Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Giovanni Leoni has torn his ๐€๐‚๐‹ and set to be out for several months ๐Ÿค•โค๏ธโ€๐Ÿฉน

After excellent debut in League Cup last night with also Arne Slot very happyโ€ฆ an unlucky injury for Leoni who will try to be back before the end of the season. ๐Ÿคž๐Ÿผ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น

Get well soon, Gio! โค๏ธ๐Ÿ‘Š๐Ÿป
 
Dah! Dogo ameanza na mkosi
 
Leo tupo uwanjani na mechi ngumu kwakweli

It depends na Slot mwenyewe atakavyoiandaa Timu
 
Liverpunyeto genge la wahuni na matapeli tu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Slot aendelee kujifunza ili mambo yasije kuwa magumu kwake hapo baadae

Wachezaji alionao ni kwamba ana kila kitu alichohitaji
 
Mm si fan wa liver, lakini Liver ndio timu pekee Uingereza ambayo ina wachezaji, huwa siku mbaya kazini hazikosekani maana Palace wangetumia nafasi zao Leo ingekuwa ni historia, by the way timu zetu zingine zina safari ndefu sana kufika walipo Liverpool.
 
Ina wachezaji ndio, lakini uchezaji wao upoje?
Binafsi naona hauridhishi kabisa yaani pasi nyingi ambazo hazizai goli, sasa ushindi wa possession unakupeleka wapi?
 
Kichwa mviringo anapenda sana Back pass na counter attack, akikutana na team yenye defence nzuri hapati goli, naanza kuwa na mashaka na huyu kocha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom