Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
New guns for hire🔥🔥🔥🔥
YNWA
Bila ukuta imara hakika tuna mateso yaja.Hivi ndivyo msimu wenu utakavyomalizika., kutesa Kwa zamu
Mkuu yaani crystal palace abebe ligi😁Ni rahisi kuona hili ukizingatia kuwa Community Shield huwa ni kati ya mshindi wa ligi kuu na mshindi wa FA Cup. Ikitokea kuwa mshindi wa ligi kuu pia alishinda FA Cup basi anashindanishwa na mshindi wa pili wa ligi. Mechi hii ni ya kirafiki zaidi na pia ni mechi moja tu ya kufa kupona, lazima bingwa apatikane, hivyo lolote laweza kutokea kama mshindi kupatikana kwa penati.
Chukua mfano wa Crystal Palace ambaye alimaliza nafasi ya 12 msimu uliopita. Unaonaje kuhusu uwezekano wake kuchukua kombe la ligi kuu msimu huu mbele ya Liverpool?
Si ndiyo hapo sasa 😀 😀 😀 . Mtu anakuambia kuwa kihistoria mshindi wa community shield mara nyingi haendi kushinda ligi. Mimi nikajaribu tu kumuwekea context japo kidogo tu 😀😀😀Mkuu yaani crystal palace abebe ligi😁
Hawa tungekua na cdm baleba gk donnarumma, ingependeza kama tungepangiwa kucheza nao mechi ya kwanza. tena wakiwa kwetu old Trafford,maana wana vilaka vingi hawana DM na beki 😁😁. huyo slot(shaulini monki), mwache aendelee kupaka mafuta ya baby care kwenye ilo para lake. huyu atapugwa mda c mrefu yaani jamaa kwenye post match interview, hajazungumzia haya matatizo na jinsi ya kuyatatua yeye kaongea juu juu tu kama mkandala lufufu(R.I.P).Shida ya mashabiki wa Livapuli wao hua wanafikiria kila siku ni ijumaa, mmebahatisha msimu uliopita baada ya kipara msimu mzima kua bize mahakamani na kesi ya talaka ya mkewe
mnajiaminisha msimu huu pia ni wenu.
Mimi nawahakikishia mwisho wa msimu huu hio kichwa mviringo Slot Machine inatimuliwa hapo Anfield. View attachment 3438582
Vituko ni vingi sana mkuu.Si ndiyo hapo sasa 😀 😀 😀 . Mtu anakuambia kuwa kihistoria mshindi wa community shield mara nyingi haendi kushinda ligi. Mimi nikajaribu tu kumuwekea context japo kidogo tu 😀😀😀
We kinabo kweli nitafungwa na. Timu zote ila sio manyumbuHawa tungekua na cdm baleba gk donnarumma, ingependeza kama tungepangiwa kucheza nao mechi ya kwanza. tena wakiwa kwetu old Trafford,maana wana vilaka vingi hawana DM na beki 😁😁. huyo slot(shaulini monki), mwache aendelee kupaka mafuta ya baby care kwenye ilo para lake. huyu atapugwa mda c mrefu yaani jamaa kwenye post match interview, hajazungumzia haya matatizo na jinsi ya kuyatatua yeye kaongea juu juu tu kama mkandala lufufu(R.I.P).
Wew ndina kabisa huoni vilaka mlivyo navyo hivi kwa timu inayojielewa kweli unakua na beki kama van djik.We kinabo kweli nitafungwa na. Timu zote ila sio manyumbu
Kweli we ni nyumbu kwahiyo Liverpool inaviraka kuzidi nyie manyumbu akili Yako ipo makalioni umesaajili zee bonge nyanya mbeumo naona akili imekuluka umesahau nafasi zako ni za kushuka darajaWew ndina kabisa huoni vilaka mlivyo navyo hivi kwa timu inayojielewa kweli unakua na beki kama van djik.
Unaandika kama mtu aliyetawaziwa gongo akalewa kiuno. Wew ni shabiki wa liverfoolish usie na akili mashabiki wenzako wenye akili na wachambuzi makini wa mpira wamezunguzia vilaka vyenu ambavyo vitawakosti msimu huu wa ligi lakini wew boya na dishi lako lililoyumba ambalo unalitumia kuhifadhia sisimizi humo ndani ndio unajizima data. Mnasajili washambuliaji kimbao mbao akina ekatikie na kusaha kuziba vilaka sehemu muhimu, na msimu huu mtashenyentwa sana.Kweli we ni nyumbu kwahiyo Liverpool inaviraka kuidi nyie manyumbu akili Yako ipo makalioni umesaajili mzee bonge nyanya mbeumo naona akili imekuluka umesahau nafasi zako ni za kushuka daraja
Shida ya mashabiki wa Livapuli wao hua wanafikiria kila siku ni ijumaa, mmebahatisha msimu uliopita baada ya kipara msimu mzima kua bize mahakamani na kesi ya talaka ya mkewe
mnajiaminisha msimu huu pia ni wenu.
Mimi nawahakikishia mwisho wa msimu huu hio kichwa mviringo Slot Machine inatimuliwa hapo Anfield. View attachment 3438582
🚨 | Alexander Isak has insisted he will not play for Newcastle United again, even if the transfer window closes without him leaving the club.
Isak feels his time at Newcastle is over and does not want to return to the squad.
Newcastle maintain that Isak is not for sale, but they are exploring options in the market, while Liverpool have shown interest in signing hi and Isak himself only wants Liverpool.
[Source: @davidornstein – @theathleticfc]
Tuliza kinyeo hicho we nyumbu Dili na timu lako ambalo Kila msimu linafanya kazi ya kugombania kutokushuka daraja huku man of the mechi akiwa magwaya naona haulioni lilivyobovu mpaka mmefikia hatua kuleta kocha mhindi halafu unaanza kubinua kinyeo na kuona mapungufu ya timu zingine yaani unawasema wengine kwamba hawajavaa shati kumbe wewe umevaa suruali ila imetoboka nyuma makalio yote yapo nje yanapigwa upepo halafu unajisifia umevaaUnaandika kama mtu aliyetawaziwa gongo akalewa kiuno. Wew ni shabiki wa liverfoolish usie na akili mashabiki wenzako wenye akili na wachambuzi makini wa mpira wamezunguzia vilaka vyenu ambavyo vitawakosti msimu huu wa ligi lakini wew boya na dishi lako lililoyumba ambalo unalitumia kuhifadhia sisimizi humo ndani ndio unajizima data. Mnasajili washambuliaji kimbao mbao akina ekatikie na kusaha kuziba vilaka sehemu muhimu, na msimu huu mtashenyentwa sana.