Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Zile late winners zilikuwa dalili kuwa hamko mbali na kupoteza mechi.
Ningekuwa nabet, msimu huu nampa kombe tetea au pep ila sio liverkuku.
 
Wirtz €150m ....

Hata huyu isak kwa bei ile over £100m mtakuja kumkataa hapa,,,,hana bei hiyo , pia msisahau ni injury prone.... hawezi kucheza mechi 12 mfufulizo .....

Yetu macho !

Kerkez nae hamna kitu ! Ekitike na Frimpong ndio majembe
 
Msio mashabiki wa LFC mnafuata nini kwenye uzi wa LFC!?
Kufungwa ni sehemu ya mchezo.
Ninaamini AS atarekebisha makosa yanayoonekana mapema.
 
Wirtz €150m ....

Hata huyu isak kwa bei ile over £100m mtakuja kumkataa hapa,,,,hana bei hiyo , pia msisahau ni injury prone.... hawezi kucheza mechi 12 mfufulizo .....

Yetu macho !

Kerkez nae hamna kitu ! Ekitike na Frimpong ndio majembe
Ulianza vzuri ila ukaja kuharibu kwny Frimpong....hyu ni mchezaji asiyefaa ligi kuu....Kuna siku utakuja kuelewa nnachosema....Liverkuku watafute namba 2 mwingine acheze na Bradley.....Mohammed Salah mshahara wa £400000 unamtia kiburi sasa....anacheza kibishoo sana sasahivi....Liverpool waombe wasipate majeruhi marefu mpk January upande wa mabeki...vngnevyo kikiwalamba sasahivi watajuta....
 
Bora walau frimpong mkuu... !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom