Trent’s saga.
Is a Trent a traitor?? I don't know for sure.
Oh.! yeah he is leaving, it hurts not because he is leaving but leaving “as a free agent”.
Ishu ya Trent so far iko hivi;
2021 Trent alipewa mkataba wa miaka sita, lkn aliukataa na akataka miaka minne pekee. WHY??. Alikataa miaka sita na akataka miaka minne pekee tutajua tu kwa nini.
Miaka ikatembea na kusogea mbele, hatimaye inside bars on November Klopp alikaa mezani na kuwaambia FSG anataka kuondoka end of the season. Mazungumzo yakaendelea lakini Klopp alibaki na msimamo wake end of the season nitaondoka.
Hatimaye January 26, 2024 Klopp announced his departure at the end of that season. Msimu ukamalizika kwa upside down na maumivu kwa wana LiverpoolFc kwa kuwaza “tunaenda vipi kuishi maisha bila Klopp”? Tumekuwa nae for almost 8 good years what next?? Trent was among players waliomwaga machozi mengi siku ya kuagwa Klopp pale Anfield May 2024. Trent hakumjua kocha mwingine kwenye professional career yake zaidi ya Klopp (he is like his father). Alimuibua Academy na kumpa nafasi vs Man united akiwa na 18 yrs, na the rest ni history kwake.
Baada ya kutangaza kuondoka na hatimaye kuagwa kwa JK as LFC coach. Harakati za kuishi maisha bila Klopp ziliendelezwa kwa kuajiri wataalamu wa mpira nje ya uwanja na ndani ya uwanja, na moja ya harakati za ndani ya uwanja ilikuwa ni kuwapa mikataba wachezaji kadhaa ili kuendelea kuwabakiza ndani ya klabu.
Kwa kuwa mada inamuhusu Trent, tu deal na yeye. Trent alibakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake aliouongeza 2021. Katika mazungumzo baina ya Klabu na Trent, Trent alisema hivi “tusubiri tumuone kocha ajaye, na progress ya Club itakuwaje, kisha we will sit down for it” Ikumbukwe mazingira ya Klopp ndio yamemkuza Trent, yale mazingira hayapo, almost 99.9% ya technical bench waliondoka, wafanyakazi mbali mbali wa ngazi ya juu na wale wa ngazi ya chini nao waliondoka. Trent kutaka kuona mpango wa timu ilikuwa kuona mwendelezo utakuwaje?? Especially results and performance wise. Hivyo akachomoa mpango huo wa kuongezewa mkataba. Jambo jingine kwa Trent kwenye akili yake alishawaza MF role, sasa ujio wa kocha mpya kidogo ulimuathiri na kuwaza kama atapata hiyo nafasi. Slot talked with him kuhusu atakavyomtumia na project yake ipp vipi.
Msimu ukaanza progress ikawa nzuri, timu ikawa kwenye almost every competition mpaka mid Feb. Nayo Klabu ikaendelea kumshawishi Trent kuongeza mkataba na kubakia ndani ya Klabu for the next 5yrs, lakini hayo yote yaligonga mwamba baada ya Trent ku turn down two proposal za LFC.
What went wrong? Klabu ilimbania? Ni ishu ya pesa walishindwana?
Tuendelee
Kumbuka 2021, Trent alikataa six yrs contract na akataka 4yrs contract, by that Time Trent already alishajitanabaisha kua ni World Class player, unaikumbuka Corner taken Quickly ? Pale Anfield ? Unazikumbuka assists zake wakikimbizana na Robbo? Vipi banger goals zake? Huyo ndiye Trent. Tayari akiwa na 24 yrs, alibeba mataji yote as a RB huku no. Zake zikiwa kinyume na position yake na age yake, ndio maana May 2024 alidondosha Machozi mengi kwenye ile Klopp’s farewell celebration, iliyokuwa maarufu na kutazamwa na wengi kuliko ubingwa wa nne mfululizo wa Man City.
Unajua nini , Trent defensive weakness kwa kocha mwingine lets say Pep wala asingekuwa nae long time ago, unakumbuka turn aliyopewa Cancelo na Salah game ya Anfield inaisha 1-0? Wiki iliyofuata walicheza FA vs Arsenal wakazinguana na Pep ndio ikawa byebye kwake, Klopp kamwe asingefanya hivyo kwa kosa moja hadi 10, ndio mana tuna Trent mpaka 2025.
Timu gani isingetaka huduma ya Trent?? Sasa why Trent hakutaka kuongeza mkataba last summer & this year??
Last two years Trent na camp yake walikuwa kwenye mazungumzo na R. Madrid kuhusu hatma yake, ndani ya LFC na HAPA NDIPO KWENYE KIINI TETE CHA TRENT KUKATAA KUBAKIA ANFIELD.
Madrid walimwambia Trent sikia, rundown your contract and l we will have this amount of £ for you as free agent fees or renew your contract with Liverpool or go elsewhere.
SPECULATIONs
LFC offered Trent around £230k -£260k per week na msimamo wangu kwenye contract ya Trent anything above £300k I will stand with the club as RB kupewa pesa kubwa.
Hizi hairisha hairisha za Trent kuongeza mkataba in the name of “i want to see club progress” ilikuwa ni ulaghai kwa klabu, kwa sababu ni tukio lilipangwa last two years. Embu jiulize kama Trent angekua na 3 yrs on his contract je, Madrid wangekua tayari kutoa £50m to £60m kwa ajili ya Trent?? Jibu unalo,
Swali la pili, Je ile £20m Madrid walisema watatoa kwa Liverpool in January (winter window) were they serious enough?? Kwa nini utoe £20m wakati next five months you will have him for free??
Trent na kaka yake watapokea £100m kutokana na Trent kusain Madrid, uhamisho huru. Madrid wanaenda kunufaika nae kibiashara, how?? Wanaenda kumpa mkataba wa miaka mitano ambapo atakuja kuuzwa huko mbeleni, mchezaji aliyesajiliwa as free agent wakipata £30m next two years wana hasara gani?? Hapo ataongezewa La Liga na Uefa CL pengine club World Cup, thamani yake itakuwa kubwa sana. Double benefit hii kwa Madrid. Na akifanya vizuri Zaidi ni huge bonus kwake.
Je hapa unaweza kuwalaumu FSG na Liverpool kwa issue ya Trent?? Kwangu hapana siwezi.
Kama Trent alikataa 6yrs contract at the first place, ungemshawishi vipi aongeze sasa hivi wakati nyuma yake kuna nguvu kubwa ya pesa na ushawishi? FSG hawana kosa hapa myonge mnyongeni haki yake apewe ya kutetewa penye haki.
Trent sold Liverpool down to the river. Trent wants to play this game innocently and peacefully purposely asipewe chuki kama akina Owen na McMannaman. But kops are just kops tu, umeona Jersey ikichomwa moto ya Trent na mmoja ya mashabiki wa LFC,?! Kops wanakuambia Trent asicheze tena akiwa na LFC Jersey this season. Trent amefanya wanachofanya wachezaji wengi kutoka South America mara nyingi hawa hufikia hata kujinunua zaidi. Ile CL final vs Madrid 2022 nina wasi wasi nayo, sio kwa space ile. (Just kidding tu


).
Ni ngumu sana Trent kueleweka kwa LFC fans, ngumu sana that's LFC Culture. Atleast Coutinho alikubali long contract na mauzo yale yalitupa mafanikio makubwa. Je Trent?? Amekataa kusaini na kukubali ku rundown his Contract kuinyima faida his boyhood club na kuwapa faida Madrid. Hili ni kosa kubwa kwa Scouser juu ya Trent. In case Trent anaongeza mkataba LFC ule upendo kwake kwa wengi haupo aise, but i feel them alot thats football kuna muda una moves za kikatili.
Michezo ya Perez hii ni hatari kwa afya ya mpira kwa sababu big clubs wakifanya hii michezo timu ndogo ndizo zitaumia sana, simply b’se they have no enough power (financial muscles) ku battle na wakubwa. Hii FFP inapaswa kutazama loophole iliyopo kwa sasa. It is the same way they did to Mbappe kumtoa PSG even Rudiger kutoka Chelsea.
Anyway I'm ok with Trent going, but "as a free agent" ndipo penye walakini yes.! Hakununuliwa but World Class like him we should at least cash on him £50m- £60m. Kwa timu inayotumia sell to buy policy ni hasara kubwa sana hii.
No hard feelings on him, let him go to his dream place too, end of the day success is what they want (cash & trophies).
Who will come for Trent's position?? Bradley is not enough with his injury records, not ready to takeover (but he has those abilities).
It will be an interesting summer indeed, eagerly waiting.
Best of luck to LFC in the next nine coming games, 12 clear points and top of the table, 27 points are there, win next four games and win Premier league.
We will still be stable next season only if FSG are ready for overhaul
Know you can,
Ynwa.