Mfumo gani wakati anakuja Alonso na 343, atakuwa wing back na ni mfumo unaomfit haswa.Mjinga sana huyu mtoto
Mkataa pema pabaya humwita
Kamati ya roho mbaya tunasubiri lolote limkute.
Madrid mfumo utamkataa mapema sana
Klopp amekafundisha mpira,kanajiona kastar sana siku hizi wakati ni mchezaji wa kawaida sana.
Daah we nae una utoto sana mtoto wa 2000...acha kijana aende, frimpong anakuja hapo Liverpool football is business ma'amHalafu kanafiki
Kajaongea kipole
Eti I love this team
Team unayoipenda huwezi kuifanyia huu utapeli.
Anashindwa kuondoka fair kwa timu iliyomkuza toka akiwa mtoto mdogo anapenga kamasi.
Hata hivyo hatukataki hata sisi.
Kaondoka kitapeliAnyone who understands football does not air such kinds of words,the matter of players to switch teams are normal,Trent wouldin't be the first player to switch from liverpool to Real madrid or to another team.
Torres El nino Fernando once switched from LFC to Chelsea at a time when he was most needed and unexpected move occurred.
The so called (scouser being loyal) isn't on every player who plays for Liverpool but it's everywhere for players outside liverpool.
This too shall pass♥️
SawaMfumo gani wakati anakuja Alonso na 343, atakuwa wing back na ni mfumo unaomfit haswa.
Madrid wanajua wanataka nini na hawajabahatisha kumsajili
KeshaondokaDaah we nae una utoto sana mtoto wa 2000...acha kijana aende, frimpong anakuja hapo Liverpool football is business ma'am
Timu bora iko no 4 😆😆😆😆Pamoja na Liverpool kuchukua ubingwa, kwangu timu bora ya msimu ni Man City kutokana na changamoto walizopitia na wameweza kubakia imara mwishoni mwa msimu.
Team bora ni ile inayochukua ubingwa mkuu, ndo tafsili sahihi ya Ubingwa.Pamoja na Liverpool kuchukua ubingwa, kwangu timu bora ya msimu ni Man City kutokana na changamoto walizopitia na wameweza kubakia imara mwishoni mwa msimu.
Yaani kwenye marathon anayekuwa wa 4 ndo anaitwa mwenye ubora, hii ni maajabu.Timu bora iko no 4 😆😆😆😆
Umenifanya ni zooom Taswira 😃😃😃Huyu mchezaji mbona kama kakatwa mdomo wa juu
Au we unamuonaje mkuuUmenifanya ni zooom Taswira 😃😃😃
Atasugua benchi🤔Huyu wamuache aende zake.
Hahahaahaa mule mule mkuu😃Au we unamuonaje mkuu
Atatufaa huyu🐔:Utulivu wake akiwa na mpira, uwezo wa kupiga pasi sahihi, na uwezo wa kusoma mchezo. Akiwa Stuttgart, amekuwa kiungo muhimu katika kujenga mashambulizi kutoka nyuma.
🐔: Katika msimu wa 2024/25, kiwango chake cha ukamilishaji wa pasi kimekuwa karibu na asilimia 90, akionyesha uwezo mkubwa wa kudhibiti mchezo na kuanzisha mashambulizi.
🐔:
Stiller ameonyesha uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kucheza kama beki wa kati wakati wa majeruhi katika timu ya Stuttgart.
Hapa Kloop alicheza kama Pele kutuletea huyu mwambaMashine kubwa sana hii
Mhhh bonge la kamba kipa kazi anayo
Ndo hapo sasa mkuuYaani kwenye marathon anayekuwa wa 4 ndo anaitwa mwenye ubora, hii ni maajabu.