Trent amejaribu mno ku play smart his deal ila kwa wenye kujua walishaona nothing like smart kwenye hili deal.
Iko hivi Trent ameondoka LFC kwa sababu ya Pesa, hizo zingine ni janja janja tu ili asichukiwe na kops wa pale ANFIELD and all over the world.
New challenge, i won everything with this team, it means more to win with Infront of this people, nikichaka tu nyuma yake kuna mzigo wa maana. Trent angeondoke kwa kuuzwa isingekua ishu.
1st Trent alikataa long term contract?? 2021 summer,
2nd Trent rejected new contract offer last summer,
3rd Trent rejected new offer during the ongoing season,
Who was behind his rejection?
Madrid under Perez. The same way they did to Mbappe, why?
Trent eeh we need you but the way we need you is for free transfer. Do not renew your contract, and our deal is this & this & this ready? Since hapo Rejection zikaanza na before summer rejection (2021) kulikua na hayo mazungumzo kwa muda.
Kwa nini Madrid anafanya huu uhuni kwenye mpira? Transfer fees zimekuwa kubwa hivyo anatumia mbinu hii kulaghai wachezaji na vilabu stahiki havinufaiki. Hii hali lazima ikomeshwe kwa sababu vilabu vingine vikubwa vikitumia hii mbinu vilabu vidogo vitaathirika pakubwa mno.
Kukomeshq hili sheria ya usajili ibadilishwe na iwe ikigundulika kuna uhuni kama huu basi sheria kwa klabu na mchezaji husika iwe kubwa, plus hizi rejection zifike FA na kuwa monitored ikiwa kuna upuuzi wa hivi kuwe na adhabu kama FFP.
So Madrid wakamwambia tutaanza kukuhitaji kuanzia sasa mpaka mwisho wa mkataba wako ili ionekane kuna interest ilianza muda mrefu. Hivi ndivyo walivyofanya kwa Mbappe, Alaba, Rudiger na sasa Trent.
Sasa kwa stahili hii unaweza kuwalaumu FSG?? BIG NO alishakataa new contract long time ago they couldn't force him to do so.
Trent alipewa 400k kama mshahara akagoma ku sign hii ni between November - early Feb. Why verbal agreement kati yake na Madrid waliyowekeana kwa kushawishiana na Jude.
Mengine hayo ni personal zaidi, kibiashara Trent ameimuza LFC, kwa sababu amewaza signing fee yake atakayopata pamoja na kaka yake, instead of his boyhood club.
Je, huyu ndiye Trent anayeipenda LFC to me big no. influenced with a money over hizo sababu zingine.
So what next?? Bradley or new R. lets go for new RB, Having Dumfries and Bradley we will be ok to win back to back plus additional kwenye positions nyingine.
Ynwa