Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Genius
1753712818003.png
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba Kocha ataenda na mfumo wa 3 CBs kwa sababu ya upungufu wa CB kwenye kikosi na ukosefu wa DM
 
💰🚨 Most money spent on transfers in football history, according Transfermarkt:

1️⃣ Chelsea: €4.18bn
2️⃣ Man City: €3.23bn
3️⃣ Juventus: €3.18bn
4️⃣ Man Utd: €3.02bn
5️⃣ Real Madrid: €2.90bn
 
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Everton inamtaka Jack Grealish kwa mkopo
Dakika 26 zilizopita
Everton ina nia ya kumsajili kiungo wa Uingereza Jack Grealish, 29, kwa mkopo lakini inakabiliwa na ushindani kutoka kwa West Ham na Napoli. (ipaper - usajili unahitajika)

Alexander Isak, 25, ameidhinisha masharti ya kibinafsi na Liverpool kwa kandarasi ya miaka mitano ikiwa ada itakubaliwa kumsaini mshambuliaji huyo wa Newcastle na Uswidi. (Sky Sports Uswisi - kwa Kifaransa)

Brentford haiko tayari kumtoa mshambuliaji wa DR Congo Yoane Wissa, 28, kwa Newcastle kwa bei yoyote isipokuwa wasajili kwanza mbadala wake. (ipaper - usajili unahitajika)

Manchester United imejiunga na mbio za usajili wa mshambuliaji wa RB Leipzig na Slovenia Benjamin Sesko, 22, ambaye pia yuko kwenye mazungumzo na Newcastle. (Sun)

Chelsea inakaribia kufikia makubaliano ya zaidi ya euro 40m (£34.8m) kumsajili beki wa Uholanzi Jorrel Hato, 19 kutoka Ajax. (Athletic - usajili unahitajika)

Manchester United imewasilisha dau la euro 40m (£35m) kumsajili kiungo wa Sporting Morten Hjulmand, 26, lakini klabu hiyo ya Ureno inataka euro 50m (£43.4) kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark, ambaye pia ananyatiwa na Juventus. (Calciomercato - kwa Kiitaliano)

Nottingham Forest inawania kumsajili winga wa Fulham na Uhispania Adama Traore, 29, ambaye aliwahi kucheza chini ya ukufunzi wa kocha Nuno Espirito Santo katika klabu ya Wolves. (Telegraph - usajili unahitajika)

Forest pia iko mbioni kumsaini mchezaji wa kimataifa wa Uswizi Dan Ndoye, 24, kwa kandarasi ya muda mrefu baada ya kufahamisha Bologna kuhusu nia yake ya kujiunga na Ligi ya Premia. (Telegraph - usajili unahitajika)

Ikiwa Forest itaipiku Napoli kupata saini ya Ndoye, klabu hiyo ya Italia huenda ikafufua mpango wa kumsajili Grealish wa Manchester City au mshambuliaji wa Manchester United na Argentina Alejandro Garnacho, 21. (Sun)

Chelsea hawana nia ya kumuuza beki wa Uhispania Marc Cucurella, 27, huku tetesi zikiibuka kuwa anafuatiliwa na vilabu vya Saudi Arabia. (Football London)

Kiungo wa kati wa Aston Villa na England Morgan Rogers, 23, ananyatiwa na Chelsea na The Blues wako tayari kumpa mlinzi wa Uingereza Tosin Adarabioyo, 27, na mshambuliaji wa Senegal Nicolas Jackson, 24, ada ya kupata mkataba. (Football Insider)

Bayern Munich ndio klabu pekee iliyoonyesha nia ya kutaka kumsajili kiungo wa kwa RB Leipzig Xavi Simons, 22, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi anavutiwa zaidi na Ligi ya Premia. (Bild - kwa Kijerumani)
 
Hivi mpaka leo kumbe sijawahi kuandika chochote kuhusu uwezo wa Slot tokea aje Liverpool licha ya kushinda EPL?

Dah! Napata uzito sana wa kuandika kila nikitaka kuandika kuhusu yeye 🤔

Hebu ngoja niendelee kujipa muda kwanza ili nije na andiko lililotulia ambalo halitonihukumu baadae.
 
🚨 𝗝𝗨𝗦𝗧 𝗜𝗡 - @Ramon_AlvarezMM: Rodrygo’s FIRST option in case he leaves Real Madrid is effectively Liverpool — the player is now open to leaving the Spanish club.
1753765954599.png
 
Hivi mpaka leo kumbe sijawahi kuandika chochote kuhusu uwezo wa Slot tokea aje Liverpool licha ya kushinda EPL?

Dah! Napata uzito sana wa kuandika kila nikitaka kuandika kuhusu yeye 🤔

Hebu ngoja niendelee kujipa muda kwanza ili nije na andiko lililotulia ambalo halitonihukumu baadae.
ahahahaha kiongozi najua bado una ukakasi kumkubali bado unamuona kama anajitafuta ivi
 
🚨
Eddie Howe on Alexander Isak: "He is still our player. He’s contracted to us. We, to a degree, control what is next for him. I would love to believe all possibilities are still available to us. My wish is that he stays, but that’s not in my full control" #nufc #lfc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom