Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Achana na huyo muhuniHapana
Moja nitakayonunua inanitosha
Asante kwa kujali.
Kama unaitaka OG toka AXA nitakuketea maana nitaenda kwenye paredi ya ubingwa
😆
Achana na huyo muhuniHapana
Moja nitakayonunua inanitosha
Asante kwa kujali.
😀😀😀😀Mara pap ofa ya £100m je FSG watakataa sidhani. Kila mchezaji ana bei cha msingi hapa ni kupata maximum profit...zitabaki kuwa tetesi tu
Sijamfuatilia mechi zake pale La Liga japo kuna wakati msimamo wa La Liga walikua na hali tete sana hopefully ni bad season kwao na sio ishu ya kipa, kwa sasa wapo nafasi ya 13.Mrithi wa Allison tayari tunae
Tulimnunua Valencia na tukamuacha hapo kwa mkopo
FSG: Reclaiming the top summit eh?This is Liverpool.
King of EPL the sleeping giant reclaiming the top summit....
YNWA
Hiyo ofa tamu sana hata kama ni wewe huwezi kuikataa😀😀😀😀Mara pap ofa ya £100m je FSG watakataa sidhani. Kila mchezaji ana bei cha msingi hapa ni kupata maximum profit...
Usishangae sana kuona Real wakitoa ofa plus Tcho ambae Liverpool bado wanamfuatilia.
YNWA
Nilimcheki mechi yao na Real Madrid duh bonge la kipa, alichomoa michomo mingiSijamfuatilia mechi zake pale La Liga japo kuna wakati msimamo wa La Liga walikua na hali tete sana hopefully ni bad season kwao na sio ishu ya kipa, kwa sasa wapo nafasi ya 13.
YNWA
Dogo ana CV nzito ni world cup winner na soon EPL winner na bado hajafika pick hivyo watakua wanatazama next Modric kwa huyu dogo...Hiyo ofa tamu sana hata kama ni wewe huwezi kuikataa
Tuna shida sana na DM, plus 100M ahah Madrid hawawezi kutoa hiyo hela kwa kipindi hiki.
Waaa some awesome news yaani sijacheki hata mechi moja kwake msimu huu kama Mkuu umeona talent basi Allison atakuja kashapata mridhi wake.Nilimcheki mechi yao na Real Madrid duh bonge la kipa, alichomoa michomo mingi
Na sisi wakitupatia Tcho japo najua ni ngumu, anakuwa Next FabinhoDogo ana CV nzito ni world cup winner na soon EPL winner na bado hajafika pick hivyo watakua wanatazama next Modric kwa huyu dogo...
YNWA
Kama kumbu kumbu zangu zipo vizuri alikuwa MOTMWaaa some awesome news yaani sijacheki hata mechi moja kwake msimu huu kama Mkuu umeona talent basi Allison atakuja kashapata mridhi wake.
YNWA
😀😀😀😀 Talent haijifichi Mkuu na pia bei yake ya almost £26m sio haba ina maana kipo walichoona kwa huyu dogo hao ma scout wetu.Kama kumbu kumbu zangu zipo vizuri alikuwa MOTM
Japo si vizuri kukubali mchezaji kwa mechi moja ila niliridhika kabisa😂
Tcho pale Madrid hajapata dakika za kutosha aisee hivyo akipata ofa nzuri na Carlo akawa hana future nae basi tutampata....Na sisi wakitupatia Tcho japo najua ni ngumu, anakuwa Next Fabinho
Win Win Situation
Barrela kwa mfumo wetu anatufaa?Tcho pale Madrid hajapata dakika za kutosha aisee hivyo akipata ofa nzuri na Carlo akawa hana future nae basi tutampata....
YNWA
Miaka 28 kama bei chee anatufaa sana ndugu.Barrela kwa mfumo wetu anatufaa?
I thought he said he is done with "management".....🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sources close to Jurgen Klopp say he feels WORN OUT by his role at Red Bull…
…and he would only leave if 2 teams call him: REAL MADRID OR BRAZIL, reports UOL. 😲👀
Wapeni tu huyo Macca. Zubimendi sisi tuna kazi naye.🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid prefer Mac Allister as TOP TARGET over Zubimendi, reports Marca 😲
Hawa madrid vipi?
Salute kwenu. Hakika game plan imefanya kazi home and away....Wakuu vipi habari zetu mmezipata? Mbona hamji kutusalimia mabingwa wa Ulaya?