Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu inachukua ubingwa kwa mpishano zaidi ya points 10 mbele
Halafu unasema imechukua si kwamba ni Bora?

Mkuu,hata timu nyingine zilichukua ubingwa kwa kuyumba kwa timu zetu
Na ndio ubora wenyewe huo.
Umenyambua sawia kabisa. Sisi ni TEAM BORA, na hata washabiki mambo yao yanaenda vizuri sana, Liverpool ikifanikiwa na mimi mambo yananyooka hahahah, naishi kwa spirit ya YOU WILL NEVER WALK ALONE. sisi Liverpool halisi ni BORA sana. Malafyale uje mkuu hahaha
 
Hehehehehe hebu twende taratibu bibie.

2021/22
City imechukua ubingwa mbele ya loserfool iliyofika final kwenye mashindano yote ya knockout (ikashinda final 2)

Hii ni liverpool iliyomaliza na point 92, je hii ilikua timu mbovu?

2018/19
City inachukua ubingwa mbele ya liverpool iliyoweka rekodi ya runner up mwenye point nyingi zaidi kwenye historia ya soka la uingereza pointi 97 can you imagine that? 97 points!!!

Tukiiweka vizuri zaidi, kabla ya point 100 za city, chelsea ilikua inashikilia rekodi ya bingwa aliyemaliza na point nyingi zaidi, point 95.

Sasa liverpool akamaliza na 97.
Pia timu hiihii ikachukua ubingwa wa ulaya msimu huohuo.

Sasa je,hiyo ilikua ni timu mbovu?

Loserfools mnachekesha sana.
We itakua umepagawa Sasa utakuaje bingwa wote mkiwa Bora yaani pointi magori Kila kitu mfanane utapataje bingwa lazima wengine wateleze Ili aweze kupatikana bingwa
 
Timu inachukua ubingwa kwa mpishano zaidi ya points 10 mbele
Halafu unasema imechukua si kwamba ni Bora?

Mkuu,hata timu nyingine zilichukua ubingwa kwa kuyumba kwa timu zetu
Na ndio ubora wenyewe huo.
Hata na mimi namuunga mkono jamaa tumechukua ubingwa lakini style ya uchezaji sijaielewa

Sijaridhika kiwango chetu na bado imani yangu kwa Slot ni ndogo bado sijamuelewa

Maoni yangu sio sheria
 
USAJILI WA JEREMY FIRMPONG UTAKUWA NA FAIDA ZIPI KWA MOHAMED SALAH ?

Usajili wa Jeremie Frimpong unaweza kumsaidia Mohamed Salah kwa njia kadhaa, hasa kwa kuzingatia sifa za Frimpong kama wing back mwenye kasi, ubunifu na uwezo mkubwa wa kushambulia. Hapa chini ni njia kuu ambazo Frimpong anaweza kumsaidia Salah:

1. Kutoa nafasi kwa Salah kushambulia katikati
Frimpong ni mchezaji anayecheza kwa upana (wide right) na hupanda sana upande wa kulia.
Kasi yake na overlaps zake zitamruhusu Salah kuingia katikati ya uwanja, karibu na boksi, ambako ni hatari zaidi.
Hii itamsaidia Salah kuepuka kuwa isolated upande wa kulia.

2. Kuvuta mabeki na kumpunguzia Salah presha
Frimpong akipanda na kushambulia kwa kasi, mabeki wa upande wa kushoto wa wapinzani watalazimika kumkimbilia.
Hii inamwachia Salah nafasi zaidi au one-on-one situations ambazo anapendelea.

3. Kutoa mipira ya kusaidia (assists) kwa Salah

Frimpong anajulikana kwa kutoa krosi na pasi fupi karibu na eneo la hatari.
Anaweza kumpatia Salah mipira mizuri ya kumalizia, hasa akiwa anapiga cutbacks au low crosses.

4. Kufunika nafasi Salah akipoteza mpira
Frimpong akiwa na stamina na kasi ya kurudi haraka, anaweza kusaidia kwenye defensive transitions pale Salah anapopoteza mpira mbele.
Hii inampa Salah uhuru wa kushambulia bila wasiwasi mwingi wa majukumu ya ulinzi.

Kwa kuhitimisha Frimpong ni aina ya mchezaji ambaye anaongeza nguvu na kasi upande wa kulia, jambo linalomruhusu Salah kuwa huru zaidi kushambulia na kuwa tishio. Wanaweza kutengeneza ushirikiano hatari kama wanacheza mfumo unaowaruhusu kushirikiana (kama 3-4-3 au 4-3-3 ya kisasa).
Kwenye offensive ni mzuri mnoooo

Kipengele kinakuja pale defensive ni Trent namba mbili, labda tuombe Konate aendelee kuwa na kiwango hiki hiki na tupate DM basi utakuwa bonge la usajili
 
Hehehehehe hebu twende taratibu bibie.

2021/22
City imechukua ubingwa mbele ya loserfool iliyofika final kwenye mashindano yote ya knockout (ikashinda final 2)

Hii ni liverpool iliyomaliza na point 92, je hii ilikua timu mbovu?

2018/19
City inachukua ubingwa mbele ya liverpool iliyoweka rekodi ya runner up mwenye point nyingi zaidi kwenye historia ya soka la uingereza pointi 97 can you imagine that? 97 points!!!

Tukiiweka vizuri zaidi, kabla ya point 100 za city, chelsea ilikua inashikilia rekodi ya bingwa aliyemaliza na point nyingi zaidi, point 95.

Sasa liverpool akamaliza na 97.
Pia timu hiihii ikachukua ubingwa wa ulaya msimu huohuo.

Sasa je,hiyo ilikua ni timu mbovu?

Loserfools mnachekesha sana.
Umeandika point ambazo nakubaliana na wewe, ila jifunze kuandika kiutu uzima unless uniambia wewe ni mtoto ili niwe napuuza comment zako

Haikuwa na maana ya kuandika hilo jina(tusi) badala ya jina halisi Liverpool
 
Jibu swali msimu huu vipi hamjaweka rekodi unanitajia klopp ambaye hayupo kwenye ligi husika hivi upo timamu kichwani au kama kawaida yenu wakimbizi fc kurukwa na akili
Kwani ilo swali umeniuliza wapi sheikh embu weka iyo post nione.
 
Umeelewa nilichoongea?
Haya
Sisi tunachukua ubingwa msimu huu
Namba mbili tumemuacha points ngapi?
Unasemaje kwamba Liverpool kuchukua ubingwa siyo kwamba ni timu Bora ila kwa sababu wapinzani wabovu
Yaani timu ipo mbele points zaidi ya 10 halafu useme siyo timu Bora?

Wewe mama cita mkimbizi ndiye unayeleta comedy Sasa
Na hivi mmeshachanganyikiwa basi mmekuwa mnadandia popotu mpooze machungu😂
Halafu timu Haina HB hata mmoja yaani kama ina laana hivi
Kuandika Mama Cita sio utani ni matusi badilika my sister

Akanji face yake hujaiangalia vizuri😄
 
Kwani ilo swali umeniuliza wapi sheikh embu weka iyo post nione.
Mimi nimeuliza msimu huu mmeweka rekodi Gani nyingine naona povu limekutoka mara klopp Sasa klopp yupo timu Gani msimu huu mzee🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeelewa nilichoongea?
Haya
Sisi tunachukua ubingwa msimu huu
Namba mbili tumemuacha points ngapi?
Unasemaje kwamba Liverpool kuchukua ubingwa siyo kwamba ni timu Bora ila kwa sababu wapinzani wabovu
Yaani timu ipo mbele points zaidi ya 10 halafu useme siyo timu Bora?

Wewe mama cita mkimbizi ndiye unayeleta comedy Sasa
Na hivi mmeshachanganyikiwa basi mmekuwa mnadandia popotu mpooze machungu😂
Halafu timu Haina HB hata mmoja yaani kama ina laana hivi
Kwani wapi nimesema liva kachukua sababu wengine wabovu?

Mimi nimekuja kukanusha mlipochomekea kuwa hata man city kachukua sababu wengine wabovu, wewe ndiye huelewi nilichoandika.

Nyie komaeni na ma HB sisi tunaleta vyuma vya kazi.
 
Kweli vyuma vya kazi tumeviona mwaka huu vimechukua ubingwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nimeuliza msimu huu mmeweka rekodi Gani nyingine naona povu limekutoka mara klopp Sasa klopp yupo timu Gani msimu huu mzee🤣🤣🤣🤣🤣
Weka hiyo post uliyoniuliza hilo swali nikakujibu klopp.

Umeona hata hiyo post niliyoku quote ulikua umeandika nini mpaka nikamuandika klopp?

Au umechanganya madesa.
 
Msimu huu mmeweka rekodi Gani mbona unakimbia swali mzee mkimbizi fc🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeandika point ambazo nakubaliana na wewe, ila jifunze kuandika kiutu uzima unless uniambia wewe ni mtoto ili niwe napuuza comment zako

Haikuwa na maana ya kuandika hilo jina(tusi) badala ya jina halisi Liverpool
Mkuu, inaonekana unachukulia vitu serious sana kiasi kwamba haya majina ya utani unaona matusi.

In that case, unaweza kuni ignore tu kiroho safi kaka.
 
Hata ulichokiandika kumbe hukielewi kumbe naongea na kopo sikujibu tenaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe umechanganyikiwa, mimi nimekanusha habari za city kuchukua ubingwa huku timu nyingine zikiwa mbovu, wewe unakuja kuniuliza msimu huu tumeweka rekodi gani, halafu mimi ndio kopo 😂😂
 
IMG-20250513-WA0028.jpg
 
Hehehehehe hebu twende taratibu bibie.

2021/22
City imechukua ubingwa mbele ya loserfool iliyofika final kwenye mashindano yote ya knockout (ikashinda final 2)

Hii ni liverpool iliyomaliza na point 92, je hii ilikua timu mbovu?

2018/19
City inachukua ubingwa mbele ya liverpool iliyoweka rekodi ya runner up mwenye point nyingi zaidi kwenye historia ya soka la uingereza pointi 97 can you imagine that? 97 points!!!

Tukiiweka vizuri zaidi, kabla ya point 100 za city, chelsea ilikua inashikilia rekodi ya bingwa aliyemaliza na point nyingi zaidi, point 95.

Sasa liverpool akamaliza na 97.
Pia timu hiihii ikachukua ubingwa wa ulaya msimu huohuo.

Sasa je,hiyo ilikua ni timu mbovu?

Loserfools mnachekesha sana.
Una hoja lakini uandishi wako ni wakitoto sana aisee
 
Umenyambua sawia kabisa. Sisi ni TEAM BORA, na hata washabiki mambo yao yanaenda vizuri sana, Liverpool ikifanikiwa na mimi mambo yananyooka hahahah, naishi kwa spirit ya YOU WILL NEVER WALK ALONE. sisi Liverpool halisi ni BORA sana. Malafyale uje mkuu hahaha
😂😂😂😂😂😂😆
Hebu tugawiane hizo hela wakuuu
 
Hata na mimi namuunga mkono jamaa tumechukua ubingwa lakini style ya uchezaji sijaielewa

Sijaridhika kiwango chetu na bado imani yangu kwa Slot ni ndogo bado sijamuelewa

Maoni yangu sio sheria
Timu imeshinda kwa points zaidi ya kumi mbele mnasema hamuelewi?😂😂😂😂😂😂😂
Mnataka nini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom