Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anaku chora tu ujue Nunez.. Msimu tazama xg zake soon atakuzima huo mdomo au unadhani huyu ni Henderson aliechangamka 1 game wonders aafu anapotea msimu mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

YNWA
Anaboa sana
Akifika golini miguu yake inapinda[emoji706]
 
Ai kuku kishingoo ai we kishingooo ,we kuku kishingoo ai kuku kishingoo !
Mtaita maji mma leo .
 
Najua haiwahusu ila Yanga mzize kafunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji91]



Nasubiri Liverpool tukiwashe tena[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sikuizi hata tukiwa pungufu bdo tunamadhara tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Man City ameangusha gari leo! Kapigwa asipotegemea.

Alikuwa na On Target 9, while Wolves alikuwa na On Target 1 tu lakini amepata matokeo kwa hiyo On Target 1 iliyozaa goli huku akifaidika na goli la OG.

Leo napata hisia kuwa ni game ngumu sana! VVD na Matip wawe makini sana na Son.
Huyu jamaa ni very experienced player wa EPL na ni expert kwa hizi big match hivyo anaingia uwanjani bila ya Woga wowote.

Kuna na huyu mpumbavu Richarlison anaongea sana shit dhidi yetu na kujifanya anatuchukia mno, hivyo anaweza kukamia game ili approve kitu dhidi yetu! Anapaswa kuchungwa vyema.
I said this about Son
 
Salah/Nunez ana goli
Diaz/Jota ana goli


Ft 3_2
Liv Tot

YNWA[emoji91][emoji91][emoji91]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom