Na leo Mwamba Kafunga
Ngoja aje Miss Liverpool wetu na manenosNa leo Mwamba Kafunga
Marahaba hujambo my Miss Liverpool.Shikamoo Bobby
Umeamkaje?
Tulianza vyema sana dirisha hili mpaka msiba wa Jota unatukuta mipango ilikua inakwenda vizuri sana.Kaka tushavurugwa
On my books jota, nunez na hawa waingereza walikua wanatuletea 200m quids wallet for new players
And rodrygo wasn’t in thr package
Msiba na kukosa sales baona tunaishia kuwa na bad summer hasa Kama konate na Macha wataondoka
I would sell both todsyTulianza vyema sana dirisha hili mpaka msiba wa Jota unatukuta mipango ilikua inakwenda vizuri sana.
Tulipo sasa sio pambaya sana kwa kua klabu ilishatoa taarifa kwa wachezaji wote wale ambao wanatakiwa kubaki wanajijua wale ambao wa kuuzwa wanajijua na pazuri Jota hakua kwenye listi ya kuuzwa.
Wachezaji pekee wanaoumiza kichwa ni Konate na Diaz hawa aisee wanatuvuruga lakini pale tuna gwiji Edwards hua hakosi plan B ever sokoni hivyo hatuna haja ya panick mode kwa kua dirisha lipo wazi....
Macca ni untouchable kikosini hivyo hata yeye anajua Madrid hawana nafasi labda aje kama Coutinho na Ombi la kuodoka mkononi....
YNWA
Discussion is happening for both... Konate want Real Madrid na tetesi ni kwamba aidha asaini ama watoe $25m dirisha hili aodoke....I would sell both todsy
Ni bora kumalizana kabisa na problems