Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mnajua kujifariji sana au ukumbuki mechi ya Kwanza si mliomba game iishe na mlikuwa full mkoko na refa pia akawa mchezaji wenu wa 12 haya yote umesahau nyinyi ubavu wa kushinda ni mdogo hasa tukiwa na hawa watu uwanjani Lavia, Caicedo na Enzo Fernandez
Champs guard of honors was given at Chelsea

Pleasure
 
How good is he?
🐔:Utulivu wake akiwa na mpira, uwezo wa kupiga pasi sahihi, na uwezo wa kusoma mchezo. Akiwa Stuttgart, amekuwa kiungo muhimu katika kujenga mashambulizi kutoka nyuma.

🐔: Katika msimu wa 2024/25, kiwango chake cha ukamilishaji wa pasi kimekuwa karibu na asilimia 90, akionyesha uwezo mkubwa wa kudhibiti mchezo na kuanzisha mashambulizi.

🐔:
Stiller ameonyesha uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kucheza kama beki wa kati wakati wa majeruhi katika timu ya Stuttgart.
 
Huyu mamushka wa city tulimkosaje
 
Ni muhimu ma dogo wafuate ndoto zao zilipo aisee iwe ni mvuto wa Galatico au mkwaja mzito in wages au chochote kile ni wakati wao kwa umri walionao wamechagua vyema kama alivyosema Trent anafuata ndoto zake hukoooo Real Madrid

YNWA
The reason is

To change environment, to challenge myself elsewhere. It’s not about wanting to find something better, it’s about me and my personal journey as a player and I think now is the right time for me to go and experience that. People won’t be happy with the decision but it's something that I feel like I need to do on my journey and my career. “
 
I don’t think he will succeed

Atarudi na atakwenda a wee team in London
 
Katoto Saint Anne how are you??

Babe wako Trent amekuaga anatimkia kwa uwachukiao??

You were missed indeed, ila jiandae msimu ujao kuushikilia moyo kama summer kutajaa siasa badala ya uhalisia.

Ynwa
Ameamua kuua kipaji chake
Tunamtakia kila la heri.

Nimemsikiliza
Anaona kama Liverpool bado hajafikia ile level anayoitaka.
Ila huko anakowaza kufika tumtakie kila la Keri aweze kufika japo inawezekana asifike pia.

Mfumo wa timu ulikuwa unambeba pia.
Gerrard atabaki kuwa Legend wetu wa muda wote... Ndani yake ana damu ya Liverpool.
 
GqLK9yyWUAA9cAN.jpg
Tangu Saga la Torres nilijifunza kuacha kuamini wachezaji
 
The reason is

To change environment, to challenge myself elsewhere. It’s not about wanting to find something better, it’s about me and my personal journey as a player and I think now is the right time for me to go and experience that. People won’t be happy with the decision but it's something that I feel like I need to do on my journey and my career. “
Anapewa pia signing bonus ya maana over $20m hivi...na mshahara wake utakua almost 13m kwa mwaka bila merchandise, loyalties etc...hivyo awe kweli pamoja na kuji challenge lakini money wise dogo anapata pazuri...

YNWA
 
I don’t think he will succeed

Atarudi na atakwenda a wee team in London
Emmanuel Petit

Petit aliongea bila kumung'unya maneno kwamba Mashabiki wa Madrid hawavumilii makosa ya kiulinzi. Licha ya mafanikio akiwa Liverpool, mashabiki wa Madrid watamtaka aanze Upya kuthibitisha ubora wake. Endapo atakuwa anafanya makosa hawasita kumkosoa kwa hasira

Anaendelea kusisitiza nafasi yake uwanjani pale Madrid itakuwa ni ipi? Ingawa pale Liverpool ni beki wa kulia ingawa hana sifa kamili za mlinzi wa kulia japo ni mzuri katika kushambulia

Na hii inaweza kumletea changamoto pale Madrid maana mfumo wa Madrid nafasi na majukumu ni madhubuti tofauti na Liverpool

Nafasi yake uwanjani pale Madrid inaweza ikawa ni ngumu kutokana na mahitaji ya kiufundi na yeye anavyocheza akiwa Liverpool
 
Usimuwazie negative hivyo, anaweza aka shine, na akitoboa tuyafurahie mafanikio yake hayo pia.
comment yangu hii nyingine hujaiona?
Ameamua kuua kipaji chake
Tunamtakia kila la heri.

Nimemsikiliza
Anaona kama Liverpool bado hajafikia ile level anayoitaka.
Ila huko anakowaza kufika tumtakie kila la Keri aweze kufika japo inawezekana asifike pia.

Mfumo wa timu ulikuwa unambeba pia.
Gerrard atabaki kuwa Legend wetu wa muda wote... Ndani yake ana damu ya Liverpool.
 
Emmanuel Petit

Petit aliongea bila kumung'unya maneno kwamba Mashabiki wa Madrid hawavumilii makosa ya kiulinzi. Licha ya mafanikio akiwa Liverpool, mashabiki wa Madrid watamtaka aanze Upya kuthibitisha ubora wake. Endapo atakuwa anafanya makosa hawasita kumkosoa kwa hasira

Anaendelea kusisitiza nafasi yake uwanjani pale Madrid itakuwa ni ipi? Ingawa pale Liverpool ni beki wa kulia ingawa hana sifa kamili za mlinzi wa kulia japo ni mzuri katika kushambulia

Na hii inaweza kumletea changamoto pale Madrid maana mfumo wa Madrid nafasi na majukumu ni madhubuti tofauti na Liverpool

Nafasi yake uwanjani pale Madrid inaweza ikawa ni ngumu kutokana na mahitaji ya kiufundi na yeye anavyocheza akiwa Liverpool
Anamuiga mwenzie Jude wakati hawachezi nafasi sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom