Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ahame tu
Sisi tupo
Nishapata babe mpya,Gakpo.
Hii timu bado sijaona wa kuhama naye bado .
😂😂😂😂Hama nae tu aedako anakuhitaji sana maana sio mahala pa mchezo SI umeona hata kocha wao wapo mbioni kumtema kwa kua pale wanajua kua wa kwanza tu na sio wa pili au wa tatu....
Alivyosajiliwa Modric msimu wake wa kwanza ulivyoisha mashabiki walipiga kura auzwe maana alikua na msimu mmbaya sana japo hakuuzwa lakini alipata somo kwamba pale hakuna mzaha mashabiki Wana kiu Cha 1st is 1st second is nothing hivyo Trent hana wa kumpeti pale ni kazi kazi mwanzo mwisho....

YNWA
 
Na kanavyojua kununa
Katalia na kusaga meno hakuna baba huruma
 
Uwe unakimbizana na City kwa point hata 2 kwa hizo fixture lazima akukamate
Kipara hata pointi 12 angepindua meza aisee maana yeye hua anapiga goli 3 au 4 na hana sare kabisa aaa lazima angechukua ndio.
Too good kwetu Kipara msimu huu amekamatika ageing squad, one man DM Rodri kuumia wakawa hawana tena mbinu za mapambano..

Next season Kipara hatafanya haya makosa nategemea kuona June akitema cheche usajili wa maana around $250m hivi kuongeza nguvu kikosi chake.

YNWA
 
Check this coincidence 👇🏼

In 1981, Liverpool FC were European champions and the Pope died.

In 2005, Liverpool FC were European champions and the Pope died.

In 2025, Liverpool FC are Champions-elect of the English Premier league and the Pope is dead

If we kill Liverpool FC surely the Pope will live forever.
 
Akwende huko
Liverpool ipo na tunatamba nayo.
Liverpool ni kubwa sana kuliko Trent😂
😂😂😂😂😂Ukishalijua Hilo Wala hupati presha na dogo kuodoka .. ukweli kupata Salah na VVD mwingine ni ghali sana kuliko kumpata Trent mwingine....
Tazama win percentage na contribution ya hao mwamba wawili utaelewa kwa nini FSG ambao sio waumini wa kuwapa so called wazee mikataba tena yenye malipo makubwa lakini kwa hawa wawili imekua exception bila kujali wage structure nk nk

YNWA
 
Kipara hata pointi 12 angepindua meza aisee maana yeye hua anapiga goli 3 au 4 na hana sare kabisa aaa lazima angechukua ndio.
Too good kwetu Kipara msimu huu amekamatika ageing squad, one man DM Rodri kuumia wakawa hawana tena mbinu za mapambano..

Next season Kipara hatafanya haya makosa nategemea kuona June akitema cheche usajili wa maana around $250m hivi kuongeza nguvu kikosi chake.

YNWA
Boss kasema
 
Attachments

  • Arne Slot has big plans for _LFC this summer 💪🏽(JPG).jpg
    Arne Slot has big plans for _LFC this summer 💪🏽(JPG).jpg
    89 KB · Views: 15

Similar Discussions

Back
Top Bottom