The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
New system is in the kitchen.
Ina mapungufu yake Yes, inahitaji 2-3 games kuona ikikubali vizuri. Its a friendly game yes na ni big test ya maana sana. You can't blame Slot game moja your 6 ni Morton defender ni Stephenson and Gravern.
Kuna kipindi nilisema naona dalili za 3-4-3/3-5-2 and whatever huko mbele ila build na back three niliona inaweza kutumika na Slot.
As it Stand Frimpong is nor Trent's replacement huyu amechukuliwa kuja kuchukua mikoba ya Salah, game mbili wamecheza Bradley na Frimpong pamoja, mostly atatumika kama WB na RW,.
Tuone next 2-3 games hopefully tutamuelewa vizuri Slot anataka nini.
Umeona Combo ya Szobo & Wirtz, Wirtz & Salah??
Nafikiri ndio mana tuna sajili offensively players zaidi ya defensive players, hii 3-x-x-x inahitaji offensive players wengi athletic and technical one.
Slot anataka possession game lakini mostly acheze kwenye half of his opponent mostly tofauti na ile tuanzie nyuma with less pace halafu ukifika kwa mpinzani unaanza quick transitions.
Weakness yake kama hauna beast kwenye CB and DM mtakuwa expose most the game kama jana and mostly counter attack zitawamaliza.
Correction ni quality DM who can read opponent moves na anyeweza kunusa hatari za haraka.
Unakumbuka High Defensive Line ya Klopp?? Una Vvd & Fabinho top top quality defensively player, tulisumbua sana.
Kama hatutapata top quality CB & DM tuta struggle na system ya Slot anayotaka kuitumia. Najua Slot anawaza kuhusu Gravern as CB, ENDO, Pia
Kwangu hii ni unpaid risk, hela ya kuhangaika na Isak chukua DM and CB and problem will be solved.
Tuendelee kuangalia Slot anachokitaka kuelekea msimu mpya.
Good season ahead, mpira mzuri sana quality passes, moves za maana, mkiporwa duka linakuwa wazi mnafumuliwa.
Ynwa.