ya Liverpool.
Kocha ana mpango wa muda mrefu. Labda utendaji si mzuri sasa, lakini lazima tumpe muda kuona mkakati unavyofanya kazi, hata Messi na Ronaldo wanapoteza magoli sasa na tena.
Tuwe na subira na timu yetu ya Liverpool!
Watu wa Chelsea mna jukwaa lenu mbona hamuendi huko kujadili team yenu? Liverpool imefungwa mechi 2 na bado tupo nafasi ya 2, na ligi ni marathon sio sprint.
May ni mbali sana na mengi yatatokea hapo kati, team ita click kama kawaida. Ni bora kukosea sasa na kupata nafasi ya kurekebisha kuliko kukosea mwishoni
Coach ana plan zake, unafikiri maoni yenu huku anayasoma😂Kweli wachezaji wazuri mnao ila ninamna kutafuta muundo mzuri utakaofanya ubora wa kila mchezaji huonekane mechi yetu na nyie kocha tulimwashia moto mpaka akajirekebisha kupitia mechi yenu kila kitu alifanya sahihi tofauti na mechi za nyuma na kama angepoteza angekuwa kwenye Hali ngumu sana na nyinyi mnapaswa muwe hivi
Ingekuwa makocha hawasomi maoni ya mashabiki wasingekuwa wanajirekebisha katika maamuzi yao kumbuka Kuna watangazaji, wachambuazi na watu wao wa karibu unadhani ujumbe umfikii labda usiwe kwenye social media au usiwe unaifuatilia television. Liverpool ninayo ijua Mimi huwa hawana Mambo ya possession na hata ukiangalia aina ya wachezaji mnao sio watu wapossession ni WA counter attackCoach ana plan zake, unafikiri maoni yenu huku anayasoma😂
Ni suala la timing tu, Isak hayuko kwenye form, Salah , Macca ana injury , chemistry itarudi tu.
Liverpool ilikuwa mbovu miaka ya nyuma na wala watu hawakulalamika hii baada ya watu kuiona standard za Klopp watu wanabadilika.
On average kwa EPL kuna mechi 2-5 unajua utafungwa na za droo kama 5 ndio uwe bingwa.
Safari bado sana na mwisho wa msimu ndio tutafanya analysis vizuri
Liverpool unayoijua wewe ya mwaka gani?Ingekuwa makocha hawasomi maoni ya mashabiki wasingekuwa wanajirekebisha katika maamuzi yao kumbuka Kuna watangazaji, wachambuazi na watu wao wa karibu unadhani ujumbe umfikii labda usiwe kwenye social media au usiwe unaifuatilia television. Liverpool ninayo ijua Mimi huwa hawana Mambo ya possession na hata ukiangalia aina ya wachezaji mnao sio watu wapossession ni WA counter attack
Cheltako hamtakiwi kuongelea bei za wachezaji nyie ndio mnaongoza kwa kupigwaMmetumia pesa nyingi kwa wachezaji wa average isak, wirtz au Ekitike sio wa thamani yakutoa 120 huwa hiyo pesa inatoka kwa mchezaji exceptional ( Extra factor) Kama Mbappe au Lamine Jamal mlikuwa mnapesa nyingi mmeshindwa kutumia kwa wachezaji sahihi
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi hapa VVD alikuwa anafanya nini?
Au nndio staili yake ya kizee ya kumkaba Caicedo
View attachment 3484747
Na counter attack nazo zimegoma 🤣🤣🤣Ingekuwa makocha hawasomi maoni ya mashabiki wasingekuwa wanajirekebisha katika maamuzi yao kumbuka Kuna watangazaji, wachambuazi na watu wao wa karibu unadhani ujumbe umfikii labda usiwe kwenye social media au usiwe unaifuatilia television. Liverpool ninayo ijua Mimi huwa hawana Mambo ya possession na hata ukiangalia aina ya wachezaji mnao sio watu wapossession ni WA counter attack
KabisaCheltako hamtakiwi kuongelea bei za wachezaji nyie ndio mnaongoza kwa kupigwa
Na counter attack nazo zimegoma 🤣🤣🤣
Sisi hatujawahi kutoa zaidi ya pound 100m kwa single player na tukapigwa angalia Caicedo na Enzo Fernandez wanachokifanya nyinyi mnatoa more than ya pound 100m Tena kwa mchezaji mmoja Tena ni averageCheltako hamtakiwi kuongelea bei za wachezaji nyie ndio mnaongoza kwa kupigwa
hao walioanza kushabikia Liverpool enzi za Klopp 2015. Liverpool ilipitia kipindi kama hiki cha Man U , 1990-2015. mashabiki wengi wakakimbia wakahamia Chelsea na Man City baadae.Yaani ninyi kufunga mechi 2 tu mmebabaika hivi, vipi kama mngekuwa mashabiki wa United, si tungeishazika kitambo sana? Nawashauri kitu kimoja, angalieni mpira kama burudani sio kuangalia mmefungwa au kusuluhu. Mtanishukuru baadae mkienda na huu mtizamo wangu.
Hehehehehe mudryk yupo wapi ?Sisi hatujawahi kutoa zaidi ya pound 100m kwa single player na tukapigwa angalia Caicedo na Enzo Fernandez wanachokifanya nyinyi mnatoa more than ya pound 100m Tena kwa mchezaji mmoja Tena ni average
Unfortunately Gravern is neither playing as an anchor/seater. He is playing offensively with much freedom not like last season.Kuna wakati sio kila mechi inachambulika, Wakati msimu unaanza humu tuliwauliza kama mnaendelea na Gravenberch kama DM wenu, sikuona mtu wa kuliongelea humu. Slot bado sijashawishika naye, na sio sababu ya mechi ya mechi jana, tujipe muda zaidi.