Every player has a price🤍💭 “Real Madrid DREAM is Mac Allister… but it would cost over €100M and it’s IMPOSSIBLE”, says Cope today. ❌
🤓🤓Watupe Rodrigo aafu wamchukue Macca🙈🙈🙈Mmesikia huko tunamtaka Rodrigo huko
We don’t need himMmesikia huko tunamtaka Rodrigo huko
Mkuu uko serious?🤓🤓Watupe Rodrigo aafu wamchukue Macca🙈🙈🙈
YNWA
Hapa Captain hayupo serious aisee 🤣Mkuu uko serious?
Bora tubaki na Diaz tuMmesikia huko tunamtaka Rodrigo huko
Asante Bobby🤓🤓Watupe Rodrigo aafu wamchukue Macca🙈🙈🙈
YNWA
Kweli Captain ana wenge la usingizi au kalala na kuamka nazo. Macca? 🤣🤣🤣Asante Bobby
Kwako Mwal kashasha😄😆chukua mic,Bobby wetu bado ana wenge la usingizi
🤣🤣🤣🤣🤣Jamani Miss Liverpool.Asante Bobby
Kwako Mwal kashasha😄😆chukua mic,Bobby wetu bado ana wenge la usingizi
Just a light joke legend....Mkuu uko serious?
Diaz anapokea proposal zote aafu watachuja na timu yake ya washauri waone kipi Bora kwake aidha kubakia Liverpool ama kusepa. Muda utasema.Bora tubaki na Diaz tu
aaa wapi mrithi wa salah tutamtafuta huko mbele ya safari ila hatujalogwa hadi tumtoe MaccaNasimama na Captain Marvelous Rodrigo anakuwa mbadala wa Salah, tuangalie na umri pia, Salah akimaliza mkataba wake tunakuwa na mtu wa kuchukua nafasi yake
Nafasi ya Mac sokoni unapata mtu wa kuiziba, kazi ngumu ni kupata mbadala wa Salah
Shikamoo Bobby🤣🤣🤣🤣🤣Jamani Miss Liverpool.
YNWA
Kaka tushavurugwaJust a light joke legend....
Rodrigo ni Winga au Strika hivyo sio like for like replacement....
Am okay with cool ruler Macca.
YNWA