City hamna kitu kwa sasa, City ya zamani ile ya kushambulia mwanzo mwisho sio hii ya kupaki basi 😂Bora atufukuzie arsenal but sio city nmependa matokeo
Bora atufukuzie arsenal but sio city nmependa matokeo
ARSENAL HAMNA KITUKwa City hii bora hata atufukuze yeye kuliko hata huyo Arsenal
Hamlikubali kabisa soka la Arteta bin LadenARSENAL HAMNA KITU
Kama yule jamaa wa Chelsea.Hii JF inapaswa kufungiwa maisha tubaki hivihivi.
Yaani tokea ilipofungiwa wale wavulana wasio na adabu wametoweka wote
Hakika, naona raha kurudi jukwaani sasa baada ya "vijana wa hovyo" kupungua.Hii JF inapaswa kufungiwa maisha tubaki hivihivi.
Yaani tokea ilipofungiwa wale wavulana wasio na adabu wametoweka wote
Chiesa anaitafuta namba kwa nguvu mnoo, azingatiwe
Ekitike kapata kadi nyekundu ya kijinga sana
Hahahaaaa! Hawana adabu kwa wazee wao.Sasa bora tubaki hivihivi Wazee wachache ili heshima itawale
Ollachuga OC.Kama yule jamaa wa Chelsea.
Adhabu ya kadi nyekundu kwenye kombe la carabao inajumuishwa hadi kwenye ligi, kwa maana hiyo mechi ya wikiendi dhidi ya crystal palace ameshaikosa hivyoMuhimu asije kupata kadi kwenye EPL tu