Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi kweli utue kwa Neres na hio ela hawauzi😎😎😎....
Tumepoteza kasi hio upande wa kushoto lakin tunao Kerkez na Gapko ambao watakua wanafanya overlapping design kama Mane na Robertson kipindii hichooooo.
Disrisha bado lipo wazi tusubiri tuone kama kuna mbadala atatua maana kwa kaunta unahitaji runners kulia Salaha kushoto Diaz😄😄now gone let's wait.

YNWA
Shida mnaangaika na Isak bila kujali maeneo mengine muhimu ili kuwafanya muwe complete package
 
Kwako Captain Marvelous 🤣🤣🤣
IMG-20250728-WA0024.jpg
 
Shida mnaangaika na Isak bila kujali maeneo mengine muhimu ili kuwafanya muwe complete package
Hatari sana Mkuu.
Na huu mfumo wa 3 pale nyuma ndio unanipa shinda ukikutana na runners wazuri tutateseka.
Naona kwa mbali Slot akielekea ule mfumo wa Klopp wa definsi ya kwanza kua na wachezaji wa mbele kwamba wakipokonywa mpira basi wanaanza kusaka tena bila kupoteza muda hiii kazi alifanya MANE, Bobby, Gini, Salah enzi hizooo. Ngoja tuone kaka.

YNWA
 
MIAKA 6 YA HARVEY ELLIOTT NDANI YA LIVERPOOL

Harvey Elliott amejiunga na Liverpool (Reds) miaka sita iliyopita

Jina: Harvey Daniel James Elliott
Tarehe ya kuzaliwa: 4 Aprili 2003.

Mahali alipozaliwa: Chertsey, Surrey, England.

Harvey Elliott alijiunga na akademi ya vijana ya Queens Park Rangers (QPR) akiwa na umri mdogo, baada ya kukataliwa na Chelsea kwa madai kuwa ni “mdogo sana kwa umbo.

Harvey Elliott, ambaye alikuwa shabiki wa Liverpool tangu utotoni, amekuwa mchezaji muhimu na wa kudumu katika kikosi cha Liverpool FC tangu ajiunge na klabu hiyo katika majira ya joto ya mwaka 2019.

Harvey Elliott ni shabiki wa Liverpool tangu utotoni na alihudhuria fainali ya UEFA Champions League ya mwaka 2018 huko Kyiv akiwa pamoja na baba yake, Scott.

Kijana huyo alikuwa akifuatiliwa na klabu kubwa barani Ulaya kama Barcelona, Real Madrid, Paris Saint Germain na RB Leipzig, lakini alichagua kusaini mkataba na Liverpool badala yake.

Akiwa na umri wa miaka 15 na siku 174, Elliott alikuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea Fulham (maarufu kama the Whites) aliposhiriki katika ushindi wa Kombe la Carabao dhidi ya Millwall msimu uliopita.

Akiwa na umri wa miaka 16 na siku 30, Elliott alikuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kucheza katika Ligi Kuu ya England mwaka 2019 wakati Fulham walipocheza dhidi ya Wolverhampton Wanderers.

Harvey Elliott aliendelea kuwa na rekodi hiyo hadi 18 Septemba 2022, wakati ikivunjwa na mchezaji wa Arsenal, Ethan Nwaneri.

Harvey Elliott alisaini mkataba mpya wa muda mrefu na Liverpool tarehe 9 Julai 2021.

Katika msimu wa 2020–21, Elliott alicheza kwa mkopo katika klabu ya Blackburn Rovers na kuonyesha kiwango bora, akifunga mabao 7 na kutoa asisti 11. Uchezaji wake mzuri ulimletea pongezi na sifa kutoka kwa mashabiki na wataalamu wa soka.

Rafiki wake wa karibu ni Fábio Carvalho:
Harvey Elliott na Fábio Carvalho walipitia katika akademi ya Fulham, wakakua pamoja ndani ya mfumo wa maendeleo ya vijana. Baadaye, walikutana tena ndani ya klabu ya Liverpool na kuendelea kuimarisha urafiki wao.

Role Model wake ni Mohamed Salah:
Harvey Elliott anamchukulia Mohamed Salah kama mlezi na mfano wa kuigwa. Salah amekuwa akimsaidia katika masuala ya lishe, mazoezi ya mwili, na ukuaji wa kitaaluma, jambo ambalo limechangia sana katika maendeleo ya Elliott kama mchezaji wa kulipwa.

Harvey Elliott alicheza mechi yake ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya mwezi Februari 2022, akiianza dhidi ya Inter Milan. Ulikuwa mwanzo wake rasmi katika mashindano ya juu kabisa ya vilabu barani Ulaya.

Harvey Elliott alifunga bao lake la kwanza katika Ligi Kuu ya England mwezi Agosti 2022 dhidi ya AFC Bournemouth, katika ushindi mnono wa 9–0. Bao hilo liliimarisha nafasi yake ndani ya kikosi cha kwanza cha Liverpool.

Alipata jeraha baya la Kifundo cha Mguu – Septemba 2021:
Harvey Elliott alipata jeraha kubwa la kifundo cha mguu mwezi Septemba 2021 wakati wa mechi dhidi ya Leeds United. Tukio hilo lilimlazimu kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Harvey Elliott alirejea kwenye kikosi cha Liverpool tarehe 6 Februari 2022 katika mechi ya mzunguko wa nne ya Kombe la FA dhidi ya Cardiff City.

🏆 Liverpool

Premier League: 2024–25

EFL Cup (Carabao Cup): 2021–22

FA Cup: 2021–22

FA Community Shield: 2022

UEFA Super Cup: 2019

FIFA Club World Cup: 2019

UEFA Champions League Runner-up: 2021–22

🌍 Kimataifa – England U21
🏆 UEFA European Under-21 Championship:

Mshindi: 2023, 2025

🥇 Tuzo Binafsi
⚽ Blackburn Rovers Goal of the Season: 2020–21
⭐ UEFA European Under-21 Championship Player of the Tournament: 2025

UEFA European Under-21 Championship Team of the Tournament: 2025

UEFA European Under-21 Championship Player of the Tournament: 2025

TIMU ANAZOHUSISHWA NAZO KATIKA DIRISHA HILI LA USAJILI;

Westham
Fulham
Brighton & Hove Albion
Galatasaray
 
Football is a really life.

Can you imagine Wirtz & Elliot are of the age, but already Wirtz is a senior player and Elliot is like a promising up coming young talent..

Ynwa.
 
Brighton suit him better

YNWA
 
Football is a really life.

Can you imagine Wirtz & Elliot are of the age, but already Wirtz is a senior player and Elliot is like a promising up coming young talent..

Ynwa.
It's life mate...
Luck, gifted and how to unlock that gift is down to individual work...
Same age but different outcome lucky us.

YNWA
 
I think we should go for 2 CB's only if Slot will twist to back three for some games.

Diaz's positions kuna Gakpo, Nunez, Chiesa, Wirtz, and real deal in town Rio Ngumoha, wanaweza kucheza hiyo position effectively. Tukumbuke it is a modern football position and roles vinaweza kupishana. Unaikumbuka game ya Etihad vs City last season Jones positioned as LW and played it well with interchanges in it. I would rather sign Guehi (1y left ila kipengele ni Guehi anataka assurance ya kuanza games plus Palace wanatubana sana kwa sababu ya demand tuliyonayo).

Sign another CB and DM then we will be ready to start season. Gravern, Endo will be a good back up Make shift CB's plus DM role loads of games ahead. Especially kama back 3 itatumika kwa mara nyingi zaidi.

I see Frimpong as more WB than RB, he is not good defensively but offensively he is so good. Bradley atacheza sana more than majority expecting hasa kwenye back four system. Option ni back 3 Frimpong atatumika na back Four Bradley atatumika.

Its a good idea kwa Slot kwenye kutumia system mbili ila system moja kama backline haitaongezewa beast tutegemee rollercoaster seaon.

Ynwa.
 
MIAKA 6 YA HARVEY ELLIOTT NDANI YA LIVERPOOL

Harvey Elliott amejiunga na Liverpool (Reds) miaka sita iliyopita

Jina: Harvey Daniel James Elliott
Tarehe ya kuzaliwa: 4 Aprili 2003.

Mahali alipozaliwa: Chertsey, Surrey, England.

Harvey Elliott alijiunga na akademi ya vijana ya Queens Park Rangers (QPR) akiwa na umri mdogo, baada ya kukataliwa na Chelsea kwa madai kuwa ni “mdogo sana kwa umbo.

Harvey Elliott, ambaye alikuwa shabiki wa Liverpool tangu utotoni, amekuwa mchezaji muhimu na wa kudumu katika kikosi cha Liverpool FC tangu ajiunge na klabu hiyo katika majira ya joto ya mwaka 2019.

Harvey Elliott ni shabiki wa Liverpool tangu utotoni na alihudhuria fainali ya UEFA Champions League ya mwaka 2018 huko Kyiv akiwa pamoja na baba yake, Scott.

Kijana huyo alikuwa akifuatiliwa na klabu kubwa barani Ulaya kama Barcelona, Real Madrid, Paris Saint Germain na RB Leipzig, lakini alichagua kusaini mkataba na Liverpool badala yake.

Akiwa na umri wa miaka 15 na siku 174, Elliott alikuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea Fulham (maarufu kama the Whites) aliposhiriki katika ushindi wa Kombe la Carabao dhidi ya Millwall msimu uliopita.

Akiwa na umri wa miaka 16 na siku 30, Elliott alikuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kucheza katika Ligi Kuu ya England mwaka 2019 wakati Fulham walipocheza dhidi ya Wolverhampton Wanderers.

Harvey Elliott aliendelea kuwa na rekodi hiyo hadi 18 Septemba 2022, wakati ikivunjwa na mchezaji wa Arsenal, Ethan Nwaneri.

Harvey Elliott alisaini mkataba mpya wa muda mrefu na Liverpool tarehe 9 Julai 2021.

Katika msimu wa 2020–21, Elliott alicheza kwa mkopo katika klabu ya Blackburn Rovers na kuonyesha kiwango bora, akifunga mabao 7 na kutoa asisti 11. Uchezaji wake mzuri ulimletea pongezi na sifa kutoka kwa mashabiki na wataalamu wa soka.

Rafiki wake wa karibu ni Fábio Carvalho:
Harvey Elliott na Fábio Carvalho walipitia katika akademi ya Fulham, wakakua pamoja ndani ya mfumo wa maendeleo ya vijana. Baadaye, walikutana tena ndani ya klabu ya Liverpool na kuendelea kuimarisha urafiki wao.

Role Model wake ni Mohamed Salah:
Harvey Elliott anamchukulia Mohamed Salah kama mlezi na mfano wa kuigwa. Salah amekuwa akimsaidia katika masuala ya lishe, mazoezi ya mwili, na ukuaji wa kitaaluma, jambo ambalo limechangia sana katika maendeleo ya Elliott kama mchezaji wa kulipwa.

Harvey Elliott alicheza mechi yake ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya mwezi Februari 2022, akiianza dhidi ya Inter Milan. Ulikuwa mwanzo wake rasmi katika mashindano ya juu kabisa ya vilabu barani Ulaya.

Harvey Elliott alifunga bao lake la kwanza katika Ligi Kuu ya England mwezi Agosti 2022 dhidi ya AFC Bournemouth, katika ushindi mnono wa 9–0. Bao hilo liliimarisha nafasi yake ndani ya kikosi cha kwanza cha Liverpool.

Alipata jeraha baya la Kifundo cha Mguu – Septemba 2021:
Harvey Elliott alipata jeraha kubwa la kifundo cha mguu mwezi Septemba 2021 wakati wa mechi dhidi ya Leeds United. Tukio hilo lilimlazimu kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu.

Harvey Elliott alirejea kwenye kikosi cha Liverpool tarehe 6 Februari 2022 katika mechi ya mzunguko wa nne ya Kombe la FA dhidi ya Cardiff City.

🏆 Liverpool

Premier League: 2024–25

EFL Cup (Carabao Cup): 2021–22

FA Cup: 2021–22

FA Community Shield: 2022

UEFA Super Cup: 2019

FIFA Club World Cup: 2019

UEFA Champions League Runner-up: 2021–22

🌍 Kimataifa – England U21
🏆 UEFA European Under-21 Championship:

Mshindi: 2023, 2025

🥇 Tuzo Binafsi
⚽ Blackburn Rovers Goal of the Season: 2020–21
⭐ UEFA European Under-21 Championship Player of the Tournament: 2025

UEFA European Under-21 Championship Team of the Tournament: 2025

UEFA European Under-21 Championship Player of the Tournament: 2025

TIMU ANAZOHUSISHWA NAZO KATIKA DIRISHA HILI LA USAJILI;

Westham
Fulham
Brighton & Hove Albion
Galatasaray
Wachezaji wa kiingereza wengi nawakubali wakiwa na defensive attributes and praises ila attacking praises huwa za muda tu.

Elliot is so good just chances tu ndio hajapata za kuonesha alichonacho (enough game playing). Ila Uingereza wake unaweza kumtokomeza asipopata proper management. You can name many of their promising youngsters and their progression, utawakuta wengi at the age of 26-29 wanapotea kwenye ulimwengu. Hii imekuwa kama ka utamaduni kanajiendeleza.
Rashford
Delle Ali
Lingard
Sancho (kuna nafasi japo finyu)
Grealish
Reece Oxford

Na wengine kina Barkley, Walcott.
Hizi ni English talents ambazo zilionekana kuja kutikisa dunia kwa viwango walivyovionesha hatua za awali za career yao. Wengine pengine ni media exposure kuliko vipaji vyao.

Kuna hawa bado wapo kwenye trend but wame drop kwa sababu kadhaa
Maino
Diallo
Foden
Na wengine.

But the funny thing is 50% ya hao wanatokea united.

Ynwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom