Liverpool ni klabu inayoongozwa kifamilia zaidi ya kibiashara.
Tazama wachezaji wanavyokaa kwa muda mrefu wengine with less output.
Keita, Ox, Matip, Thiago hawa ni injury prope na LFC ilikaa nao kwa muda mrefu bila kuwaza kuwaondoa (family issues). Unakumbuka mara ya mwisho Gomez kucheza ni lini? LFC hawana mpango wa kumuondoa (sell, loan & free agent). Unamkumbuka Adrian Miguel?? Mpaka akaamua kuondoka mwenyewe ndipo hakuongezewa mkataba tena ila LFC walikua na utayari wa kumuongezea 1 yr.
Milner and Hendo level za timu inayogombea Major trophies wasingekaa na wachezaji wa aina hii for almost 6 yrs na wakiwa no regular na must playing playera only at LFC was possible.
Hii ndio LFC ambayo inaishi kifamilia zaidi. Jan 2025 ilikuja ofa nzuri kumuuza Nunez but wht did LFC do they said NO. je Nunez ni mchezaji wa kutegemewa kiasi hicho? No hapa LFC ni kofamilia zaidi. Ni utamaduni wa Klabu enzi na enzi.
Don't Mess with Kops.
Booooo
Lilipotangazwa jina la Trent walisikika mashabikia wakimzoea Trent licha ya kuwa familia ya LFC tena kutoka utotoni. Kwa nini wamzomee wakati ni mtoto wao kabisa huyu??
Kuwa legend sio ulivyokuja na ulivyofanya ila unaondokaje? Hapa ndio ulijendi unapanwa vizuri. Kwa nini Owen hahesabiki kama LFC legend kwa Kops? LFC Legends matches umewahi kumuona?? Licha ya kua na Balon D'or ila walishamuondoa kwenye ulijendi. Sio utakavyoingia au kubebq mataji plus individual records, but unavyoondoka.
Trent ameharibu kuondoka kwake na haya mengine wala hayana tija na Klabu. Nsio mana licha ya defensive weaknesses zake zilizotugharimu na makombe klabu ilichagua kuwa nae vivyo hivyo. Namna aliyoondoka ndio imeharulibu ulijendi wake pale Anfield.
Trent alichokifanya hana tofauti na aliye force kuondok klabuni, kwa sababu umegomea mikataba yote na mizuri tu kuliko huko unapoenda.
Ilikua rahisi kuongea na Madrid sikieni mie nitakuja kwenu ila nataka some amount ipate na klabu yangu njoeni mtoe £30m nitaondoka, very easy. Angeongea na klabu na aweke kipengele cha kuuzwa kwa bei hiyo. Ingawa he is worth than that.
Binafsi hiyo boo aliyoipata ni haki yake kwa 100% Why??
Ameongea uwongo ili kuwahadaa mashabiki, wasimchukie na wasije kumuondoa kwenye familia. I love this team, supporters, staff and fans. My dream is to captain this team, one day heheh hapo ameshaongea na Madrid na makataba hana muda wa kuongeza, halafu usizomewe?? Sio kwa LFC fans.
Anyway Trent akafanye jitihada zaidi kwenye mafanikio yake hasa binafsi ili atufunge mdomo, lakini kuwa legend nsio kwa heri mwl tukutane kipindi kijacho.
Ynwa