Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani huyu dogo alimuona Slots bado sana😂😂😂katudharau sana na sana tena
View attachment 3416243
Anastahili kuwaza hivyo. Majority humu hawakumkubali Slot mapema. His two preseason games i said we are still safe under Slot. Jumlisha hatukufanya usajili wa maana. Hii ilifanya Vvd na Salah kupiga pause kwanza waone mwenendo kabla ya kuanguka saini.

Namuelewa kwa angle hiyo. Hata hivyo Hughes alichelewesha deal lake. RC ya Zubi ilikua £51m ila negotiation ikafanyika and Hughes wanted a deal to be per installment, Sociedad rejected hiyo term, wakafanya black mailing Zubi ajilipie pesa kama anataka kuondoka. Akaogopa maneno ya wayahudi akaisulubu recommendation ya Hughes na tukaachana na hilo deal.

Thanks ilitokea hivyo ikamuibua Gravern

Ynwa
 
View attachment 3416277
Kwa wale wa sasa ebu tazameni namna Benitez na vijana wake walivyotupa raha miaka hioooo.
El nino, Kuyt etc ilikua balaaa...

Vibe la Addidas 🥂🥂🔥🔥🔥🔥

YNWA
Kuyt alikuwa na chenga yake hiyo, ukimfusta paap anaitupa kule muanze riadha. Kipindi kile mambo ya Spaces na pressing zilikuwa kwa wachache. Long balls za kutosha.

Tulicheza ile total English Football isiyokuwa na mambo mengi ya kusumbuana.

Ynwa
 
View attachment 3416828
Hugo vs Isak in numbers.

Slot ana kibaraua kizito sana kwa huyu dogo aisee.
Shot conversion yupo chini sana ukitazama alipiga shoti 117 na kupata goli 15 ni kwamba haitoshi....
Kazi kwa jopo la makocha kuweka mkatati safiii ili aongeze bidii na tuone magoli

YNWA
As i said it earlier conversion rate ipo chini ila kuna angle zinambeba na ndicho kimefanya LFC waende kwake mazima.

xG yake iko vizuri maana yake positions na timing ni nzuri sana, assists & Chances created ni kipengele kinachombeba Ekitike. Kuna mazingira huwa considered na "if statement" are always applied.

Frankfurt is nowhere near in term of quality ila ameweza ku produce hizo no. What if akipata quality nyuma na pembeni yake he can improve hopefully.

Slot is a good coach kwenye kunoa talents. Lets see

Ynwa
 
Tetesi za Soka Ulaya: Liverpool kuvunja rekodi ya uhamisho kwa Isak?
Saa 1 iliyopita
Liverpool wako tayari kutoa ofa itakayovunja rekodi ya uhamisho Uingereza kwa mshambuliaji wa Newcastle na Sweden Alexander Isak, 25 (Mail+).

Lakini klabu ya Saudi Al-Hilal pia wanajiandaa kutoa ofa, inayodhaniwa kuwa zaidi ya pauni milioni 130, kwa Isak baada ya kuondolewa kwake kwenye kikosi cha Newcastle kilichoko kwenye ziara yao ya maandalizi ya msimu mpya huko Singapore (Talksport).

Chelsea na Manchester United hawana uwezekano wa kumsajili Isak, huku United wakiwa tayari wametumia fedha nyingi kuwasajili mshambuliaji wa Brazil Matheus Cunha, 26, na mchezaji wa kimataifa wa Cameroon Bryan Mbeumo, 25 (Mail).

Newcastle wameelekeza mawazo yao kwa mchezaji wa kimataifa wa Slovenia Benjamin Sesko huku mshambuliaji huyo wa RB Leipzig mwenye umri wa miaka 22 akiwa mbadala iwapo Isak ataondoka (ipaper).

Aston Villa wameiambia Manchester United kuwa mshambuliaji Ollie Watkins hauzwi, licha ya klabu hiyo ya Old Trafford kumtaka sana mchezaji huyo wa Kiingereza mwenye umri wa miaka 29 (Telegraph).

Leeds United waliopanda daraja msimu huu wamekubaliana na Lyon kumsajili kipa Lucas Perri kwa thamani ya pauni milioni 15.6, huku mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 akitarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kwenye kambi ya mazoezi ya Whites nchini Ujerumani (Mail).

Bayern Munich wako tayari kutoa ofa nyingine tena kwa winga wa Liverpool na Colombia Luis Diaz. Klabu hiyo ya Merseyside inafahamu nia ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kuondoka na mazungumzo yataendelea (Fabrizio Romano).

Liverpool wamempa beki wa Ufaransa Ibrahima Konate, 26, mkataba mpya ili kumzuia asiende Real Madrid, ambao wanataka kumsajili msimu huu wa joto au msimu ujao (Footmercato).

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Douglas Luiz, 27, alishindwa kuripoti katika siku ya kwanza ya mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya Juventus Alhamisi huku West Ham, Everton na Liverpool zote zikionyesha nia kwa kiungo huyo (Gazetta dello Sport).

Winga wa Chelsea na England Raheem Sterling, 30, ameibuka kama mmoja wa walchezaji kadhaa wa washambuliaji wanaosakwa na mabingwa wa Italia Napoli (Calciomercarto).

Mshambuliaji wa Liverpool Harvey Elliott yuko tayari kuondoka klabu hiyo ya Anfield. Mchezaji huyo wa kimataifa wa vijana wa England mwenye umri wa miaka 22 anasakwa na West Ham (Metro).

Spurs wanaifanyia kazi ofa ya pauni milioni 15 kutoka LAFC kwa ajili ya nahodha wake Son Heung-min huku mchezaji huyo wa Korea Kusini mwenye umri wa miaka 33 akifikiria mustakabali wake (Sun).

Real Madrid wako tayari kumtoa kwa mkopo mshambuliaji Endrick, 19, kwenda timu nyingine ili kuboresha kiwango chake, lakini mchezaji huyo wa Brazil angependelea kupigania nafasi yake Bernabeu (ESPN).
 
Bayern kwenye suala la kutoa hela nyingi huwa ni kipengele, siku zote hizo bado wanapambania sajili moja tu ya Diaz😄
 
Majadiliano yangu na GPT

🔍 Maelezo ya Kiufundi (Premier League):

  • Kikosi cha wachezaji wakubwa (21+) ni cha juu kabisa wachezaji 25.
  • Kati ya hao 25, idadi ya wachezaji wasio "homegrown" ni hadi 17.
  • Hakuna "minimum" ya wachezaji homegrown — lakini ukisajili non-HG 17 tu, nafasi zilizobaki lazima zijazwe na wachezaji homegrown au ubaki na kikosi kidogo.
  • Wachezaji walio chini ya miaka 21 (U21) hawahesabiwi katika kikosi cha 25, na unaweza kuwa nao wengi kadri unavyotaka.

⚽️ Maana ya Homegrown ni nini?​

Wachezaji wa "homegrown" ni wale waliokuwa wamejiunga na klabu yoyote ya Uingereza au Wales kwa miaka mitatu (au zaidi) kabla ya kufikisha miaka 21.

Haijalishi kama ni mzungu au raia wa Uingereza — ni muda wa kukua ndani ya mfumo wa soka la Uingereza ndio unaohesabiwa.

🧮 Uchambuzi wa Wachezaji Ulioorodhesha:​

Wachezaji hawa wote ni non-homegrown (non-HG):

  1. Alisson
  2. Mamardashvili
  3. Konate
  4. Virgil van Dijk
  5. Tsimikas
  6. Robertson
  7. Kerkez
  8. Gravenberch
  9. Mac Allister
  10. Endo
  11. Szoboszlai
  12. Wirtz
  13. Salah
  14. Ekitike
  15. Chiesa
  16. Diaz
  17. Gakpo
  18. Darwin

➡️ Hawa ni 18 non-HG players, wakati kiwango kinachoruhusiwa ni 17 tu.

Hivyo ni kweli: mmoja kati yao asingesajiliwa kama hawatapunguza idadi hiyo. Lakini...

📦 Ikiwa watamuuza mmoja au zaidi:​

Kwa mfano, kama wakimuuza Tsimikas au Nunez basi wataweza kuwa na nafasi ya kusajili wote waliobaki, kwa kufuata kikomo cha 17 non-HG.

✔️ Liverpool wakiwa na 18 non-homegrown players, wanahitaji kuuza au kuacha kusajili angalau 1.
✔️ U21 hawahesabiwi kwenye kikomo cha 25.
✔️ Hakuna idadi ya lazima ya homegrown — lakini nafasi zisizojazwa na non-HG lazima zijazwe na HG au ubaki na kikosi kidogo.​

hey Manyanza nje ya mada neno manyanza lina maana gani na ni lugha gani😂🚶
Ni prural ya Nyanza
Nyanza maana yake ni Ziwa Victoria
Kabla ya kulibadilisha jina Ziwa Victoria lilitwa Nyanza. Sasa yakiwa ya zaidi ya moja ndio inakuwa Manyanza.

Kipindi hicho watu wa Kanda ya Ziwa
Ziwa lina maana ya Nyanza mpaka sasa

Hata bahari ya hindi nayo watu wa Kanda ya Ziwa wanaiita Nyanza.
 
As i said it earlier conversion rate ipo chini ila kuna angle zinambeba na ndicho kimefanya LFC waende kwake mazima.

xG yake iko vizuri maana yake positions na timing ni nzuri sana, assists & Chances created ni kipengele kinachombeba Ekitike. Kuna mazingira huwa considered na "if statement" are always applied.

Frankfurt is nowhere near in term of quality ila ameweza ku produce hizo no. What if akipata quality nyuma na pembeni yake he can improve hopefully.

Slot is a good coach kwenye kunoa talents. Lets see

Ynwa
I stand with Slot sio muumini wa kubana mkwaja kama Klopp...yeye anajua mazima na uzuri klabu ipo mahala pazuri pia ki kanuni za usajili EPL hivyo anaweza kujiachia mazima na bado akawa compliant 🔥🔥🔥

YNWA
 
Kuyt alikuwa na chenga yake hiyo, ukimfusta paap anaitupa kule muanze riadha. Kipindi kile mambo ya Spaces na pressing zilikuwa kwa wachache. Long balls za kutosha.

Tulicheza ile total English Football isiyokuwa na mambo mengi ya kusumbuana.

Ynwa
Kuyt alikua approached kama kocha msaidizi Liverpool na Slot lakini naona haikua riziki.

Aaaa enzi hizo hapakua na mipango mingi ilikua full physical game yaani.

YNWA
 
Nyie mnatoa wapi mshiko wa kuwanunua Wirtz, Ekitike, Frimpong na Isak?

Kumbe Fenway wana mihela kibao tu sema walikuwa hawana haja ya kuitumia mpaka waonje ubingwa?
Wai mapema kwa Benjamin ndugu naona Newcastle wanamhitaji kama mbadala wa Isak.
Fentway kwa sasa wamehakiwa SI bure aisee haya manunuzi yatavuja rekodi ya EPL.

Benjamin alituletea utoto na wakala wake, juu ya bei Leipzig waliyotupa. Tumuache tu aende Newcastle tumuone yukoje kule maana tumeshamchukua Gyokeres na Benjamin mwenyewe eti alikuwa anaogopa kuja kupambania namba na Havertz. Striker yeyote anayemuona Havertz kama mshindani kwenye nafasi ya Striker hafai kwa kweli.
 
😃😃😃😃😃😃Eti anaogopa ushindani éeh duuh huyo kuna tatizo aisee. Mchezaji kamilifu anataka penye ushindani wa kutosha sio hofu Wala Nini.

Ngoja atue Magpies kama kweli chuma haswa tutamfuata huko huko

YNWA
 
Chelsea hua siwaelewi wanataka Nini sokoni aisee yaani Kila mchezaji kipaji wamoooo.

YNWA
Style yao mpya ni kunyakua kila mchezaji mzuri wanaoweza kumpata. Mambo ya kupanga kikosi yanafuata baada ya hapo.

Halafu baadae wanatupiga kwa kutupa kina Sterling na Madueke na kutupooza kwa kutupa Kepa kwa bei ya vitunguu.
 
Ni prural ya Nyanza
Nyanza maana yake ni Ziwa Victoria
Kabla ya kulibadilisha jina Ziwa Victoria lilitwa Nyanza. Sasa yakiwa ya zaidi ya moja ndio inakuwa Manyanza.

Kipindi hicho watu wa Kanda ya Ziwa
Ziwa lina maana ya Nyanza mpaka sasa

Hata bahari ya hindi nayo watu wa Kanda ya Ziwa wanaiita Nyanza.
oooh nimekupata mkuu tunatoka kanda moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom