Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Hata Mimi
Hata Mimi
Mchezaji pekee ambaye sikuwahi kumtusi ama kumkasirikia
Mkuu unakumbuka kuna kipindi Klopp alitupangia dogo Henderson beki RB?Hawa Everton walituletea dharau na kiburi kwenye last game hivyo leo tunapaswa kuwafunga kwa njia yoyote ile
😂😂😂Mkuu unakumbuka kuna kipindi Klopp alitupangia dogo Henderson beki RB?
Sasa na Leo Slot kaamua kutupa line up of the year if well he wins good luck kwake....RB Leo ameanza Jones 😁😁😁😁.
Tuna Endo and Graven ambao ni able RBs kuliko huyu dogo. Aidha tuna kocha mwenye ujasiri wa kutisha ama bado hajaachana na ndoto ya trebble.
We need luck Leo of all the days.
YNWA
Slot proven good by Jones. Kama make-shift right back he was good both in possision and defending. Brilliant from him.Mkuu unakumbuka kuna kipindi Klopp alitupangia dogo Henderson beki RB?
Sasa na Leo Slot kaamua kutupa line up of the year if well he wins good luck kwake....RB Leo ameanza Jones 😁😁😁😁.
Tuna Endo and Graven ambao ni able RBs kuliko huyu dogo. Aidha tuna kocha mwenye ujasiri wa kutisha ama bado hajaachana na ndoto ya trebble.
We need luck Leo of all the days.
YNWA
Slot skinned me live bro.Slot proven good by Jones. Kama make-shift right back he was good both in possision and defending. Brilliant from him.
Ndoto za abunuasi hizo,back up zote zipo.Trent huyoo Madrid!!!! Virgil na Mohamed hawaeleweki, pia age goo , konate possibility ya kwenda psg ni kubwa, Diaz ana ndoto za kucheza barca,,, ! Next season hakuna rangi mtaacha ona
Wanaumia sana tukiwa tunapata ushindi.maana msimu mzima epl tunafungwa mechi moja tu.Ndoto za abunuasi hizo,back up zote zipo.
Hizo ni ndoto zako!Ukweli usemwe
Msimu ujao liverpool hayupo top four
Mkuu unakumbuka kuna kipindi Klopp alitupangia dogo Henderson beki RB?
Sasa na Leo Slot kaamua kutupa line up of the year if well he wins good luck kwake....RB Leo ameanza Jones 😁😁😁😁.
Tuna Endo and Graven ambao ni able RBs kuliko huyu dogo. Aidha tuna kocha mwenye ujasiri wa kutisha ama bado hajaachana na ndoto ya trebble.
We need luck Leo of all the days.
YNWA
😀😀😀Jones for RB yaaani hapa FSG washapata solution ujue kama ambavyo Graveb amecheza DM kwa mafanikio kiasi swala la kusajili tena DM sio priority ndio hivyo FSG watakomaa na Jones markshift RB yaaani we are so done......Sasa hivi utasikia Amateurs wanasema Trent aondoke tu Jones yupo atacheza RB
Last season walitengeza hasara usione wanapata cold feet kuongeza top earners VVD, Salah na Trent contract ni kwa sababu Hawa wachezaji wamesha outgrow mfumo wa ulipaji wa FSG wa wages ishu sio umri maana guys are delivering at the highest level... Salah anabebelezwa merchandise income iwe part of the contract just like huu mkataba unaoisha ...Msimu huu ukimaliza tusiposajili nitaumia kuliko msimu wowote ule niliwahi kuushuhudia nikiwa Liverpool.
Hapa naongelea since 1998 nilipoanza kuishabikia Liverpool rasmi
FSG wanaweza wakawa wabahili ila they can't go to that extent ya kumchezesha jones kama replacement ya TAA😀😀😀Jones for RB yaaani hapa FSG washapata solution ujue kama ambavyo Graveb amecheza DM kwa mafanikio kiasi swala la kusajili tena DM sio priority ndio hivyo FSG watakomaa na Jones markshift RB yaaani we are so done......
YNWA
Usajili mpya huo 😀Sasa hivi utasikia Amateurs wanasema Trent aondoke tu Jones yupo atacheza RB