Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwahiyo kama mtu harudi ndio umuache usizike
Kwa akili zako hizi no wonder una mtazamo wa ajabu.

Lakini pia wewe si Shabiki wa Liverpool pengine uzito wa hilo jambo unatofautiana baina yetu.

Kwahiyo wewe huwa wanaoenda msibani, unadhani wanaenda ili marehemu afufuke?
Hajielewi huyo
 
NEW: Liverpool have confirmed the club have retired Diogo Jota's number 20 shirt. Diogo Jota - Forever our number 20.

Michael Edwards: “As a club, we were all acutely aware of the sentiment of our supporters – and we felt exactly the same way.”

“It was vitally important to us to involve Diogo’s wife, Rute, and his family in the decision and to ensure they were the first to know of our intention.

“I believe this is the first time in Liverpool Football Club’s history that such an honour has been bestowed upon an individual. Therefore, we can say this is a unique tribute to a uniquely wonderful person.

“By retiring this squad number, we are making it eternal – and therefore never to be forgotten.

“Diogo joined us in 2020, he won us number 20, and he wore – with honour, distinction and affection – the number 20.

“As far as Liverpool Football Club is concerned, he will be forever our number 20.”
Sijui ni kwanini, ila mimi nadhani maamuzi yakustaafisha hiyo jezi no. 20 sio sahihi, unless waiwekee muda maalumu otherwise history inaweza kuwahukumu.
 
Sijui ni kwanini, ila mimi nadhani maamuzi yakustaafisha hiyo jezi no. 20 sio sahihi, unless waiwekee muda maalumu otherwise history inaweza kuwahukumu.
Usiipangie wenye timu Yao Cha kufanya anzisha timu Yako halafu usiistafishe jezi namba 20
 
Usiipangie wenye timu Yao Cha kufanya anzisha timu Yako halafu usiistafishe jezi namba 20
Unajibu tu hovyo, upo timamu kweli? Jaribu kumuelewa ana logic, sisi ni binadamu let say huko mbeleni akafariki mwingine na mwingine watastaafisha jezi zao? wasipostafisha tutarudi huku nyuma kuuliza why huyu ilistafishwa na wote ni walikua wachezaji wa liva?
 
Uulize we ndio mwenye timu wenye timu wameshaongea kwamba hiyo jezi inastaafishwa we hayakuhusu anzisha timu Yako upange masharti hayo
 
Kwahiyo kama mtu harudi ndio umuache usizike
Kwa akili zako hizi no wonder una mtazamo wa ajabu.

Lakini pia wewe si Shabiki wa Liverpool pengine uzito wa hilo jambo unatofautiana baina yetu.

Kwahiyo wewe huwa wanaoenda msibani, unadhani wanaenda ili marehemu afufuke?
Yes pengine kwa kua sio shabiki wa liva, ila haimaanishi sijaguswa na msiba. Kwa kua ni mtu ninaemfahamu. Ndio mana nilisema hapo awali kua misiba hiyo miwili nimeguswa zaid na Jota mana ndio nilikua nikimfahamu, huyo mdogo wake nimeumia tu kwa kua ni binadamu mwenzangu.

Msibani wanaenda ili kutoa heshima ya mwisho kumuoga mpendwa wao, ishu sio kufufuka ishu ni kwamba ikitokea mtu hajaweza kufika asishikiwe bango as if yeye angekwepo sijui angesaidia chochote.
 
Nilichomuelewa yeye ni kama rais wangu Malafyale, hataki tuwe tunajadili maamuzi yeyote yanayofanywa na viongozi wa Liverpool, anaona kama tunawa offend kwa kukosoa maamuzi yao.
Watu hawaelewi kila mtu ana mawazo na maono yake, katu hatuwezi kufanana. Kila mtu yupo sahihi kwa upande wake kw namna anavyolichukulia jambo.
 
Kwahiyo hizo jamii wanaponda raha kusherekea wakati wa mazishi afu marehemu wanamuacha apambane na hali yake?
Kwa namna gani kuachwa? Mwili utaifadhiwa kwa mujibu wa ratiba iliyowekwa, Ila hata katika hali ya kutokuwa na thamani mwili wa marehemu, unapooza na kugeuka kuwa udongo, BADO WATU WATAKUWA WANAFURAHIA NA KUJIVUNIA LEGACY YA MAREHEMU. Wanapaswa kufurahi na Kesherehekea kwa heshima ya kumbukumbu alizoacha marehemu. Hiki ndicho kilichozaa Sikukuu nyingi zinazohusisha watu mashuhuru walioishi vema.
 
Sijui ni kwanini, ila mimi nadhani maamuzi yakustaafisha hiyo jezi no. 20 sio sahihi, unless waiwekee muda maalumu otherwise history inaweza kuwahukumu.
Imestaafishwa at the moment ili kumpa Jota heshima yake, ila amini kwamba miaka itapita watu watasahau na bussiness itaendelea

Miaka 100 ijayo wote tutakua tumekufa sasa tutastaafisha jezi ngapi?

Kwa sasa tuendelee kumpa Diogo heshima yake
 
🤍💭 “Real Madrid DREAM is Mac Allister… but it would cost over €100M and it’s IMPOSSIBLE”, says Cope today. ❌
 
Jota amefia huko Ulaya ila sasa watu wengine hawawezi kuruhusiwa kuweka mawazo yao kwa namna wanavyoenzi marehemu.
Kila jamii na mtu anayo utaratibu wa kuenzi na kuchukulia msiba. Huko Ujaluoni wao utaratibu wao ni kuwa msiba ni sherehee. Hivyo usiseme kuwa mdau ameandika Mavi. Kuna jamii pia hawaziki watu ila maiti waliokaushwa wanavalishwa nguo na kuvushishwa Sigara.
Heshimu mawazo ya wengine kwa lugha ya kingwana.
Ubongo wako umejaa mavi ndio maana hapa umeandika mavi matupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom