Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Unanipongeza huku unaniita Arse8...Sisi ndio mabingwa
Timu ya kibingwa hii
All in all,much congratulations to you Arse8 Kwa kuwafunga wajinga wale Madrid
You did a good job and we appreciate your efforts.
Babe wako anaaga kishujaa .....Meet Trent Alexander Arnold,
Schwarzenegger of the Match
My babe😍👌🏿
Vvd na Salah have committednext season tutakua mid table club,
vvd salah trent hao wanasepa, fsg sidhan kama watanunua like for like replacement
Pokea tu arse8ndio jina lenuUnanipongeza huku unaniita Arse8...
Sijaelewa kama napongezwa kweli au la...
Hili dirisha litakua crucial sana kwa Slot kujenga sasa kikosi Cha ushindi maana walivyo sasa ni ishu ndugu wanakatika mno kuanzia Holding Midfield na ukuta panahitaji kutazamwa bila siasa au spinning za FSG ni lazima kununua wachezaji hatuwezi kutetea ubingwa kama huu ndio utakua uchezaji wetu msimu ujao maana nina uhakika Manchester City, Arsenal nk watajiimarisha zaidi na zaidi ili kukomaa na EPL hivyo lazima kununua wachezaji angalau wanne kwa nafasi hizi RB , LB, HM, RW.Vvd na Salah have committed
But we surely need a serious enhancement Kwa fullbacks zote mbili, versatile CB, CF, CAM, and Salah long term replacement
We need a lethal goal machine… I don’t see Diaz, jota na nunes as solutions to our problems And I see us milking at least 160m quids from them
TAA May leave
Ni Kweli ila hatuna strikerHili dirisha litakua crucial sana kwa Slot kujenga sasa kikosi Cha ushindi maana walivyo sasa ni ishu ndugu wanakatika mno kuanzia Holding Midfield na ukuta panahitaji kutazamwa bila siasa au spinning za FSG ni lazima kununua wachezaji hatuwezi kutetea ubingwa kama huu ndio utakua uchezaji wetu msimu ujao maana nina uhakika Manchester City, Arsenal nk watajiimarisha zaidi na zaidi ili kukomaa na EPL hivyo lazima kununua wachezaji angalau wanne kwa nafasi hizi RB , LB, HM, RW.
YNWA
My one and only Trent❤️❤️❤️Babe wako anaaga kishujaa .....
YNWA
Wewe bado ni As8Unanipongeza huku unaniita Arse8...
Sijaelewa kama napongezwa kweli au la...
Acha fiksiWewe bado ni As8
Ubingwa hupati ila umekuwa shujaa kwa kuwafunga mafala wale walitunyanyasa miaka yote.
Huyooo Madrid akale good times na mateso yaani Kule hawaelewi bad games wao wanajali ushindi sio kingine wanajiona wapo specio 😂😂😂....una hama nae au bado upo sanaaa.My one and only Trent❤️❤️❤️
If you remember PSG away ilikua noma sana MF ilikua bypassed as they wished...ni muhimu kukumbuka pale tuna DM ambae ni markshift sio natural DM ingawaje amecheza with lots accuracy kwenye hio nafasi lakini kuna tatizo ndio maana baadhi ya mechi tumekamatika haswa na backline inakua exposed mno kwa kukosa cover....Ni Kweli ila hatuna striker
Salah is a winger and a striker - we need one
A lot doesn’t like double holding, lakini maybe hoyo ndiyo solution - ingawaje statistically we have one of the best defensive team, so dm/hm hoja inakua diluted sometimes
Nunez experiment has filed to deliver no wonder over reliance kwa Salah kufunga ama kutoa assist....Ni Kweli ila hatuna striker
Salah is a winger and a striker - we need one
A lot doesn’t like double holding, lakini maybe hoyo ndiyo solution - ingawaje statistically we have one of the best defensive team, so dm/hm hoja inakua diluted sometimes
Arsenal wanakuja kutupigia guard of honorView attachment 3311033
Mkeka ndio huu mechi zilizobaki angalau tulijikusanyia pointi za kutosha mwanzo wa ligi na Arsenal kupoteana vile otherwise hizi mechi ingekua Kila moja ni fainali.
YNWA
OllaChuga Oc na HENRY14 muwe tayari kutoa guard of honorArsenal wanakuja kutupigia guard of honor
Ahame tuHuyooo Madrid akale good times na mateso yaani Kule hawaelewi bad games wao wanajali ushindi sio kingine wanajiona wapo specio 😂😂😂....una hama nae au bado upo sanaaa.
YNWA
Kileleni kuna baridi sana🔥🔥View attachment 3311031
Msimamo ndio huu mdogo ndio tunasongea kuukwa ubingwa wa 20 na kua sawa EPL trophies na Manchester United.....
YNWA