Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabisa ndugu dogo ni zaidi ya mchezaji no wonder wanaohudhuria mechi Anfiled hua wanasimama nae iwe mvua iwe jua wapo nao mbega kwa mbega.
Napoli naona washamuuzia project yao chini ya Conte na ameafiki kwamba Liverpool iwasikilize ngoja tuone itakua aje.

YNWA
Nunez miwili tena jamani pale Anfield! Kwa hiki alichokifanya kwa Jota kitoshe kumwongezea mkataba aisee!
 
IMG_20250711_081040_766.jpg

Bayern Munich have submitted a first offer for Luis Diaz for €52M, according to Sportsbild.
 
Duh hii nayo ni kali 😅 👇

Szoboszlai alikuwa ana enjoy sana na ile lactate test kuliko hii 6-MRT

Dominik Szoboszlai might be unhappy because Arne Slot has scrapped Liverpool’s traditional pre-season lactate test—a challenge the Hungarian had consistently dominated. According to Rousing the Kop, this removal may hit Szoboszlai harder than most:

The lactate test had become a showcase of his fitness, and throughout his time at Liverpool, he excelled in it.

With the test gone, Szoboszlai loses a concrete way to prove his physical supremacy—just as new signing Florian Wirtz arrives, increasing competition for the No. 10 spot .

In short, Slot's well-intentioned tweak to streamline fitness routines inadvertently removes one of Szoboszlai’s few remaining platforms to stand out.

Why Szoboszlai might mind this change:

1. Psychological edge lost. Winning the lactate test was a morale boost and visible proof of being the fittest on the squad.

2. Rising competition. With his status now shared—and potentially challenged—by Wirtz, Szoboszlai no longer has that test as a safety net to reinforce his claim.

3. Fewer chances to impress. The new routine may favour players with more subtle strengths, reducing Szoboszlai’s visibility in physical performance metrics.

That’s why, even if the change seems minor, it could sting for a player who’s built a part of his identity—and confidence—around excelling in that exact test.

Hii nayo inaweza ikawa ni changamoto mpya kwa Szoboszlai ingawa mabadiliko ya Arne Slot yana nia njema ya kuboresha timu, yameondoa mojawapo ya sehemu ambazo Szoboszlai alikuwa anajitambulisha—na kung’ara zaidi. Hili linaweza kumuathiri kiakili na kimchezo, hasa kipindi hiki ambacho ushindani ndani ya kikosi umeongezeka.
 
Barabarani napo kuna raha zake! Hebu fikria hiyo your ya kutoka Kaskazini mpaka kusini halafu ukavuke na kivuko kwenda nchi nyingine! Lilikuwa bonge la tour, sema sasa vijana wetu wanavyokanyaga mafuta, safari ya saa 8 anataka aifanye iwe ta saa 5! RIP Jota! Dogo nilikuwa nampenda sana!
Safari ndefu barabarani ni risk mno
Labda mtu awe na dereva mzoefu wa hiyo njia.
Sasa kama unaendesha mwenyewe halafu ni mgeni na njia na si mzoefu wa kuendesha safari ndefu yaani ni hatari sana.
 
Hujanielewa namaanisha kuwa mnamlaumu as if ilikua ni lazima yeye awepo,kutokwenda kwake kwnye huo msiba ni dhambi, ile ya kumtafuta baba yake ilikua ni ubinadamu tu kama mchezaji mwenzie pengine hawakua hata na huo ukaribu.

Halafu pia tunatofautiana pia kimtazamo. Pengine alikua anahitajika sehemu mbili kw wakati mmja akaopt kwenda kw hiyo party ambae ndio mtu wake wa karibu zaid.Sio dhambi.

Tunafanya kazi maofisini huko mfanyakaz anafariki wengine hata hawafiki ila sisi tuliokwepo tunawakilisha fresh na wala hatushikilii bango mbona flani hajahudhuria, kaenda kwenye shuhuli ya mdogo wake wa damu anaolewa. Hata kama ameenda kwnye party hiyo ndio ilikua y muhimu kwake then siku nyingine ataenda kwnye kaburi. Ndio maisha yalivyo kila mtu kuna namna anayaendesha maisha yake na katu hatuwezi fanana.
Yaani mwenzio afe,
Uwe na choices 2;aidha kuponda raha siku ya mazishi au kwenda kwenye mazishi,
Uforegone kwenda msibani kuzika
Uende kwenye party kuponda raha siku ya mazishi!

Mkuu aisee ni akili za ajabu hizi kuwahi kutokea,
Nyie ni binadamu wa kawaida kama sisi kweli?
Dunia gani hiyo mnafundwa hivi,au wenzetu mpo sayari nyingine?
 
Pre-season ya Liverpool imeanza rasmi, na wachezaji kadhaa wana nafasi ya kuonyesha uwezo wao mbele ya kocha wetu Arne Slot kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu kuanza. Mechi ya kwanza ya kirafiki ya Liverpool ni dhidi ya Preston North End Jumapili (saa 11 jioni), katika mazingira ya huzuni kufuatia kifo cha Diogo Jota.

Wachezaji wapya kama Jeremie Frimpong, Florian Wirtz na Milos Kerkez wanatarajia kuvutia macho ya Kops, lakini pia kuna wachezaji waliopo ambao wanahitaji kuthibitisha thamani yao.
Hawa hapa ni wachezaji 8 wa Liverpool wenye jambo la kuthibitishia katika pre-season hii:

1. Giorgi Mamardashvili
Kipa wetu mpya kutoka Valencia amesema kuwa: “Wananiona kama kipa wa Liverpool kwa miaka 10 ijayo.” Kwa mujibu wake yeye anajiona kama golikipa wa Liverpool kwa miaka 10 ijayo. Atalazimika kumkabili Alisson, mmoja wa makipa bora duniani. Pre-season imara inaweza kumweka katika nafasi ya kuwa chaguo la kwanza kwa siku zijazo, hasa Alisson anapokaribia mwisho wa mkataba wake.

2. Conor Bradley
Kuondoka kwa Trent Alexander-Arnold kulimpa matumaini makubwa Bradley kuwa chaguo la kwanza upande wa kulia. Lakini ujio wa Frimpong unamnyima uhakika huo. Hata hivyo, pre-season bora inaweza kumpa nafasi ya kuanza msimu kwa matumaini.

3. Andy Robertson
Msimu uliopita hakuwa katika kiwango chake bora. Kusajiliwa kwa Kerkez kumemletea ushindani mkubwa. Robertson amesema ana nia ya kubaki Liverpool na kupigania namba yake, lakini lazima aonyeshe ubora wake upya katika pre-season hii.

4. Wataru Endo
Ijapokuwa ni kipenzi cha mashabiki wa Liverpool, nafasi ya Endo bado haijakaa sawa kikosini. Slot huenda akathamini uzoefu wake, lakini Endo anahitaji kuonyesha kuwa anaweza kutoa mchango mkubwa zaidi ya alichokifanya msimu uliopita.

5. Dominik Szoboszlai
Ujio wa Wirtz unahatarisha nafasi ya Szoboszlai katika eneo la namba 10. Japokuwa ni mchapa kazi, amekosolewa kwa ukosefu wa matokeo ya moja kwa moja (magoli 6 na assists 6).

Slot anaweza kupanga kumtumia Szoboszlai zaidi kama namba 8, namba ambayo Szoboszlai anaona kama nafasi yake bora, kwa hivyo itakuwa ni kitu cha kuvutia kuona mpango wake katika pre-season hii.

Katika pre-season hii Szoboszlai anahitaji kuonyesha kiwango bora ili kuweza kuweka nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza kwani Ryan Gravenberch na Alexis Mac Allister wanaonekana kuwa wachezaji wa kwanza wa uhakika. Pre-season hii inaweza kuwa fursa ya kuonyesha kuwa bado ana nafasi katika kikosi cha kwanza.

6. Harvey Elliott
Mustakabali wa Elliott uko njia panda. Baada ya kung’ara na timu ya taifa ya Uingereza chini ya miaka 21, anaweza kuuzwa kama Liverpool hawamuoni kuwa mchezaji muhimu. Lakini pre-season hii inaweza kuwa nafasi ya mwisho kuonyesha kuwa anastahili kubaki.

7. Ben Doak
Baada ya mkopo uliojaa majeraha huko Middlesbrough, Doak ana nafasi ya kuonyesha kuwa anaweza kuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza au wa kufanyiwa mabadiliko (rotation). Amekuwa akifanyia kazi mazoezi yake ya utimamu mapema kabla ya pre-season kuanza. Ni wakati wake sasa kuthibitisha kuwa ana thamani Anfield.

8. Jayden Danns
Majeruhi yamemzuia kucheza kwa mkopo Sunderland. Lakini akiwa amerudi Kituo Cha Mafunzo AXA, Danns anaweza kutumia fursa hii kuonyesha uwezo wake – hasa kwa kuzingatia pengo lililoachwa na Jota na uvumi wa kuondoka kwa Núñez.

Kwa kifupi hii ni pre-season yenye uzito mkubwa kwa baadhi ya wachezaji wa Liverpool. Kwa wengine ni nafasi ya mwisho; kwa wengine ni mwanzo mpya. Yeyote atakaye onyesha kiwango kibovu nasi hapa anaweza kujikuta yupo nje ya mipango ya Slot kuelekea msimu ujao.
 
Kiutani tu Jota anaenda kumaliza wiki
Na kweli hatakuwepo😭
Eeh Mungu
Roho ya mwanao huyu tunaamini umeipokea

Na hii imetukumbusha kuwa hapa duniani siyo petu..muda na saa yeyote unaruhusu yeyote kutwaliwa.
 
Yaani hajamzika bado na wenzie wapo kuzika
Yeye akatengeneze party kumuenzi na mwili bado ulikuwa haujazikwa ndio unazikwa?
Mkuu hebu usinifanye nicheke kwa haya mawazo yako😂
Kuna jamii, Legend hapaswi kuliliwa wala kuonesha nyuso za huzuni. Kunywa, cheza, ruka, kesha ukisifu makuu ya huyo marehemu. Hii ni kwa Imani kuwa, aliyeishi Utu kabla ya kifo chake, hatapenda kuona watu wakiumia sababu yake. Hivyo kumtia moyo katika safari yake Furaha yenu juu ya matendo yake humrahisishia safari yake, asione kuwa ameacha deni nyuma.

Mara nyingi response za namna ya Diaz si za kuzitafsiri moja kwa moja vile zinavyoonekana kwa nje. Achilia mbali pia kila jamii ina desturi zake.
 
Kuna jamii, Legend hapaswi kuliliwa wala kuonesha nyuso za huzuni. Kunywa, cheza, ruka, kesha ukisifu makuu ya huyo marehemu. Hii ni kwa Imani kuwa, aliyeishi Utu kabla ya kifo chake, hatapenda kuona watu wakiumia sababu yake. Hivyo kumtia moyo katika safari yake Furaha yenu juu ya matendo yake humrahisishia safari yake, asione kuwa ameacha deni nyuma.

Mara nyingi response za namna ya Diaz si za kuzitafsiri moja kwa moja vile zinavyoonekana kwa nje. Achilia mbali pia kila jamii ina desturi zake.
Kwahiyo hizo jamii wanaponda raha kusherekea wakati wa mazishi afu marehemu wanamuacha apambane na hali yake?
 
NEW: Liverpool have confirmed the club have retired Diogo Jota's number 20 shirt. Diogo Jota - Forever our number 20.

Michael Edwards: “As a club, we were all acutely aware of the sentiment of our supporters – and we felt exactly the same way.”

“It was vitally important to us to involve Diogo’s wife, Rute, and his family in the decision and to ensure they were the first to know of our intention.

“I believe this is the first time in Liverpool Football Club’s history that such an honour has been bestowed upon an individual. Therefore, we can say this is a unique tribute to a uniquely wonderful person.

“By retiring this squad number, we are making it eternal – and therefore never to be forgotten.

“Diogo joined us in 2020, he won us number 20, and he wore – with honour, distinction and affection – the number 20.

“As far as Liverpool Football Club is concerned, he will be forever our number 20.”
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté to Real Madrid, the deal is ACCELERATING, says LA SER! 🤯🤯

Liverpool are seriously considering selling him this summer if he keeps refusing to renew.

The player only wants to join Real Madrid.
 
Yaani mwenzio afe,
Uwe na choices 2;aidha kuponda raha siku ya mazishi au kwenda kwenye mazishi,
Uforegone kwenda msibani kuzika
Uende kwenye party kuponda raha siku ya mazishi!

Mkuu aisee ni akili za ajabu hizi kuwahi kutokea,
Nyie ni binadamu wa kawaida kama sisi kweli?
Dunia gani hiyo mnafundwa hivi,au wenzetu mpo sayari nyingine?
Sio kufundwa, inategemea ukaribu wako na aliefariki. Tuseme uwepo wake ungesaidia nini?! Kuna vitu binadamu tumejiwekea havimake hata sense.

Juzi hapa kuna rafiki yangu kafiwa na babu yake Muhimbili wamegoma kutoa mwili mpk watoe mil8 wanazodaiwa na hospital eti walikua wanachanga😡 aisee nilimshauri mwacheni huko wamzike, hapo ndio wataanza kulaumiana kwa ambao hawajachanga, vitu vingine ni upuuzi tu.

Mtu ameshafariki na harudi tena duniani mnawekeana tu chuki za bure.
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté to Real Madrid, the deal is ACCELERATING, says LA SER! 🤯🤯

Liverpool are seriously considering selling him this summer if he keeps refusing to renew.

The player only wants to join Real Madrid.
Kwa kweli kuliko asepe Bure wamuuze tu.
Hapa angalau klabu itapata usd 20m sio haba kwenda mazima kwa Guèhi.

YNWA
 
Kwahiyo kama mtu harudi ndio umuache usizike
Kwa akili zako hizi no wonder una mtazamo wa ajabu.

Lakini pia wewe si Shabiki wa Liverpool pengine uzito wa hilo jambo unatofautiana baina yetu.

Kwahiyo wewe huwa wanaoenda msibani, unadhani wanaenda ili marehemu afufuke?
Sio kufundwa, inategemea ukaribu wako na aliefariki. Tuseme uwepo wake ungesaidia nini?! Kuna vitu binadamu tumejiwekea havimake hata sense.

Juzi hapa kuna rafiki yangu kafiwa na babu yake Muhimbili wamegoma kutoa mwili mpk watoe mil8 wanazodaiwa na hospital eti walikua wanachanga😡 aisee nilimshauri mwacheni huko wamzike, hapo ndio wataanza kulaumiana kwa ambao hawajachanga, vitu vingine ni upuuzi tu.

Mtu ameshafariki na harudi tena duniani mnawekeana tu chuki za bure.
 
Aende you
Nq anavyokumbwa na kuumia mara kwa mara
Aende tu
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ibrahima Konaté to Real Madrid, the deal is ACCELERATING, says LA SER! 🤯🤯

Liverpool are seriously considering selling him this summer if he keeps refusing to renew.

The player only wants to join Real Madrid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom