Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Darwin the Chaos master........According to Fabrizio.
Darwin to leave Liverpool this summer
Good luck Darwin to the new chapter
If onlyyyy........
YNWA
Darwin the Chaos master........According to Fabrizio.
Darwin to leave Liverpool this summer
Good luck Darwin to the new chapter
Role Model wake ni SG, na anasema scouser walio wengi SG8 ni role model waoLast Summer Slot tested Magpies they refused to let Wing wizard join us even after giving Gomes plus cash they said no way....
YNWA
Wakala wake amekanusha jana kwa kusema mteja wake ana furaha na kazi yake at RBMadrid calling Klopp atue Benabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣......
YNWA
hakuna kitu kama hicho wametumia mpaka uroto umekauka halafu tumchukue?! NeverHizi habari za KDB Kuja Liverpool mbona kama ni nzuri,japo ana miaka 33 naimani atatusaidia,maana nakumbuka Pirlo alisajiliwa na umri mkubwa Bado akiweza kuwa mchezaj Bora misimu 3, hvyo KDB atasaidiana na Szobozlai
ana makosa kibao tujiulize kwann anahamishwa hamishwa mara CB mara CM hadi kapoteanaNimemfatilia sana huyo jamaa ni m bovu
VVD ana misimu mingapi mpaka hapo alipofikia salary increase??VVD anaendelea kula £400k/w, kwanini ishindikane? Au mnadhani liva inalipa mishahara miduchu?
Hahaaa Sio mbaya akiwa game changer kuanzia Dak 70,hata tukipata majeraha kwenye swala la creativity atatusaidiahakuna kitu kama hicho wametumia mpaka uroto umekauka halafu tumchukue?! Never
Muda utasema ndugu..... Ni Klopp mwenye kujua anachokitaka.Wakala wake amekanusha jana kwa kusema mteja wake ana furaha na kazi yake at RB
Habari za kwenda Brazil ama Blancos ni rumours
Gomez ni pancha sana hana uhakika wa kukupa mechi 40 kwa msimu hivyo walifanya maamuzi sahihi...Role Model wake ni SG, na anasema scouser walio wengi SG8 ni role model wao
Gomez kwa Gordon hata kama ni mimi ni lazima nikatae
Wakati mpaka Sasa Leastercity kashikilia bombaAsenyeto ajikaze amfunge Ipswich leo,
Nataka kuona vibe la Anfield next week tutapocheza na Spurs...
Ubingwa tuutangazie pale Anfield itakuwa unyama sana
Leicester kashapigwaWakati mpaka Sasa Leastercity kashikilia bomba
Hao Spurs wakitukazia itakuwa kimbembe
SafiLeicester kashapigwa
Sisi ndio mabingwaMakofi kwenu