Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,680
Mlio kuwa mnasema Klopp out mara End of an era bdo mpo? Au basi hata akina OllaChuga Oc na lembu wasinge mfukuza Tuchel naimani saiv wangekuwa vzur sana.
If only we can get better coach than him, I will follow their footsteps to say Klopp Out.Mlio kuwa mnasema Klopp out mara End of an era bdo mpo? Au basi hata akina OllaChuga Oc na lembu wasinge mfukuza Tuchel naimani saiv wangekuwa vzur sana.
Anaku chora tu ujue Nunez.. Msimu tazama xg zake soon atakuzima huo mdomo au unadhani huyu ni Henderson aliechangamka 1 game wonders aafu anapotea msimu mzima 🤣🤣🤣🤣Nunez kama kawaida yake
Mguu wake kama una kengeza hivi![]()
Kipara bhana anasema treble inatosha hataki quadruple....FT
Liv 3 _Leic 1
Goodnight to you all LFC fans.
Wengine mama Cita lolote liwapate.
New castle kanyaga twende ,shikilia hapohapo.
Mechi imeisha na mitanesco imesepa na umeme![]()
Klopp anazingua as a person anataka kumfurahisha kila "mtu" wakati mwingine inaonyesha kabisa inamcost balaa tazama Lallana, Lovren, Karius, Simon, Milner, Thiago, Henderson nk nk... Sasa eti wanaanza mazungumzo na Matip na Thiago 😳😳🙄🙄like seriously wapewe mikataba mipya hawa ni kutolewa bure ama kwa ela waachie nafasi waje wengine wenye uchu wa ushindi na injury trend isiyokua kama ya hawa wawili.Mlio kuwa mnasema Klopp out mara End of an era bdo mpo? Au basi hata akina OllaChuga Oc na lembu wasinge mfukuza Tuchel naimani saiv wangekuwa vzur sana.
Hapo ndio anapo feli mikataba yann kwa wazee?Klopp anazingua as a person anataka kumfurahisha kila "mtu" wakati mwingine inaonyesha kabisa inamcost balaa tazama Lallana, Lovren, Karius, Simon, Milner, Thiago, Henderson nk nk... Sasa eti wanaanza mazungumzo na Matip na Thiagolike seriously wapewe mikataba mipya hawa ni kutolewa bure ama kwa ela waachie nafasi waje wengine wenye uchu wa ushindi na injury trend isiyokua kama ya hawa wawili.
Klopp angekua brutal kwa under performers uwanjani regardless ya them as human beings basi angekua mbali sana kima kombe.
Klopp is weak n too loyal.
YNWA


Konate ni kama dogo Sebastian Coates Captain wa Sporting Lisbon pale Ureno alikua mchezaji wetu miaka hioooooo... Wakati anasajiliwa alikua anatajwa kama kinda mwenye kipaji adimu kutoka Uruguay lakini mahitaji ya EPL hakuweza kutoboa na kuishia kuuzwa na sasa ni kisiki pale Sporting...MOTM wataru endo..
Elliot bado anautoto mwingi
Jones bado anautoto mwingi
Konate mzito sana auzwe mapema
Haya ni maoni yangu
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Klopp hua anakupa furaha na muda huo huo utanuna aisee imagine Thiago apewe new contract ya nini sasa wakati ligi yenyewe ameshindwa kwendana na mikiki ya ligi....Hapo ndio anapo feli mikataba yann kwa wazee?![]()
Ngoja ofa ije kwa ma Yankees utaona kama atabakia mpaka sasa naamini ma scout wapo mzigoni kusaka mbadala....Mimi sitaki tena Salah auzwe, Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.
Aisee hii game ngumu sanaFull Time Wolves 2-1 Man City
Haya matokeo ni mazuri kwetu sisi Liverpool tukishinda Leo tunanza kutengeneza Gap