MR BINGO kwema ndugu.... Ikija ishu ya kusajili Hawa FSG hua hawasomeki kabisa...ngoja tuone maana ma RBs wanaotajwa bei zinaanza 30m paudi kwenda juu ....FSG wanaweza wakawa wabahili ila they can't go to that extent ya kumchezesha jones kama replacement ya TAA
Ni sawa na kumchezesha endo Centre back for long bado hakuna kocha anaweza kukubali huo ujinga
Aafu family yake ni Liverpool fans tangu kitambo 🥰🥰🥰huyu aje tu Liverpool haha....Wanangu si tumdandie KDB
Chiesa apate dakika ili angalau apate medali ya EPL.
Kwani Fulham unawachukuliaje mkuu🤔Nyie jamaa Mshukuru tu anayefuatana na nyie ni dhaifu..na kina man city Msimu huu wapo dhoofu ila mlikuwa na upepo tu😂😂😂
Man one of those em days...3-1 (35minutes😳
Hii Ngoma ngumu leo
Hili kombe tunalihitaji kweli ?
Hawa jamaa washukuru sana Mungu wao, Arsenal amekuwa akiandamwa na majeruhi ya mara kwa mara tena kwa wachezaji muhimu... vinginevyo yale ya 2018/2019 yangejirudia tena.Nyie jamaa Mshukuru tu anayefuatana na nyie ni dhaifu..na kina man city Msimu huu wapo dhoofu ila mlikuwa na upepo tu😂😂😂
Arsenal hata timu zote ziwe mbovu habebi ubingwaHawa jamaa washukuru sana Mungu wao, Arsenal amekuwa akiandamwa na majeruhi ya mara kwa mara tena kwa wachezaji muhimu... vinginevyo yale ya 2018/2019 yangejirudia tena.