Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Style yao mpya ni kunyakua kila mchezaji mzuri wanaoweza kumpata. Mambo ya kupanga kikosi yanafuata baada ya hapo.

Halafu baadae wanatupiga kwa kutupa kina Sterling na Madueke na kutupooza kwa kutupa Kepa kwa bei ya vitunguu.
😂😂😂😂😂Hivi pale kwa Madueke mmeona nini aisee je atakua upgrade ya waliopo maana hua naona hana maajabu ki vilee ....
Sterling anapambana kwenda Napoli hana tena nafasi pale...Felix nae huyoo Benfica ameshindwa kabisa ku justify Ile vibe wakati anatua kwa El Cholo...

Hongera kwa Zubemdi pale mchezaji umepata...

YNWA
 
Nyie mnatoa wapi mshiko wa kuwanunua Wirtz, Ekitike, Frimpong na Isak?

Kumbe Fenway wana mihela kibao tu sema walikuwa hawana haja ya kuitumia mpaka waonje ubingwa?
Sheikh John W Henry
1753445740454.jpg
 
Liverpool have changed their tune on Luis Diaz, according to a journalist, with the Premier League champions planning to use his sale to fund a move for Newcastle United striker Alexander Isak, as Barcelona president Joan Laporta lifts the lid on his pursuit of the Colombia international winger.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom