Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Ikiwezekana asicheze kabisa snitch huyu,asije kutuletea mikosi Bure,kama kumuweka wamuweke Dakika za nyongeza sana.Saint Anne baby wako mechi zilizobaki ataanzia Benchi na Bradley atakuwa anaanza
View attachment 3328822
Hata sisi tulimchoka kwa ujinga wake wa kuonyesha kimuhemuhe Cha kuondoka hadi kufikia kucheza anavyotaka muda mwingine.
Bradley anatutosha.