Ndani bunduki na kwenye benchi bundukiIsack ndani.
Tumeanza na kikosi sahihi kabisa.
Labda tukitangulia kushinda tupaki BusTutafute Mwarubaini wa kuzuia kuconcede magoli ovyo
Kwanini tupaki bus, mpira wa Klopp ulikuwa unabamba sana yaani dk 90 ni mikimbizano tu hakuna kuacha mtu apumueLabda tukitangulia kushinda tupaki Bus
Sasa tukinyumbulika na wao wanatuwahi, enzi za Klop team nyingine zilikuwa za kawaida, sasa hivi kila team ina ubora wakutosha, na wakikutana na team kama Liverpool wanataka watoe muku, sasa dawa yao kuwatangulia kisha kupaki Bus.Kwanini tupaki bus, mpira wa Klopp ulikuwa unabamba sana yaani dk 90 ni mikimbizano tu hakuna kuacha mtu apumue
Labda tukitangulia kushinda tupaki Bus
Tumpe muda tapeli🤣Wirtz bench...... !
Lini tuanze kumtetea ?
Niliwahi kusema hapa khs ile price tag, na intensity ya Epl ....!
Wacha tuendelee kusubiri anaweza kuadapt ama akapotea mazima ...