Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unauza mtu kama Nunuz msimu aliyesaidia mabao 28 kwa dk 45 za kila game . Then Luis Diaz msumbufu mwenye kufungua nafasi ... unakuja kusajiri watu wasioeleweka team haiko balance kabisa . Msimu huu tutabondwa sana
Diaz aliomba kuondoka huwezi lazimisha mchezaji abaki, labda walvyo muuza Nunez
 
Diaz aliomba kuondoka huwezi lazimisha mchezaji abaki, labda walvyo muuza Nunez
Huyo Nunez mwenyewe mashabiki walikuwa wanamkataa hapa sijui wamejitoa ufahamu na wakafurahia pesa walimuuza kwamba ni nzuri kumlinganisha na kiwango alichokionesha
 
He who lives by last minute goals die by last minute goals.
They have tasted our own medicine.

What's wrong with LFC??

Nianze kwa kurudia niliyowahi kuyasema humu. Timu ili ifanye vizuri inapaswa kuwa na strong spinal chord (spine of the team). You need to have World Class GK, World Class CB, World Class DM nad World Class ST. Kwa kuangalia LFC ya sasa unaona missing element ni DM. DM is not just a role, ni passion ni quality ni mind set, hiki ndicho tunakosa kwa sasa kama LFC.

Tuone kama game ya jana
IMG-20251005-WA0003.jpg


Angalia stats hizo utaona we weren't that bad as majority think we were.
xG ilikuwa up higher than them, yaani matarajio ya kupata goli yalikuwa makubwa kuliko ya CFC sio najisemea ni stats zinasema hivyo, Why? Kwa sababu ya chances created.

Shots tunalingana, in term of total shots. Sasa utofauti unakuja hapa kwenye on target.
Wamefanya on target 6 wakafunga 2 tumefanya on target 2 na kufunga 1. Issue ipo hapa tumefanya 5 block shots na wao 2 tu. Maana yake ni kwamba defensive compact yao ilikuwa on point tofauti na ya LFC, Why? Sio kwamba wana defensive line nzuri Big no to me, ile kwenye kiini cha kulinda middle of the park wana mtu sahihi huyu ni Caicedo.
LFC block shots atkeast 4 alifanya Mamardashavill (Good GK excellent one) No Alisson less pressure for sure. Kama kipa wako anafanya saves nyingi tafsiri yake mpo wazi sana kuanzia middle of the park mpaka defensive line yenu.

CFC had formidable MF ndio imewapa ushindi walioupata jana na walitumia udhaifu huo ku capitalize na kupata walichopata.
Gravern, Macca, Szobo, Jones all aren't defensive minded MF, kuwekwa kwenye hiyo role inaanzia akilini ndio maana wanasema offensive minded/ defensive minded kwamba hizo quality zinaanzia kichwani.
Hey MoNa mbona last season Gravern alicheza vizuri as DM? Yes he did, ulimuona same Gravern wa 2nd half of the last season?? Were two different players. And this season he has more freedom than last season he is not our seater, thats why unaona ana good numbers so far compare to those of last season in term of goals & assists.

Goli la kwanza la B'mouth and Jana CFC la Caicedo looks a like eh,. Why? Disjointed MF and poor individuality in our defence.

IMG-20251005-WA0004.jpg


See these stats, hatupo vibaya kama wengi wanavyoamini na kuaminishwa japo ukweli ni kwamba hatupo vizuri pia, unfortunately hakuna kipimo vya uzuri na ubaya inategemea na matarajio yako ni yapi.

Big chances 4 hapa utamkuta Mr. Gakpo na Mr Salah, wasteful of chances. Salah wasted a beautiful chance that could registered beautiful assist from Wirtz.

IMG-20251005-WA0005.jpg


Hapa ndipo tulipodakwa na CFC,
Angalia first three stats hasa hiyo passes in a final third, misplaced passes nyingi, back and sideways passes nyingi sidhani kama hili ni suala la kocha, ni ishu ya individuality tu, no players want to risk going foward. Unfortunately all our wingers are dead (Gakpo and Salah).

There is no link kati ya (RB & RW) LB &LW) No tracking back. Kerkez several times amefanya overlapping Gakpo didn't bother to pass ball to him, mpira anaupoteza Gakpo and he isn't bother to track back. Hii ni confidence ya hali ya juu ya uhakika wa kucheza (dutch spare dutch)
Same to Salah mipira anapewa mingi output not as we used to know then he can't dare to track back. Game ya jana, uliona namna Neto, Cucurela walivyokuwa wanasaidiana majukumu, kwa LFC hiyo kitu hamna, the issue is on Salah and Gakpo, hii ni weakness ya Slot na itamgharimu kama ataendelea kukumbatia nyuki manundu yatamuhusu, let him keep kissing bees.

IMG-20251005-WA0007.jpg


This is a reason Isak isn't doing good, less passes in a final third, output huwezi kuiona.

What to do now.??
No Cohesion build that, no aggressiveness build that, Go back to last season tactics, this season new tactics doesn't work so far instead it has killed team rhythm, moment and players qualities.

If i were Slot Gakpo less mins zinamuhusu, give Ngumoha and Chiesa game time who are willing to play for the team. Build your team around Gravern, Wirts and Isak/Ekitike lets forget about Salah. Bitter truth
Salah will not be the Salah as we used to know him age is a pure factor to hinder his quality plus his mindset. Gakpo with one style of play in addition he has enjoying play whatever he wants regardless his output.

LFC first over player, manager or even owner.
A good coach can use what he has to give good results at the end of campaign.
Time to play Endo + Gravern as our defensive dual hapo katikati. We need defensive minded player not just a role
Give Chiesa and Ngumoha more mins than Gakpo, sub and /or bench Salah wherever it needed to do all these just for the team.
Keep playing as you play vs CFC neutral 4, (Full backs zishambulie pembeni, tumia rest defense ya 2 CB's and DM Probably Gravern) then give Chiesa and Ngumoha mins, stop forcing all your new signing to play at once you put them under pressure and yourself too.

My guts still telling me hey MoNa without proper DM you will do nothing, and i trust my guts too.

Best of luck
Two hots weeks ahead
Ukiua kwa upanga utauwawa kwa upanga.
Back to back defeats in a dying mins.
Let's be honest to every LFC i love your heart i really don't you get BP, Just lower expectations with our team currently. Have less hope with the boys i don't see good days ahead for now unless Slot go back to basics and stop playing currently Gakpo and Salah 90'min.
Hopefully vs UTD anythiy can happen, poor basics performances kwa mf hapo sijaongelea aerial duels hapo, simple passes patterns za kawaida tu zimekua shughuli. Slot hana records na Portuguese managers (ANYTHING CAN HAPPEN).

See You Next God Willing buddies.

Know You Can
Ynwa'
 
Kuna wakati sio kila mechi inachambulika, Wakati msimu unaanza humu tuliwauliza kama mnaendelea na Gravenberch kama DM wenu, sikuona mtu wa kuliongelea humu. Slot bado sijashawishika naye, na sio sababu ya mechi ya mechi jana, tujipe muda zaidi.
 
Wametunguliwa bwana🤣🤣🤣....Liva watafute beki wa kueleweka....vngnevyo msimu huu wataaibika sana....bichwa ndonga Slot watu washamjulia....mechi ijayo na Manunu....kama naliona teka mabao ngongoti la Manunu
Benja kama Benja kafufuka ana ugwadu ,atahakikisha Arsenal wote Wana furaha
 
Tunarudi enzi za kusifia possession na huku tunapasuka kimatokeo.I thought huko tulishatolewa na Klopp.

Possess mpira hata kwa 90% kwa 10% kama timu inaruhusu goli 1 kwenye kila mashambulizi mawili,haina maana kabisa kumiliki mpira.

Na by the way hiyo ni small team mentality.Liverpool ni timu kubwa inayohitaji kushinda mechi zake.Sio kumiliki mechi zake.

Kumiliki sio shida kama unashinda mechi.Lakini kumiliki huku haushindi na unapiga kifua kuwa ulimiliki ni ufala
 
Kuna wakati sio kila mechi inachambulika, Wakati msimu unaanza humu tuliwauliza kama mnaendelea na Gravenberch kama DM wenu, sikuona mtu wa kuliongelea humu. Slot bado sijashawishika naye, na sio sababu ya mechi ya mechi jana, tujipe muda zaidi.
Haya mambo mkishafungwa ndio mnayaongelea. Mkiwa mnashinda tunaambiwa Grav ndio best kwenye nafasi yake na mkafikia kusema hamuhitaji DM tena kwa kuwa yeye yupo.

Just one bad game mnataka kutokea kwake.
 
Mlikuwa mnamlinganisha Caicedo na yule kiungo wenu mmeona utofauti hii ni mechi ya pili anafunikwa na kugaragazwa

Kwanini usiweke utaratibu wa kumtag muhusika kwa kila kauli iliyosemwa kuliko kumuhusisha kila mtu nikiwemo na mimi?

Ushawahi kuniona na posts za kusifiasifia kocha au hao viungo ualiowataja?
 
Mmetumia pesa nyingi kwa wachezaji wa average isak, wirtz au Ekitike sio wa thamani yakutoa 120 huwa hiyo pesa inatoka kwa mchezaji exceptional ( Extra factor) Kama Mbappe au Lamine Jamal mlikuwa mnapesa nyingi mmeshindwa kutumia kwa wachezaji sahihi
Nyie hamjawahi kutumia hizo pesa nyingi? Em tazama huyu 🤣🤣 anabwabwaja tu sio nyie mlirundika michezaji mingi mpk ikawa inakosa namba? 🤣🤣 Lukaku mlimsajili kwa kiasi gani?
 
Mmetumia pesa nyingi kwa wachezaji wa average isak, wirtz au Ekitike sio wa thamani yakutoa 120 huwa hiyo pesa inatoka kwa mchezaji exceptional ( Extra factor) Kama Mbappe au Lamine Jamal mlikuwa mnapesa nyingi mmeshindwa kutumia kwa wachezaji sahihi
Lamine Jamal!!!! Hel no! Hana uspecial wowote aisee.
 
Nyie hamjawahi kutumia hizo pesa nyingi? Em tazama huyu 🤣🤣 anabwabwaja tu sio nyie mlirundika michezaji mingi mpk ikawa inakosa namba? 🤣🤣 Lukaku mlimsajili kwa kiasi gani?
Sisi hatujawahi kutumia pesa ndefu kwa wachezaji watatu kwenye dirisha moja tulifanya kwa Caicedo na Enzo wote walikuwa zaidi ya mil 100 pounds lakini umeona impact yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom