Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henry akaunti yake imedukuliwa SI bure aisee.
Dirisha nili wanamwaga sana ela lakini subiri soon utaona wanaanza mauzo .. ukumbuke pia washauza Trent kwa 10m, Quansah 35m na Kelleher 18m, Philips etc hivyo japo wametoa ela wameanza kurejesha kiasi zilipotoka.....
Bila usajili wa DM na beki mmoja tutapata shinda ndugu na kwaka dirisha bado lipo wazi ngoja tuone namna tunavyoingia vitani kutetea ubingwa wetu.

YNWA
Nahisi Salah anaondoka january
 
Tukumbuke kuna pengo la marehemu

Na tulikua na cf wawili tu wa maana
Ishu hapa ni ku balance matumizi baada ya mauzo ... Elliott, Doak, Diaz, Nunez, Cheisa nk wako sokoni endapo klabu atapata mkwaja wao mapema naamini tutegemee wachezaji zaidi wapya...
Nina hofu sana na 3 5 2 1 etc inanipa shinda umri wa VVD ku handle intensity mwanzo mwisho bila kua na mbadala wake na tukumbuke washirika wale pale nyuma kati ni Konate na Gomez ambao wote ni pancha muda wowote... Nina mashaka na ukuta unahitaji reinforcement dirisha hili.

YNWA
 
Kikosi Cha leo
1000094085.jpg

Matokeo ya Leo
1000094086.jpg


Magoli yote tumepigwa kaunta.

YNWA
 

😂😂😄😂😂😄😂😄Mambo ndio kama yalivyo.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom