Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,198
- 1,466
Nitakuwa hapa kwa muda
Yaan leo mpira kama unatukataaYamechinjwa
Ndio uwezoYaan leo mpira kama unatukataa
Magaidi yanakanyangwaMechi yetu iliboa sana ila hii yenu imechangamka vizuri kabisa. Kwa neutral ni full burudani.
Ndio kaingia mzigoni mda huu.Kuna bro wa newcastle bado hajaingia🤣🤣
Anaitwa wilson yule msenge anakimbia kuliko masai anayewindwa na simba 🤣🤣🤣
Kuku broiler 🤣🤣🤣
Sahihi kabisa, Liverfool ni mbovu sanaLiverpool mtachukua epl kwasababu ya ubovu wa wapinzani sio kwa ubora wenu.