Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbona kama umetoa maoni kwa hasira sana, Jones ndie angalau alikuja kubadilisha mchezo kwenye transition kukachangamka
Mbona 2 chache tunatakiwa mpaka sasa tuwe tumepigwa 5.

Magarasa ya liverpool ni haya hapa
1. VVD
2. ROBO
3. JOTA
4. JONES
Hawa wanapaswa kuwa squad players kwa sasa na si first XI.

Mbona 2 chache tunatakiwa mpaka sasa tuwe tumepigwa 5.

Magarasa ya liverpool ni haya hapa
1. VVD
2. ROBO
3. JOTA
4. JONES
Hawa wanapaswa kuwa squad players kwa sasa na si first XI.
Mbona unatoa maoni kwa hasira sana, Jones ndie angalau alikuja kubadilisha game kwenye transition kwakua technically yuko vizuri. Ni game mzee ogopa sana Newcastle akipania game hua wana balaa
 
Slot ni Average coach wa kiwango cha juu, Huwezi kuwa una pick wachezaji walewale kila wiki na bado hawakupi chochote uwanjani.
Leo slot kawa average?
20241127_111151.jpg
 
Mimi nina Community shield, wewe una nini?
4-consecutive EPL Champions ukipenda unaweza kusema 4-A-Row current title holders!
Ila wana Arsenal bhana wasindikizaji eti Gunners kuna wale ndugu zetu mashetani sijui dah wanatia huruma, kuna wabluubluu sasa dah. Kumbe timu zikikaa sawa kuna watu watawalk alone.
 
Tukiweka ushabiki pembeni Liverpool ikiwa inacheza unajiuliza wanaogoza vipi ligi? mbona wanacheza kinyonge sana ,kiufupi epl inasikitisha .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom