Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Tunamshukuru hata kwa kuzuga kwenda baada ya kichambo.
Huu ndio ubinadamu.
Tunamshukuru hata kwa kuzuga kwenda baada ya kichambo.
Diaz should be soldWewe kama huoni shuda hayo ni maoni na mtazamo wako
Acha sisi tunaoona shida msitulazimishie kukubali kwamba hakuna shida.
Kibinadamu haiingii akilini wenzio wapo msibani
Wewe umekaa kula bata tena unapost
Mkuu ni jamii ya wapi hiyo mnafundwa hivyo?
Sijawahi kuona.
Kifo kipo ila binafsi yangu siku ya msiba naiheshimu
Hata kama sina uchungu ila nitakaa kutulia kuliko kupost unaponda raha
Ni roho za kishetani hizo kama huwezi kuguswa na msiba wa mtu basi hata ukae ujitulize.
Marma ni signing ya future #1Bado ni maamuzi ya hovyo tu
Unauza mtu anayetoshea unaenda tena kuhangaika
Wakati sehemu zenye mapungufu kwa timu zipo nyingi ila mtu unaenda kuvuruga sehemu zisizo na shida.
Upo sahihi Madame... binafsi naguswa sana na misiba ya ghafla na yenye tragic kama iliyotokea kwa Jota. Hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye mbio za kutimiza ndoto zao. Pamoja na masikitiko yote haiondoi hatima ya mtu. Nikiri kwamba sijaona hiyo video Diaz akila bata. Nikadhani ni ile picha tu akiwa amekenua meno ndo inayotufanya tumhukumu. Otherwise kila mmoja kwa namna yake tumuombee Jota ambaye amekuwa family ya Liverpool inayotuunganisha sote hapa, tuiombee familia yake na tuwaombee wazazi wake na ndugu zake. Hatima zetu bado ni fumbo kubwa.Wewe kama huoni shuda hayo ni maoni na mtazamo wako
Acha sisi tunaoona shida msitulazimishie kukubali kwamba hakuna shida.
Kibinadamu haiingii akilini wenzio wapo msibani
Wewe umekaa kula bata tena unapost
Mkuu ni jamii ya wapi hiyo mnafundwa hivyo?
Sijawahi kuona.
Kifo kipo ila binafsi yangu siku ya msiba naiheshimu
Hata kama sina uchungu ila nitakaa kutulia kuliko kupost unaponda raha
Ni roho za kishetani hizo kama huwezi kuguswa na msiba wa mtu basi hata ukae ujitulize.
Kweli hataa Mimi sijaona videoUpo sahihi Madame... binafsi naguswa sana na misiba ya ghafla na yenye tragic kama iliyotokea kwa Jota. Hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye mbio za kutimiza ndoto zao. Pamoja na masikitiko yote haiondoi hatima ya mtu. Nikiri kwamba sijaona hiyo video Diaz akila bata. Nikadhani ni ile picha tu akiwa amekenua meno ndo inayotufanya tumhukumu. Otherwise kila mmoja kwa namna yake tumuombee Jota ambaye amekuwa family ya Liverpool inayotuunganisha sote hapa, tuiombee familia yake na tuwaombee wazazi wake na ndugu zake. Hatima zetu bado ni fumbo kubwa.
Mbona hiyo ni uhakika jamaa alikua anakula Bata kwao Colombia'n Pub siku jota anazikwaKweli hataa Mimi sijaona video
Ilaa kama ni kweli alituma si busara sana.
All in All,
Wazazi wake Jota na Mke wake ndio wenye maumivu makali sana kukiko sisi wengine wote.
I
Yaani timu ilijitoa sana kwenye shida yakeDiaz should be sold
I remember how the team rallied behind him during issue ya baba yake…. He should have been the first to hit the flight back to Liverpool
Kula bata siyo shidaMbona hiyo ni uhakika jamaa alikua anakula Bata kwao Colombia'n Pub siku jota anazikwa
Hamzidi KelleherMarma ni signing ya future #1
Na alipost yeye au washkaji zake? Kwakweli kama ka post yeye tena siku ya mazishi atakuwa amekengeuka kidogo. Anyway pengine ni namna yake yakujisahaulisha machungu, ama imani yake kuhusu kifo.Kula bata siyo shida
Shida ni yeye kupost anakula bata
Waja lazima tumshangae
Ila kila mtu na maisha yake na machaguzi yake
Japo i wonder amewezaje😭
Mtu mwenye akili timamu huwezi kukaa ukala Bata siku mtu wako wa karibu aliemjali baba Yako akizikwa sababu ndio siku ya mwisho kuona mwili wakeKula bata siyo shida
Shida ni yeye kupost anakula bata
Waja lazima tumshangae
Ila kila mtu na maisha yake na machaguzi yake
Japo i wonder amewezaje😭
Ubongo wako umejaa mavi ndio maana hapa umeandika mavi matupuWatu wanaguswa tofauti, usilazimishe kila mtu aguswe kama ww ulivyoguswa, kiuhalisia wengi humu mmeguswa kwa Jota tofauti na mlivyoguswa kw mdogo wake japo wote wamekufa kifo kimoja, so msimpangie Diaz namna ya kuguswa.
Eti kisa mfanya kazi mwenzio kafariki ndio usiende kwnye event yako y umuhimu zaid, tena sio ndugu!! Tuseme angeenda yy ndio angefufuka au? Kila mtu ana namna ya kuhandle maisha yake msilazimishe mfanane.
Watu wengi wamesema mpaka usemwe ndio uende?Tunamshukuru hata kwa kuzuga kwenda baada ya kichambo.
Huu ndio ubinadamu.
AiseeWatu wanaguswa tofauti, usilazimishe kila mtu aguswe kama ww ulivyoguswa, kiuhalisia wengi humu mmeguswa kwa Jota tofauti na mlivyoguswa kw mdogo wake japo wote wamekufa kifo kimoja, so msimpangie Diaz namna ya kuguswa.
Eti kisa mfanya kazi mwenzio kafariki ndio usiende kwnye event yako y umuhimu zaid, tena sio ndugu!! Tuseme angeenda yy ndio angefufuka au? Kila mtu ana namna ya kuhandle maisha yake msilazimishe mfanane.
Mungu hakunyimi vyoteSaint Anne huyu hapa Mwamba Núñez 😂 ndio alikuwa mchezaji wa kwanza wa Liverpool kufika Ureno. Captain Marvelous huwa unamwambia Miss Liverpool kuwa Núñez ni more than a Player 🤣
In just 72 hours, Darwin Núñez showed what it means to be a man - and a brother. ..
He first said his final goodbye to his grandfather in Uruguay. Without even a day to rest his soul, the very next day he travelled with his partner to Portugal — to pay tribute to Diogo Jota and his brother André Silva.
He was the first current Liverpool player to arrive.
In the midst of his own grief, he chose to stand by his teammate’s family.
No cameras. No words. Just a quiet presence and a sincere heavy heart.
Because this wasn’t a football duty.
This was an act of love, respect, and brotherhood.
Hata kama alikosaWatu wengi wamesema mpaka usemwe ndio uende?
Lakini taarifa zilizopo ni kwamba alikosa ndege ya mapema.