Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa uchezaji huu sitegemei kuona mkiokota walau point 1 dhidi ya manchester united.

Na tangu msimu jana nimekuwa nikiwaambia Slot ni kilaza ila mnajisahaulisha kwa kombe la bahati nasibu lile.
hatuja wahi kuogopa kelele za man u. kisa tumefungwa na palace ndio tufugwe na nyie manyumbu?. mpira hauko hivyo.
 
I'm so courageous we mighty have good season only if we are going to add good qualities before 1/9.

Sidhani kama kuna shabiki wa LFC yeyote hajui kama kuna uhitaji wa CB's pengine zaidi ya mmoja na DM mmoja monster one, the beast. Atakayeleta enough balance.


Tuachane na tactics na mengine tuje kwenye overall demand ya team.

Raha ya mpira huchezwa wazi sote tuna ushuhudia.

Pre season tumeruhusu goli kila mechi isipokuwa mechi moja tu ndio tulipata clean sheet, na leo tumeruhusu two goals. Maana yake ni kwamba kuna upungufu wa system ya ulinzi ambayo inakosa watekelezaji kwenye system hiyo, ikiwa system hiyo ni nzuri.

Slot anajaribu kuunda muundo wa 3-5-2 yenye shapes kadhaa especially offensively, maana yake ni back three, and Double pivot.

We are conceding goals for fun.

Kwenye football kuna backbone ya timu. Huu ni muundo straight kwa kuanzia
GK---> CB (No. 5)--> DM--> ST
Hizi position unahitaji quality players, ikiwa unataka kushindania makombe na kuyabeba. Any big team ikiwa na quality kwenye team backbone kuwin trophies ni high probability. Timu zenye quality eneo hili utaona wanafanya vizuri sana. Doesn't mean maeneo mengine yawe bila quality, no ila msingi wa ubora unaanzia kwao.

Unakumbuka LFC ya Klopp kabla ya Alisson, Vvd, Fabinho, we were conceding goals for fun. Alipoachana na kina Karius, Mignolet as his GK's Lovren, Klavan, Sakho, kama CB's wake Henderson, Leiva, Can kama DM's wake we all know kilichojiri baada ya kuwavuta Alisson, Vvd, Fabinho na mbele Bobby (ambaye alimkuta).

Liverpool ya sasa Slot ameshaanza kutengeneza timu yake we will see his true colour this season, Anachokikosa Slot ni Monster DM.

My view on the coming season, nasubiri kuona in comers kisha nitasema naiona wapi LFC msimu ujao.

Ila kwa ufupi sana kama hatutaingia sokoni kusajili atleast 3 quality players (CB, ST & a Winger) we are going to struggle msimu ujao hasa hasa defensively. Yes, we have no balance in our team yet. Shortage kwenye CBs less DM quality. And unfortunately Endo is there ila haaminiwi na Slot.
I can count today's game as preparation for the next season. Alichofanya Slot kumuacha Endo nje na kucheza na Jones as six, ni kumkosea sana Wirtz heshima. You need Strong double pivot ili kuona ubora wa Wirtz. That's why game ya leo its a friendly game with a cup in it.

I like our qualities offensively very quality ila defensively ni hypertension,

Slot amechagua silaha moja offensive strength than defensive strength, ila silaha nzuri ni kuwa balanced.

Lets see transfer wamepanga nini, hasa defensive issues and ST position.

N.B
Nunez Scored in his debut. Wish him all the best.

Ynwa
 
Slot alifeli pia kwenye tempo shift yaani mabadiliko ya mchezo kila baada ya muda fulan

aliruhusu timu icheze kwa kasi moja muda mrefu, jambo lililoifanya Palace kuzoea na kujipanga. Hakukuwa na "tempo shifts" za kuvunja umakini wa mpinzani

Badala ya kubadilisha shape (mfano kuingiza mchezaji wa "second striker" au kuongeza central overload), mabadiliko yalikuwa ya jina badala ya mfumo — hakuna tofauti kwenye pattern ya mchezo

Wachezaji hawajazoeana wao kwa wao.
Subs alizofanya hazikuwa na +impacts yeyote.
Defensive line dhaifu.
Hawakuwa na maandalizi mazuri kwa penalties, walitoka kimchezo sana psychological baada ya kupigwa bao la pili

Let's wait next games
Ynwa
 
Eti Endo akae nje halafu 6 acheze Jones dah!, Slot ananipa mashaka kidogo

Kuhusu Slot ingawa kashinda ubingwa sijawahi kumuongelea kwa chochote nina sababu muhimu ya kufanya hivyo hasa baada ya kupoteaza FA, Carabao na UCL, na sasa ngao. Hivyo kuna jambo kuhusu yeye halipaswi kupuuzwa ingawa muda sahihi wa kuongea ni bado.
 
Slot alifeli pia kwenye tempo shift yaani mabadiliko ya mchezo kila baada ya muda fulan

aliruhusu timu icheze kwa kasi moja muda mrefu, jambo lililoifanya Palace kuzoea na kujipanga. Hakukuwa na "tempo shifts" za kuvunja umakini wa mpinzani

Badala ya kubadilisha shape (mfano kuingiza mchezaji wa "second striker" au kuongeza central overload), mabadiliko yalikuwa ya jina badala ya mfumo — hakuna tofauti kwenye pattern ya mchezo

Wachezaji hawajazoeana wao kwa wao.
Subs alizofanya hazikuwa na +impacts yeyote.
Defensive line dhaifu.
Hawakuwa na maandalizi mazuri kwa penalties, walitoka kimchezo sana psychological baada ya kupigwa bao la pili

Let's wait next games
Ynwa

  • Ushambuliaji ulikuwa butu kabisa alipotoka Ekitike
  • Midfield Szobo alicheza vizuri kipindi cha kwanza tu, second half akapotea.
  • Salah inaonesha msimu uliopita alikuwa na performance ya kutafutia mkataba, baada ya kupata Mkataba mechi 7 za mwisho alipotea mpaka jana.
  • Kerkez mpaka jana sijaona kuwa ni upgrade ya Robertson, hivyo labda tumsubirie tu.
  • Florian and Frimpong they were OK
  • VVD alikuwa pazia kwa dakika zote 90
  • Konate ndiyo yeye alikuwa nyavu kabisa
  • Allison was in his best yaani kazi za Konate na VVD alikuwa akizifanya yeye jana kucheza mipira nje ya boksi.
  • Johnes ni new version ya Henderson yaani pale DM ni sawa na kuwa tulichomeka nguzo tu.
  • Performance ya Timu kiujumla ilikuwa mbovu sana yaani hata kucheza 5 complete passes ilikuwa ni changamoto.
  • Timu haikuwa na Identity of playing hivyo Slot atengeneze Identity tujue tunacheza style gani kama alivyokuwa Klopp.
 
Mapungufu ya leo

  • Hatuna Defensive midfielder kabisa
  • CBs zimechoka zipo chini ya viwango
  • Baada ya kutoka Ekitike hatukuwa tena na mshambuliaji

Hivyo tunamhitaji Isack kwa sasa kuliko kitu chochote
Mara pap inakua kama Ile Liverpool ya miaka ya gengenpressings 🤣tunafunga 5 muda wote roho juu tukishambuliwa balaaa.

YNWA
 
Fabinho
Milner
Hakuna wapigaji bora wa penati Liverpool kama hawa.

Kelleher
Hakuna golikipa bora wa kudaka penati kama huyu
 
1. Tactical Explanation – What Happened?

a) Defensive Shape vs. Palace’s Transitions

Slot alitumia mfumo wa 3-2-5 timu ikiwa na mpira, ambao ulionekana kuwa na mtiririko mzuri wakati wa kushambulia. Hata hivyo, wakati wa kupoteza mpira (defensive transition), mfumo huu ulianguka na kuwa 5-4-1 dhaifu.

When Palace bypassed the first press, the midfield pivot was often caught too high, leaving the CBs exposed to 1v1 or 2v2 situations.

This is especially dangerous against Palace’s pacey forward (Mateta ) who thrive in broken-play moments.

Tatizo lilionekana mpangilio wa mabeki wakati timu inashambulia) haukuwa imara.
Mabeki wa kati walilazimika kutoka nje ya nafasi zao kwenda kufunika pembeni, na hivyo kuacha mianya katikati ya safu ya ulinzi

B) Defensive middlefield Misalignment

Curtis Jones started as a single pivot in some phases, but:

His natural instinct is progressive play, not sitting deep.

His body positioning was often too open, which is risky for a lone DM in defensive transition.

This allowed Palace to attack through the middle after turnovers because the "screen" in front of the CBs wasn’t solid enough.

c) Pressing Triggers Not Synchronised

Slot’s pressing setup demands compactness and timing.

In multiple sequences, the front five pressed aggressively while the midfield and defence stayed deep this created pressing gaps Palace exploited.

2. Kuna tatizo la kimuundo na individuals error

Hata ukiwa na wachezaji wazuri, kama:

  • Double pivot (viungo wawili wa kati wa ulinzi) hawana nidhamu ya kiulinzi,
  • Mabeki wa kati hawana kasi au uwezo wa kutambua hatari mapema,

basi mfumo huu utazidi kuruhusu nafasi kwa wapinzani.

Kumbuka, timu ya Klopp ya 2018–2020 ilifanya kazi vizuri kwa sababu:

  • Fabinho alikuwa kama firewall ya ulinzi – akikatiza mashambulizi kabla hayajafika mbali.
  • Van Dijk pamoja na Gomez au Matip waliweza kufunika maeneo ya pembeni na kati kwa ufanisi mkubwa.

Hii inaonesha kuwa tatizo si wachezaji mmoja mmoja tu, bali jinsi mfumo unavyowekwa na kuchezwa.

3. Player Profiles Who Fit

Centre-Back (CB) Profile Needed

Fast over 10–20m to defend high line recoveries.

Strong in aerial duels (Palace scored from set pieces and crosses).

Comfortable stepping into midfield when the shape morphs to a 3-2-5.

Examples (Realistic & Dream):

Micky van de Ven (Spurs) – elite recovery speed, left-footed.

Antonio Silva (Benfica) – good positioning + anticipation.

Lutsharel Geertruida (Feyenoord) – Slot’s former player, can play CB/RB.

Marc Guéhi (Crystal Palace) – already proven in the PL, excellent on-the-ball.

Defensive Midfielder (DM) Profile Needed

Positionally disciplined in both single and double pivot setups.

Excellent scanning & awareness to block central passing lanes.

Quick in defensive transitions to close space after turnovers.

Must handle progressive passing under pressure to feed Wirtz, Szoboszlai, Salah.

The likes of
João Palhinha (Fulham) – elite ball-winner, PL-proven.

Manu Koné (Gladbach) – strong in duels, can carry the ball.

Florentino Luís (Benfica) – natural shield, interception specialist.

4. Mapendekezo ya Mwisho ya Kitaaluma (Tactical Prescription)

Slot lazima afanye maamuzi kati ya haya mawili:

1. Kubaki na mfumo wa 3-2-5 lakini kusajili DM wa kiwango cha juu na CB wenye kasi ili mfumo huo ufanye kazi ipasavyo.

2. Kubadilisha mfumo kwenda 4-3-3 au 4-2-3-1 kwa muda, hadi pale usajili mpya utakapoziba mapengo hayo.

Bila kuongeza wachezaji muhimu, Liverpool itabaki kuwa na ubora mkubwa wa kushambulia lakini udhaifu wa ulinzi timu itakayoburudisha mashabiki kwa soka safi lakini ikipata tabu kushinda michezo mikubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom