Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mapungufu ya leo

  • Hatuna Defensive midfielder kabisa
  • CBs zimechoka zipo chini ya viwango
  • Baada ya kutoka Ekitike hatukuwa tena na mshambuliaji

Hivyo tunamhitaji Isack kwa sasa kuliko kitu chochote
SLot kamuacha Grav eti kisa kapata mtoto jana
 
Mapungufu ya leo

  • Hatuna Defensive midfielder kabisa
  • CBs zimechoka zipo chini ya viwango
  • Baada ya kutoka Ekitike hatukuwa tena na mshambuliaji

Hivyo tunamhitaji Isack kwa sasa kuliko kitu chochote
Livakuku katandikwa amepagawa, Eti tunamtaka isack kuliko kitu chochote 😄😄
 
Nitakupa references

Tangu mwanzo wa zama za Premier League (1992–93), timu 8 kati ya 33 zilizoshinda Community Shield zimethibitisha pia ushindi wa Ligi Kuu msimu huo huo — ni chini ya robo ya timu zote.

Pia, katika misimu 13 uliopita, tu moja kati ya timu zilizoshinda Community Shield imefanikiwa kushinda Ligi — hiyo ilikuwa Manchester City mwaka 2018–19.

Kwa kifupi: ushindi wa kwenye Community Shield si kiashirio cha mafanikio msimu mzima wa Ligi Kuu. Ni idadi ndogo sana ya timu zinazoweza kufanya double (Community Shield + Premier League) msimu huo huo.

NITAKUPA SABABU TANO WHY this is possible and afterall this is what we call real coincidence
 
Hizo ramli huu ni mpira sio kupiga ramli
 
Kwendaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom