Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na alipost yeye au washkaji zake? Kwakweli kama ka post yeye tena siku ya mazishi atakuwa amekengeuka kidogo. Anyway pengine ni namna yake yakujisahaulisha machungu, ama imani yake kuhusu kifo.
Sijui hata
Mimi nimeshadadia tu mada baada ya kuiona
 
Yaani watu wana roho ngumu sana.
Hata mtu usiyempenda akifariki kuna namna kama binadamu utaumia tu.
Jota alivyofunga gori alipaza sauti kipindi baba yake Diaz katekwa ndio maana nikasema mtu mwenye akili timamu huwezi kosa kwenda kwenye msiba wa rafiki kama huyo
 
Vipi tukisikia labda ilikuwa ni party special for Jota, na kampani yake iliambatana na Diaz kukesha wakiimba na kusifu na kutaja jina la Jota?
Yaani badala ya kuwa mnyonge tu akaamua kuonesha appreciation kwa kufurahia moments zake na Jota.
 
Haupo sawa kichwani
 
😭😭😭
IMG-20250710-WA0048.jpg
 
Vipi tukisikia labda ilikuwa ni party special for Jota, na kampani yake iliambatana na Diaz kukesha wakiimba na kusifu na kutaja jina la Jota?
Yaani badala ya kuwa mnyonge tu akaamua kuonesha appreciation kwa kufurahia moments zake na Jota.
Yaani hajamzika bado na wenzie wapo kuzika
Yeye akatengeneze party kumuenzi na mwili bado ulikuwa haujazikwa ndio unazikwa?
Mkuu hebu usinifanye nicheke kwa haya mawazo yako😂
 
Jota alivyofunga gori alipaza sauti kipindi baba yake Diaz katekwa ndio maana nikasema mtu mwenye akili timamu huwezi kosa kwenda kwenye msiba wa rafiki kama huyo
Hata asingepaza sauti
Bado ni wendawazimu wenzio wapo kuzika wewe unaponda starehe muda huohuo na unapost kabisa.
 
Aisee
Mkuu nikikuwa nakuheshinu sana kumbe una akili za kishetani hivi?
Mawazo haya ni ya kishetani sana
Kwahiyo hao walioenda , walienda ili Jota afufuke?
Hujanielewa namaanisha kuwa mnamlaumu as if ilikua ni lazima yeye awepo,kutokwenda kwake kwnye huo msiba ni dhambi, ile ya kumtafuta baba yake ilikua ni ubinadamu tu kama mchezaji mwenzie pengine hawakua hata na huo ukaribu.

Halafu pia tunatofautiana pia kimtazamo. Pengine alikua anahitajika sehemu mbili kw wakati mmja akaopt kwenda kw hiyo party ambae ndio mtu wake wa karibu zaid.Sio dhambi.

Tunafanya kazi maofisini huko mfanyakaz anafariki wengine hata hawafiki ila sisi tuliokwepo tunawakilisha fresh na wala hatushikilii bango mbona flani hajahudhuria, kaenda kwenye shuhuli ya mdogo wake wa damu anaolewa. Hata kama ameenda kwnye party hiyo ndio ilikua y muhimu kwake then siku nyingine ataenda kwnye kaburi. Ndio maisha yalivyo kila mtu kuna namna anayaendesha maisha yake na katu hatuwezi fanana.
 
Absurd
 
Saint Anne huyu hapa Mwamba Núñez 😂 ndio alikuwa mchezaji wa kwanza wa Liverpool kufika Ureno. Captain Marvelous huwa unamwambia Miss Liverpool kuwa Núñez ni more than a Player 🤣

In just 72 hours, Darwin Núñez showed what it means to be a man - and a brother. ..

He first said his final goodbye to his grandfather in Uruguay. Without even a day to rest his soul, the very next day he travelled with his partner to Portugal — to pay tribute to Diogo Jota and his brother André Silva.

He was the first current Liverpool player to arrive.
In the midst of his own grief, he chose to stand by his teammate’s family.
No cameras. No words. Just a quiet presence and a sincere heavy heart.
Because this wasn’t a football duty.
This was an act of love, respect, and brotherhood.
Kabisa ndugu dogo ni zaidi ya mchezaji no wonder wanaohudhuria mechi Anfiled hua wanasimama nae iwe mvua iwe jua wapo nao mbega kwa mbega.
Napoli naona washamuuzia project yao chini ya Conte na ameafiki kwamba Liverpool iwasikilize ngoja tuone itakua aje.

YNWA
 
Bora angepanda tu ndege jota wetu jamank. What a loss 🙌🏿💔💔
Barabarani napo kuna raha zake! Hebu fikria hiyo tour ya kutoka Kaskazini mpaka kusini halafu ukavuke na kivuko kwenda nchi nyingine! Lilikuwa bonge la tour, sema sasa vijana wetu wanavyokanyaga mafuta, safari ya saa 8 anataka aifanye iwe ya saa 5! RIP Jota! Dogo nilikuwa nampenda sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom