Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1000093213.jpg

Red Indian numbers at Real Madrid

YNWA
 
Someni wenyewe maoni ya key board worriors kuhusu ujio wa Isak Liverpool
1000093209.jpg

Maoni yangu ni wanunue kwanza CB beki na DM, naona tunatajwa kwa Douglas Luiz wa Juventus zamani akicheza Aston Villa kama msaidizi wa Grav...pale kwa sasa tuna Morton, Bajetic na Samurai ambao kwangu naona tunahutaji upgrade bado eneo Hilo.

YNWA
 
I stand with Slot sio muumini wa kubana mkwaja kama Klopp...yeye anajua mazima na uzuri klabu ipo mahala pazuri pia ki kanuni za usajili EPL hivyo anaweza kujiachia mazima na bado akawa compliant 🔥🔥🔥

YNWA
As per Pearce bado rungu la FFP lipo mbali sana na sisi... Slot anapenda kikosi kipana kilicho na quality.

Ngoja tuone mfumo flani hivi anauandaa.

Naona akitumia 3-4-3 kwenye build up, hasa akiwa nusu ya mpinzani, LB & RB wanaingia eneo la kiungo, kutengeneza mstari wa watu wanne, na mbele yao mtu nne.

Vs Preston ilionekana hivyo, Bradley na Tsimi, baadae Frimpong na Kerkez. Ngoja tuone na Ac Milan baadae approach yake itakuwaje.

Nafikiri ataenda with full possession football coming season.

Ynwa
 
Kuyt alikua approached kama kocha msaidizi Liverpool na Slot lakini naona haikua riziki.

Aaaa enzi hizo hapakua na mipango mingi ilikua full physical game yaani.

YNWA
Sasa ukutane na Stoke City ya kina Delap, Shawcross, Glen Whelan na Kocha wao Tony Pulis... Walisifika kwa defensive football ...

Yalinifurahisha magoli ya kipindi kile, they were truly skillful goals, back in the days,...

Ynwa
 
Someni wenyewe maoni ya key board worriors kuhusu ujio wa Isak Liverpool
View attachment 3418602
Maoni yangu ni wanunue kwanza CB beki na DM, naona tunatajwa kwa Douglas Luiz wa Juventus zamani akicheza Aston Villa kama msaidizi wa Grav...pale kwa sasa tuna Morton, Bajetic na Samurai ambao kwangu naona tunahutaji upgrade bado eneo Hilo.

YNWA
We really need a beast in the middle of the park. Natural Anchor, Gravern will suit better as a Deep -lying playmaker.
CB is an area that has to be highly prioritized aisee kuna upungufu eneo hilo.

Suala la Isak nahisi Camp yake ndio wanawapush New Castle waongeze mshahara kupitia Liverpool, Sina hakika kama kweli bado tunamtafuta tena msimu huu baada ya kumpata Hugo
 
Suala la Isak nahisi Camp yake ndio wanawapush New Castle waongeze mshahara kupitia Liverpool, Sina hakika kama kweli bado tunamtafuta tena msimu huu baada ya kumpata Hugo
We uko dunia Gani Liverpool wanamuhitaji isak na isak anaitaka Liverpool we unasema camp yake inatakwa kuongezewa mshahara utaongezewaje mshahara wakati hujasainishwa mkataba mpya
 
We really need a beast in the middle of the park. Natural Anchor, Gravern will suit better as a Deep -lying playmaker.
CB is an area that has to be highly prioritized aisee kuna upungufu eneo hilo.

Ynwa
Cash bado ipo na offloads bado hivyo ngoja tuone Nini kimepangwa eneo hilo Mkuu.
Grav hata mechi za mwishoni alionyesha kuchoka fulani. Anahitaji proper back up na sioni Hilo jibu kwa waliopo.
CB muhimu sana wanunue.

YNWA
 
Sasa ukutane na Stoke City ya kina Delap, Shawcross, Glen Whelan na Kocha wao Tony Pulis... Walisifika kwa defensive football ...

Yalinifurahisha magoli ya kipindi kile, they were truly skillful goals, back in the days,...

Ynwa
Epic man that was when football was football,boys couldn't miss big games hata kwa sidano ilikua lazima kucheza.

YNWA
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Alexander Isak says NO to Saudi Arabia and ONLY WANTS LIVERPOOL! 💣🔴

Isak has already turned down proposals from Saudi as there’s nothing at all ongoing with Al Hilal at this stage.
 
Aaaa mna hela nyingi sana nyie jamaa dirisha hili msipokua contenders basi mrudisheni Mourinho.

YNWA
Na nyinyi safari hii mnishangaza si kawaida yenu boss wenu sijui kanywa pombe ya aina gani but kinachonisikitisha bei ya kumnunua Hugo Ekitike kwangu ni mchezaji wa kawaida si ya kutoa hiyo hela Bora yule florian wirtz huyu mtu haswa ila sio huyo Hugo Ekitike ana Nini special ya kufanya mtoe hiyo hela sio striker tishio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom