Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1753788877382.png

Hili jitu eti ndiyo lije pale Anfield likutane na kibabu Van Dijk? Si litapiga double hat-trick aisee?

Konate msimuache aende Madrid kwanza aisee. Na malizaneni na Guehi kama kweli mnamhitaji. Tusije kulaumiana.
 
View attachment 3423244

Hili jitu eti ndiyo lije pale Anfield likutane na kibabu Van Dijk? Si litapiga double hat-trick aisee?

Konate msimuache aende Madrid kwanza aisee. Na malizaneni na Guehi kama kweli mnamhitaji. Tusije kulaumiana.
Ukubwa wa mwili auchezi mpira kumbuka mpira ni kidude kidogo tu Cha duara ila kinawatoa jasho wenye miili kama hiyo
 
Ukubwa wa mwili auchezi mpira kumbuka mpira ni kidude kidogo tu Cha duara ila kinawatoa jasho wenye miili kama hiyo
Haaland si mnamuita Jini? Sasa huyu ndiyo Shetani mkuu mwenyewe. Hakuna rangi mtaacha kuona (huu usemi wa uchagani enzi hizo utarudi kutrend).
 
Kwamba Van Dijk yuko sokoni kwa sasa kwa 23M Euros? Na Alisson kwa 20? Mbona hiyo sisi tunaweza kuilipa chaap tu pamoja na uzee wao? Kesho tunakuja kukaa mezani Anfield haraka sana.
Hahaha hio bei zao wanatazamana mambo mengi sana age, mkataba alipo nk nk...ukimgusa Allison au VVD au Salah ni 100m🤓🤓🤓 ili ukwame wabakie walipo...
Katazame release clause za wachezaji Real Madrid na Barcelona utachokaa balaa ni Euro 1 billion 😄😄😄

YNWA
 
Hamna bhana. Cheki hizo bei walizoweka. Nahisi wamedanganya kidogo maana huenda wamemaanisha bei mlizowanunulia, kama hiyo ya Wirtz na Ekitike, ila haiwezekani maana nakumbuka enzi hizo mlilipa kama 75M pounds kwa VVD. Si alikuwa beki wa bei kali kuliko kabla ya Nyumbuz kupigwa za uso kwa Magwaya? sasa hiyo 23M sijui wameitoa wapi.
 
Future meets present.... Pre season manenos🔥🔥🔥🔥.
VVD leading by example.

YNWA
 
Luis Diaz katika ubora wake🔥🔥🔥
Hakika dogo hajawai katuangusha na mishe zake uwanjani....

Wish him the best at Bayern.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom