Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,886
- 17,592
Nenda kacheze wewenaona Kostas anasepa ila mimi kwa upande wangu naona bora angesepa Robertson maana hata huyu Kerkez aliyekuja sioni kama ni mzuri kihivyo(tuseme haja adopt)
Nenda kacheze wewenaona Kostas anasepa ila mimi kwa upande wangu naona bora angesepa Robertson maana hata huyu Kerkez aliyekuja sioni kama ni mzuri kihivyo(tuseme haja adopt)
upo sahihi mtaalam
- Ushambuliaji ulikuwa butu kabisa alipotoka Ekitike
- Midfield Szobo alicheza vizuri kipindi cha kwanza tu, second half akapotea.
- Salah inaonesha msimu uliopita alikuwa na performance ya kutafutia mkataba, baada ya kupata Mkataba mechi 7 za mwisho alipotea mpaka jana.
- Kerkez mpaka jana sijaona kuwa ni upgrade ya Robertson, hivyo labda tumsubirie tu.
- Florian and Frimpong they were OK
- VVD alikuwa pazia kwa dakika zote 90
- Konate ndiyo yeye alikuwa nyavu kabisa
- Allison was in his best yaani kazi za Konate na VVD alikuwa akizifanya yeye jana kucheza mipira nje ya boksi.
- Johnes ni new version ya Henderson yaani pale DM ni sawa na kuwa tulichomeka nguzo tu.
- Performance ya Timu kiujumla ilikuwa mbovu sana yaani hata kucheza 5 complete passes ilikuwa ni changamoto.
- Timu haikuwa na Identity of playing hivyo Slot atengeneze Identity tujue tunacheza style gani kama alivyokuwa Klopp.
Huu ni ujanja au ujinga kuandika neno lisilo na staha hadharani?Mmelombwa 😂
Slot ajiangalie asije kujisahau ni Liverpool hii


Lawama zote anabebeshwa 

Hapo neno gn halina staha?Huu ni ujanja au ujinga kuandika neno lisilo na staha hadharani?
Upo nyuma ya keyboard sawa lakini personality yako haijifichi..
Mate, this is a football forum, not your living room for random chit-chat.Hapo neno gn halina staha?
Nakataa Manchester United kuwa wa 12 kwenye msimamo. Lakini nimekubali kuona arsenal Netflix kuwa wa 2.
kwa maoni yako itamaliza nafasi ya ngapi?.Nakataa Manchester United kuwa wa 12 kwenye msimamo. Lakini nimekubali kuona arsenal Netflix kuwa wa 2.
akikosekana GRAVI hakuna ushindi.Midfielders kwasasa ni GRAVI-SZOBO-FLORIAN
Yupo top 5 and above.kwa maoni yako itamaliza nafasi ya ngapi?.
Ni rahisi kuona hili ukizingatia kuwa Community Shield huwa ni kati ya mshindi wa ligi kuu na mshindi wa FA Cup. Ikitokea kuwa mshindi wa ligi kuu pia alishinda FA Cup basi anashindanishwa na mshindi wa pili wa ligi. Mechi hii ni ya kirafiki zaidi na pia ni mechi moja tu ya kufa kupona, lazima bingwa apatikane, hivyo lolote laweza kutokea kama mshindi kupatikana kwa penati.Nitakupa references
Tangu mwanzo wa zama za Premier League (1992–93), timu 8 kati ya 33 zilizoshinda Community Shield zimethibitisha pia ushindi wa Ligi Kuu msimu huo huo — ni chini ya robo ya timu zote.
Pia, katika misimu 13 uliopita, tu moja kati ya timu zilizoshinda Community Shield imefanikiwa kushinda Ligi — hiyo ilikuwa Manchester City mwaka 2018–19.
Kwa kifupi: ushindi wa kwenye Community Shield si kiashirio cha mafanikio msimu mzima wa Ligi Kuu. Ni idadi ndogo sana ya timu zinazoweza kufanya double (Community Shield + Premier League) msimu huo huo.
NITAKUPA SABABU TANO WHY this is possible and afterall this is what we call real coincidence


Shida ya mashabiki wa Livapuli wao hua wanafikiria kila siku ni ijumaa, mmebahatisha msimu uliopita baada ya kipara msimu mzima kua bize mahakamani na kesi ya talaka ya mkewe, mnajiaminisha msimu huu pia ni wenu.